logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Pata Habari Zote Hapa

  • Habari na Matukio Yote Ndani ya Nchi Na Duniani Kote
matukio
  • Na Asha Business
  • March 28, 2022

Profesa Ngowi afariki dunia

Profesa wa Chuo Kikuu cha Mzumbe, Honest Ngowi amefariki dunia leo Jumatatu Machi 28, 2022 kwa ajali ya gari iliyohusisha lori na gari n . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • March 28, 2022

IS yakiri kufanya mashambulizi Israel

Kundi linalojiita Dola la Kiislamu, IS limekiri kuhusika na shambulizi nchini Israel ambalo limewaua wanajeshi wawili na kuwajeruhi wengin . . .

siasa
  • Na Asha Business
  • March 28, 2022

SPD yashinda jimbo la Saarland

Chama cha Social Democratic, SPD kimetangazwa mshindi katika uchaguzi wa jimbo la magharibi mwa Ujerumani, Saarland. Kwa mujibu wa takwimu . . .

Siasa
  • Na Asha Business
  • March 28, 2022

Kiongozi wa kilichokuwa chama tawala Burkina Faso akamatwa

Kiongozi wa kilichokuwa chama tawala nchini Burkina Faso, Alassane Bala Sakande amekamatwa baada ya kukosoa mazingira ya kushikiliwa rais . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • March 28, 2022

Macron ajitenga na matamshi ya Biden kuhusu Putin

Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron ameonya dhidi ya kuongezeka kwa mvutano wa maneno na Urusi, baada ya Rais wa Marekani, Joe Biden kumue . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • March 28, 2022

Zelensky azilaumu nchi za Magharibi kwa woga

Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky amezishutumu nchi za Magharibi kwa woga, wakati ambapo nchi yake inapambana kuzuia uvamizi wa Urusi. . . .

Elimu
  • Na Asha Business
  • March 27, 2022

Waziri wa Elimu ashiriki mkutano wa kimataifa DOHA FORUM

Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda ameshiriki Mkutano wa Kimataifa  Doha Forum kuhusu masuala ya Maendeleo . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • March 27, 2022

Mtandao Wawaka Moto Baada ya Rais Kusema DP Ruto Alitaka Kumng'oa Mamlakani

Mtandao wa kijamii wa twitter Jumapili Machi 27 asubuhi uliwaka moto baada ya ripoti za mazungumzo ya Rais Uhuru Kenyatta na wazee kutoka Mt . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • March 27, 2022

Saido arudi na mkwara

Yanga  inajiandaa na pambano lao dhidi ya Azam, huku kikosi chake kikizidi kuimarika kutokana na baadhi ya wachezaji waliokuwa majeru . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • March 27, 2022

Abiria wote waliopata ajali ya ndege China wathibitishwa kufa

Abiria wote 132 waliokuwa wamepanda ndege chapa MU5735 mashariki mwa China wamethibitishwa kufa baada ya ndege hiyo kuanguka.Mamlaka ya anga . . .

siasa
  • Na Asha Business
  • March 27, 2022

Wazimbawe wanapiga kura katika uchaguzi mdogo ambao ni mtihani kwa chama tawala

Raia wa Zimbabwe wamepiga kura jana Jumamosi katika uchaguzi muhimu wa bunge na manispaa, unaoonekana kuwa ni kipimo kwa chama tawala cha . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • March 27, 2022

Dk Mwigulu ashukiwa kwa kutaka fedha za Azaki Serikalini

Kauli ya Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba ya kutaka Shirika la Marekani la Maendeleo ya Kimataifa (USAID) kuelekeza dola 1.3 . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • March 27, 2022

Wanawake watakiwa kuwa mstari wa mbele katika zoezi la Sensa

Serikali imelitaka kundi la wanawake kuwa mstari wa mbele kuongoza jamii kujitokeza kwenye zoezi la Sensa ya Watu na Makazi ya 2022, ambap . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • March 27, 2022

Waandishi wa habari 12 wauawa kwenye vita nchini Ukraine.

Waandishi wa habari 12 wamekufa nchini Ukraine tangu kuzuka kwa vita nchini humo mwezi mmoja uliopita taarifa hii ikiwa ni kulingana na . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • March 27, 2022

Rais Joe Biden akosoa utawala wa Putin nchini Urusi

Rais wa Marekani Joe Biden amesema rais wa Urusi Vladimir Putin hawezi kusalia mamlakani baada ya kuivamia Ukraine huku akiyaonya majeshi . . .

Mastaa
  • Na Asha Business
  • March 25, 2022

Steve Nyerere Ajiuzulu

Steve Nyerere ametangaza kujiuzulu leo hii Kwenye ofisi za BASATA leo hii akiwa anazungumza na Waandishi wa Habari Steve amesema ataendelea . . .

NGUMI
  • Na Asha Business
  • March 25, 2022

Twaha" Kiduku Nipo tayari"

Bondia Twaha Kassim ‘Kiduku’ amewatoa hofu Mashabiki wake kuelekea pambano la kesho Jumamosi (Machi 26), ambalo litamkutanisha na Bond . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • March 25, 2022

Kocha Dodoma jiji aihofia Tanzania Prisons

Kocha Mkuu wa Dodoma Jiji FC Masoud Djuma Irambona amesema mchezo unaofuata dhidi ya Tanzania Prisons hautakua rahisi kwake na kwa wache . . .

Elimu
  • Na Asha Business
  • March 25, 2022

Afisa wa Kike wa Polisi Aondoka Katika Kituo cha Mitihani Kufurahia Mvinyo

Afisa wa polisi aliyetwikwa jukumu la kulinda kituo cha mitihani katika kaunti ya Machakos alikamatwa Jumatano, Machi 23, baada ya kutoka ka . . .

siasa
  • Na Asha Business
  • March 25, 2022

Mahakama ya Afrika Mashariki kuamua kesi ya vyama vya siasa leo

Majaji watano wa Mahakama ya Afrika Mashariki (EACJ) leo Ijumaa Machi 25, 2022 wanatarajia kutoa uamuzi wa kesi namba 3 ya mwaka 2019 il . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • March 25, 2022

Ujerumani yasaidia kukabiliana na kitisho cha njaa Ukraine

Kansela Olaf Scholz wa Ujerumani amesema taifa lake litaunga mkono utoaji wa misaada ya kiutu kwa Ukraine na mataifa jirani kwa kutoa ny . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • March 25, 2022

Biden kutembelea mpaka wa Poland na Ukraine

Katika taarifa yake ya sasa Ikulu ya Marekani imesema Rais Joe Biden leo hii atatembelea mji wa Poland ambao uko karibu na mpaka na Ukrain . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • March 25, 2022

Mashambulizi mawili kwa mpigo yauwa watu 48 Somalia

Kiongozi wa jimbo la Hirshabelle, Ali Gudlawe Hussein, amesema idadi ya waliokufa kutokana na mashambulizi mawili yalitokea katika karibu . . .

siasa
  • Na Asha Business
  • March 25, 2022

Spika wa Bunge la Kenya aamuru kutotangaza wazi viti vya wabunge waliotoroka vyama vyao.

Wabunge wa Kenya waliohama vyama vyao vya kisiasa vilivyowapeleka bungeni wamepata afueni baada ya spika wa bunge la kitaifa Justin Mutu . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • March 25, 2022

Serikali ya Ethiopia yatangaza sitisho la mapigano na waasi wa Tigray

erikali ya Ethiopia siku ya Alhamis ilitangaza haraka sitisho la mapigano la upande mmoja katika mzozo wake na waasi wa Tigray ili kuruh . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • March 25, 2022

Watu 12 wameuawa Ituri nchini DRC

Watu 12, akiwemo mwanajeshi mmoja, na raia 11 wazee, waliuawa katika shambulizi la waasi kwenye jimbo la Ituri, kaskazini mashariki mwa . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • March 25, 2022

Korea kaskazini yathibitisha kufanya majaribio mapya ya makombora

Vyombo vya habari vya serikali vilimuonyesha Kim, akiwa amevalia koti la ngozi, akichungulia nje ya dirisha la jengo la uchunguzi wakati . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • March 24, 2022

Mwanamke mwenye viungo viwili vya uzazi

"Jina langu ni Elizabeth Amoaa - ni mwanamke mwenye viungo viwili vya uzazi, nina sehemu mbili za uke yaani via vya uzazi viwili," Mghan . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • March 24, 2022

Tanzania:Kuhusu Ukraine na Urusi, haiko upande wowote

Siku moja baada ya Ujumbe wa mabalozi wa nchi za Ulaya nchini Tanzania kuitaka Tanzania na nchi nyingine za Afrika kupaza sauti kukemea uv . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • March 24, 2022

KUNAKO TETESI

Mshambuliaji wa Tottenham Harry Kane, 28, alikataa kujitolea kwake kwa Spurs baada yakuulizwa kuhusu mustakabali wake akiwa kwenye majuk . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • March 24, 2022

Liberia yapiga kura kufanya unyonyeshaji kuwa lazima

Bunge la Libeŕia kwa kauli moja limepitisha mswada unaowataka akina mama kunyonyesha watoto wao kwa angalau miezi sita.Mwakilishi wa Wila . . .

Uchumi | Biashara
  • Na Asha Business
  • March 24, 2022

IEBC Yataka DP Ruto na Raila Wachunguzwe kwa Kutumia Pesa za Umma Kufanya Kampeni

Tume Huru ya Uchaguzi na Umma (IEBC), imemwandikia barua Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma(DPP) Noordin Haji ikimtaka achunguze madai kuwa Naib . . .

Jamii
  • Na Asha Business
  • March 24, 2022

MWENYEKITI UWT MWANZA AMEZA NYOKA!!

Ni katika Maadhimisho ya Siku ya Upandaji Miti Kitaifa sambamba na Siku ya Misitu Duniani iliyofanyika Wilayani Magu mkoani Mwanza. . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • March 24, 2022

Zungu ashauri kujengwa kituo cha Polisi Daraja Tanzanite

Naibu Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu ameshauri kujengwa kituo cha Polisi jirani na Daraja la Tanzanite ili kuimarisha ulinzi wa kulinda . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • March 24, 2022

Mke mpya wa Mrema asema atamrudisha ujanani

“Nataka kumrudisha Mrema kuwa kijana.” Hayo ni maneno ya mke wa mwenyekiti wa chama cha Tanzania Labor Part (TLP), Augustino Mrema a . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • March 24, 2022

Kenya Yashindwa Kulipa Mkopo wa China wa KSh18B na Kuongezewa Riba ya KSh3.6B

Huenda Kenya ikabanwa na madeni baada ya kushindwa kulipa kwa wakati mkopo wa KSh 18 bilioni uliotumika kujenga Barabara ya Southern Bypass . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • March 24, 2022

Zelensky ahimiza kufanyika maandamano kimataifa kupinga uvamizi wa Urusi

Kyiv, Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky ametoa wito kwa watu duniani kote kuandamana barabarani kama hatua ya kupinga uvamizi wa Urusi nc . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • March 24, 2022

Dunia yaomboleza mwanadiplomasia mahiri wa Marekani Madeleine Albright

Washington,Wanadiplomasia na viongozi mbalimbali duniani kote wanaendelea kutuma risala za rambi rambi kwa familia ya Madeleine Albright . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • March 24, 2022

Kifaa cha kunasa sauti kwenye ndege ya abiria ya China kimepatikana

Wuzhou,Afisa wa mamlaka ya usafiri wa anga ya China amesema wachunguzi wamepata kile wanachoamini ni kijisanduku cheusi, kifaa cha kunasa . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • March 24, 2022

Taliban yaenda kinyume na ahadi ya kuruhusu wasichana kusoma

Kabul, Watawala wa Taliban nchini Afghanistan katika hatua ya kushangaza na isiyotarajiwa, wameamua kutozifungua tena shule za wasichana n . . .

Kurasa 182 ya 212

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Habari Category