Chanjo ya Moderna ya COVID-19 inafanya kazi kwa watoto wachanga, wanaokua, na watoto wa chekechea, kampuni hiyo ilitangaza Jumatano ma . . .
Wakongwe wa vuguvugu la MauMau lililopigania uhuru nchini Kenya, wamemshtaki Naibu Rais wa Kenya William Ruto katika mahakama kuu jijini . . .
Chama kikuu cha upinzani nchini Sudan Kusini Jumanne kimesema kinajiondoa kwenye tume inayofualitia mchakato wa amani nchini humo, iki . . .
Wakati kirusi kipya cha Uviko 19 kikibisha hodi katika mataifa kadhaa yakiwemo ya Afrika, kirusi hicho bado hakijafika Tanzania.Hayo yameele . . .
Rais Samia Suluhu Hassan amesema watu waliokuwa wakisema miradi iliyaochwa na mtangulizi wake, Hayati John Magufuli haitaendelezwa, hawa . . .
Mahakama ya Rufani Tanzania, Masjala ya Iringa imeondoa kesi iliyokuwa inamkabili aliyekuwa Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania . . .
Mjumbe wa Kamati ya Usajili ya Young Africans Hersi Ally Said amesema klabu hiyo haitafanya usajili ama kuwaacha baadhi ya wachezaji wan . . .
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ametuma salamu za pole kwa wananchi waliopatwa na maafa kufua . . .
Mahakama ya wilaya ya Babati mkoani manyara imemuhukumu mtu mmoja aliefahamika kwa jina Gisgusta Ginanai mwenya umri wa miaka 35 mkazi wa Se . . .
Wizara ya mambo ya nje ya Saudi Arabia imesema inakaribisha "kauli chanya" iliyotolewa na Waziri Mkuu wa Lebanon, katika ishara ya kurud . . .
Mwanamfalme wa Uingereza William na mkewe Kate wamewasili Jamaica kama sehemu ya ziara yao eneo la Carribean, saa chache baada ya wanahara . . .
Ketanji Brown Jackson, aliyeteuliwa na Rais wa Marekani Joe Biden kuhudumu katika mahakama ya juu zaidi nchini Marekani, amejitetea juu ya . . .
Maelfu ya raia wa Ukraine wanajaribu kuukimbia mji wa Mariupol wakati Urusi ikiendeleza mashambulizi ya mabomu kwenye mji huo wa bandari. . . .
Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini ametoa mapendekezo kuwa hatua za NATO ndizo za kulaumiwa kwa uvamizi wa Russia dhidi ya jirani yake . . .
Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo Mohamed Mchengerwa, amesema kuwa sio jukumu la serikali kuingilia mambo ambayo yanaendelea kwenye baa . . .
Ndugu Yakubu amesema hayo Machi 2022 jijini Dodoma wakati akifungua kikao cha Baraza la Wafanyakazi la wizara hiyo kilichofanyika Machi 21 n . . .
Wanajeshi wa Urusi bado wanajaribu kuizingira kyiv ambapo shambulio la bomu liliua takriban watu wanane usiku wa Jumapili hadi kuamk . . .
Mawaziri wa mambo ya kigeni wa nchi za Kiislamu wameanza mkutano wao leo mjini Islamabad nchini Pakistan.Viongozi wa nchi hizo chini ya mu . . .
Mahakama ya Wilaya ya Mufindi, Mkoa wa Iringa, imemhukumu mkazi wa Kijiji cha Kitelewasi, Godi Waya (30) kifungo cha maisha baada ya kumti . . .
Uongozi wa Klabu ya Mbeya Kwanza FC imemtangaza kocha wa zamani wa Dodoma Jiji, Mbwana Makata kuwa Kocha Mkuu wa kikosi cha klabu hiyo i . . .
Wajumbe wa Umoja wa Mabunge Duniani IPU wakiwa katika mkutano wa 144 wa Umoja huo wakisikiliza hotuba mbalimbali za Maspika zikiwasilishwa . . .
Johnson ole Kiyaipi alizikwa kwa heshima kamili ya kijeshi nyumbani kwake Kenya baada ya kuuawa na bomu lililotegwa kando ya barabara nc . . .
Ukraine ilikataa mapendekezo ya Russia kuusalimisha mji uliozingirwa wa Mariupol siku ya Jumatatu huku vikosi vya Russia vikiendeleza . . .
Mwanadiplomasia wa juu wa Umoja wa Ulaya ameamuru kusitishwa kwa mafunzo ya kijeshi kwa wanajeshi nchini Mali. Mkuu wa sera za mambo ya . . .
Serikali ya Kenya imesema kuwa inatarajia uchumi wake kuimarika kwa asilimia 6% mwaka huu , baada ya kunawiri kwa asilimia asilimia 9.9% . . .
Kesi ya mauaji ya mfanyabiashara wa madini, Mussa Hamis inayowakabili maofisa saba wa polisi mkoani Mtwara, imeahirishwa kutokana na kile . . .
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amewatolea mwito raia wa nchi hiyo kuendelea na mapambano dhidi ya wanajeshi wa Urusi katikati ya ongez . . .
Kiungo Mshambuliaji Wa Klabu ya Simba SC Bernard Morrison amewataka Mashabiki wa klabu hiyo kuamini timu yao bado ina nafasi kubwa ya ku . . .
Wanajeshi wa Urusi bado wanajaribu kuzingira mji mkuu wa Ukraine, kyiv, ambapo shambulio la bomu liliua takriban watu wanane usiku wa J . . .
Zaidi ya wanajeshi 10 wameuawa na watu wanaoshukiwa kuwa wanajihadi katika eneo la mashariki mwa Burkina Faso, duru za kijeshi zimesema.Il . . .
Uganda imezipiku Kenya na Tanzanzia katika tathmini ya mataifa yenye furaha Zaidi dunini .Kenya imeshikilia nafasi ya 119 baada ya kushuka . . .
Faru Rajabu mtoto wa aliyekuwa Faru maarufu Tanzania Faru John, amefariki dunia jumapili usiku katika hifadhi ya taifa ya serengeti akiw . . .
Ndege ya shirika la ndege la China Eastern Airlines aina ya Boeing 737 iliyokuwa imebeba watu 132 imeanguka katika mkoa wa Guangxi, vyombo . . .
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Prof. Abel Makubi ameagiza miradi yote ya Wizara ya Afya chini ya Mfuko wa fedha wa kimataifa (IMF) iwe im . . .
Jumla ya mashine 24 za michezo za bahati nasibu zenye thamani ya zaidi ya Tsh. Milioni 36 zimevunjwa na Bodi ya Michezo ya Bahati Nasibu . . .
Mwenyekiti Chadema, Freeman Mbowe amekumbusha machungu ya utawala wa aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya huku akidai kuwa, . . .
Utawala wa Rais wa Marekani Joe Biden umeafiki kwamba unyanyasaji uliofanywa dhidi ya jamii ya walio wachache ya Rohingya na jeshi la My . . .
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga TCAA, Hamza Johari amesema ndege aina ya Embraer 190 5H-FJH iliyozuiwa nchini Tanzania na . . .
Rais wa Uganda Yoweri Museveni ametangaza kifo cha spika huyo kwenye akaunti yake ya Twitter, Jumapili mchana.Katika ujumbe wake, rais Mseve . . .
Ujerumani imeondosha mkururo wa mwanzo wa vizuizi vya kukabiliana na vurusi vya corona kitaifa, hatua ambayo imezusha wasiwasi wa kwa taif . . .