Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewapa maagizo viongozi wawili aliowaapisha leo Jumanne Machi 15, 2022.Viongozi hao ni Balozi wa Tanz . . .
Kinara wa Wiper Kalonzo Musyoka amesema atatumia mbinu za Naibu Rais William Ruto iwapo kinara wa ODM Raila Odinga atashinda kiti cha urais . . .
Naibu Waziri Mkuu wa Uingereza Dominic jana Jumatatu amesema Uingereza inaunga mkono jitihada ya Mahaka ya Kimatiafa ya ICC katika kuchung . . .
Uturuki na Ujerumani zimekubaliana kuendelea kufanya jitihada za kidiplomasia katika kuhakikisha mapigano yanasitishwa nchini Ukraine, h . . .
Makamu wa Rais wa RS Berkane Majid Medrane amethibitisha kuandikwa kwa barua ya malalamiko na kutumwa Shirikisho la Soka Barani Afrika â . . .
Serikali ya Tanzania leo imepokea msaada wa vifaa tiba kutoka Serikali ya Ufaransa, kwa ajili ya kupambana na ugonjwa wa UVIKO-19. . . .
Shabiki wa Kalbu ya Young Africans Peter Kanduru ametimiza ahadi yake kwa kumzawadia Ng’ombe Mshambuliaji hatari wa klabu hiyo kwa sasa, . . .
Wawili hao wamezungumza mengi kuhusu mahusiano ya mapenzi ambayo yalikuwa yanadaiwa kuwepo huku mashabiki wengi wakiamini wimbo huo umet . . .
Vijana waendesha bajaji Halmashauri ya Mbeya kata ya Mbalizi wametoa pongezi zao kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia . . .
Rais Samia Suluhu Hassan atashiriki na viongozi mbalimbali pamoja na wananchi wa Mkoa wa Geita katika hafla ya kumbukumbu ya mwaka mmoja w . . .
Kundi la wananchi katika eneo la Fela wilayani Misungwi mkoani Mwanza unapojengwa mradi wa Reli ya Kisasa (SGR), kati ya Mwanza hadi Isaka . . .
Naibu mwenyekiti wa Jubilee David Murathe amedai kwamba mgombea urais wa Azimio la Umoja Raila Odinga atakuwa rais wa tano, hata kama hatapi . . .
Polisi katika Kaunti ya Kisii wameanzisha uchunguzi baada ya mwili wa mwanamke wa umri wa kati kupatikana umetupwa nje ya kituo cha polisi m . . .
Mwanamke aliyejulikana kwa jina la Alvera Uwitonze mwenye umri wa miaka 56 anayeishi na ulemavu uliomfanya ashindwe kutembea kawaida ana . . .
Jinsi gani ya kufanya mamilioni ya vijana kuelewa vigingi vya vita vya Ukraine wakati hawasomi taarifa zinazotolewa kwenye magazeti au kut . . .
Serikali ya kijeshi ya Chad na makundi kadhaa ya upinzani walianza mazungumzo ya amani jana nchini Qatar kama hatua ya kwanza kuelekea k . . .
Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdogan atajadili vita nchini Ukraine na Kansela wa Ujerumani, Olaf Scholz katika mazungumzo yatakayofanyika . . .
Wanajeshi wa Urusi wameendeleza harakati zao za kijeshi kuelekea mji mkuu wa Ukraine, Kyiv wakati pande zote zikitarajiwa kukutana leo kat . . .
liyewahi kuwa rais wa Marekani Barack Obama amekutwa na maambukizi ya corona baada ya kufanyiwa vipimo.Obama ametangaza kuwa na maambukizi . . .
Watumiaji wa mtandao wa Instagram nchini Urusi wamepewa taarifa kuwa huduma hiyo imesitishwa kuanzia saa sita usiku Jumapili ya March 14 2 . . .
MWANDISHI wa habari wa Shirika la Habari la New York Times la Marekani, Brent Renaud amepigwa risasi na kuuawa akiwa katika majukumu yak . . .
Iran imeamua kusitisha kwa muda mazungumzo yake ya siri yaliyofanywa na Baghdad yenye lengo la kupunguza mivutano ya miaka mingi na hasi . . .
Timu ya US Monastir ya Tunisia ilikuwa ya kwanza kukata tiketi ya kuingia robo fainali ya michuano ya BAL baada ya kuishinda timu ya Dak . . .
Polisi wa Zimbabwe mwishoni mwa wiki walikizuia chama kikuu cha upinzani nchini humo kufanya mikutano kabla ya uchaguzi wa machi 26, k . . .
Kocha Mkuu wa RS Berkane ya Morocco Florent Ibenge amesema hatashangaa kuiona Simba SC ikicheza Fainali ya Kombe la Shirikisho msimu huu . . .
Uongozi wa Young Africans umesema upo tayari kumuuza mchezaji yoyote mwishoni mwa msimu huu, endapo itapata ofa nzuri inayoendana na thama . . .
Basi la kampuni ya Kilimanjaro linalofanya safari kutoka Tunduma kwenda Dar es Salaam limepata ajali maeneo ya Senjele mkoani Songwe. . . .
Watu wasiopungua 60 wamethibitishwa kufariki baada ya treni ya mizigo kutoka kwenye njia yake katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.Ajal . . .
Moto mkubwa ambao chanzo chake bado hakijajulikana leo Jumapili Machi 13, 2022 umeteketeza kiwanda cha kutengeneza magodoro kinachomilikiw . . .
Vikosi vya Urusi vimeushambulia mji wa bandari wa Ukraine, Mariupol, huku wakaazi wakijificha katika msikiti wa kihistoria na kwingineko . . .
Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia Wanawake na Makundi Maalum Dkt. Dorothy Gwajima amekemea vikali matukio ya mauaji ya wazee kwa tuhuma . . .
Idara ya Usimamizi wa Majanga nchini Msumbiji imesema jana kuwa watu wasiopungua 10 wameuawa na kimbunga Gombe kilichotua kaskazini-mashar . . .
Washindi wa mechi ya ufunguzi ya BAL ya msimu wa pili timu ya Seydou Legacy Athletique Club (SLAC) ya Guinea wamepata ushindi mwin . . .
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Liberata Mulamula, amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Mamb . . .
Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa amesema kuwa nchi hiyo imeombwa kuwa msuluhishi wa mgogoro unaoendelea kati ya Russia na Ukraine. . . .
Kampuni ya Peak Resources Ngualla (PRNG) itakayojihusisha na uchimbaji wa madini ya teknolojia ya Rare Earth Elements ambayo yanatumika . . .
Mashambulizi ya Urusi leo hii yanaelezwa kuyalenga maeneo ya raia huko katika mji wa katikati wa Ukraine Dnipro, huku vikosi vya wanajeshi . . .
Mkuu wa Mkoa wa Dar esa Salaam Amos Makalla amewahimiza Mashabiki wa soka mkoani humo na sehemu za karibu, kufika Uwanja wa Benjamin Mkapa . . .
Mganga Mkuu wa Serikali, Dkt. Aifello Sichwale amesema kuwa wanawake wanaonekana kuwa na hatari kubwa ya kupata matatizo Sugu ya Figo uk . . .
ukiambiwa kuna mzee nchini Uturuki amegonga miaka 339 duniani utaamini? Basi ishu iko hivyo; ila ukiamini utaungana na wenzako wasioamini . . .