logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Pata Habari Zote Hapa

  • Habari na Matukio Yote Ndani ya Nchi Na Duniani Kote
Mauaji
  • Na Asha Business
  • March 20, 2022

Mabomu ya Urusi yadaiwa kuyashambulia makazi ya watu 400

Mamlaka katika mji wa bandari uliozingirwa nchini Ukraine, Mariupol imesema jeshi la Urusi limeishambulia shule ya sanaa ya mji huo, eneo . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • March 20, 2022

Urusi yadai kuwauwa wanajeshi 100 wa Ukraine mjini Schytomyr

Shambulio la Urusi katika kituo cha mafunzo cha karibu na mji wa kati wa Ukraine wa Schytomyr ladaiwa kuwauwa wanajeshi 100 wa Ukraine na . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • March 20, 2022

Ajali nyingine ya wawili Morogoro

Zikiwa zimepita siku mbili tangu ajali ya basi na lori na kusababisha vifo vya watu 23 mkoani Morogoro, ajali nyingine ya gari ndogo ya . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • March 18, 2022

RATIBA KAMILI YA MECHI ZITAKAZO CHEZA ROBO FAINALI YA UEFA

Mabingwa watetezi Chelsea watamenyana na mabingwa mara 13 Real Madrid katika robo fainali ya Kombe la Klabu Bingwa barani Ulaya.Mabingwa wa . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • March 18, 2022

Daktari wa meno miaka 20 jela

Daktari wa meno huko Wisconsin Marekani amepatikana na hatia ya makosa matano ya ulaghai wa huduma ya afya baada ya kugundulika kuharibu . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • March 18, 2022

TDMA Yapiga Marufuku Uvutaji Sigara Maeneo Ya Hadhara

MAMLAKA ya Dawa na Vifaa Tiba Tanzania (TMDA) imepiga marufuku  kutumia bidhaa za tumbaku katika maeneo yasiyo rasmi ili kulinda af . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • March 18, 2022

Poland yasema zaidi ya wakimbizi milioni 2 wameingia nchini humo kutoka Ukraine

Poland inasema zaidi ya wakimbizi milioni mbili, wengi wao wakiwa wanawake na watoto wamewasili nchini humo tangu kuanza kwa mapigano nc . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • March 18, 2022

Zaidi ya raia 700 wameuawa nchini Ukraine

Umoja wa Mataifa umedai kuwa zaidi ya raia 700 wakiwemo watoto 52 wameuawa nchini Ukraine tangu Urusi ilipoivamia jirani yake wiki tatu . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • March 18, 2022

Rais wa Marekani Joe Biden kuzungumza na rais wa China, Xi Jing Ping

Washington imeelekeza nguvu zake Beijing, Alhamisi, ambapo rais wa Marekani, Joe Biden, alipanga kufanya mazungumzo ya nadra na rais wa . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • March 18, 2022

Simba SC yadhamiria kufuzu ugenini

Menaja wa Habari na Mawasilino wa Klabu ya Simba SC Ahmed Ally amesema lengo kuu la kikosi chao kuelekea Benin ni kuendeleza mapambano k . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • March 18, 2022

Hassan Bumbuli aikazia macho KMC FC

Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasilino ya Klabu ya Young Africans Hassan Bumbuli ameijibu KMC FC baada ya klabu hiyo ya Kinondoni Jijini . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • March 18, 2022

Waliosambaza video ya Prof. Jay watiwa mbaroni

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamshikilia Samwel Mhina (31) mkazi wa Temeke pamoja na wenzake 13 kwa tuhuma za kusambaza . . .

Mastaa
  • Na Asha Business
  • March 17, 2022

Davido kuwagawia wanaijeria zaidi ya milioni 110

Nyota wa muziki kutoka nchini Nigeria David Adedeji Adeleke maarufu Davido ametangaza neema kwa raia wa nchini Nigeria kwa kuamua kugawa . . .

Uchumi biashara
  • Na Asha Business
  • March 17, 2022

Waziri Biteko kushiriki kikao cha Baraza la Uchumi na Jamii UN

Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko amekutana na Rais wa Baraza la Uchumi na Jamii la Umoja wa Mataifa (ECOSOC), Collen Kelapile katika ki . . .

Mahakamani
  • Na Asha Business
  • March 17, 2022

Afungwa miaka 30 jela kwa kumbaka mwanafunzi mara bili

uraha Samweli Ligate (26) mkazi wa kijiji cha Unyangala wilaya ya Makete mkoani Njombe amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la k . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • March 17, 2022

Simba SC kusajili wanne 2022/23

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Klabu Bingwa Tanzania Bara Simba SC Salim Abdallah ‘Try Again’ amesema klabu hiyo ina mpango wa k . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • March 17, 2022

Wasafirishaji bidhaa nje wahimizwa kupima bidhaa zao

hirika la Viwango Tanzania (TBS) limetoa wito kwa wafanyabiashara kutumia huduma ya msaada wa kitaalamu kwa wasafirishaji wa bidhaa nje ya . . .

Muziki
  • Na Asha Business
  • March 17, 2022

Album ya Mavoko yasitishwa

Kwa zaidi ya wiki tatu sasa, mwanamuziki Rich Mavoko amekuwa akipaza sauti za kuunadi ujio wa album yake mpya aliyopanga kuiachia rasmi Ma . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • March 17, 2022

Rais Joe Biden amwita Putin kuwa mhalifu wa kivita

Wakatu hali ikiendelea kuwa mbaya nchini Ukraine, Rais Joe Biden wa Marekani amemwita rais wa Urusi Vladimir Putin kuwa ni mhalifu wa ki . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • March 17, 2022

Mkuu wa WHO asema janga kubwa zaidi ya kiafya duniani liko Ethiopia

Wakati ulimwengu unatoa zingatio kubwa kwa mgogoro wa Ukraine, Shirika la Afya Duniani limesema hakuna mahala duniani ambapo afya za watu . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • March 17, 2022

Mchezaji wa kwanza Afrika kuvunja mkataba Urusi

Mnigeria Sylvester Igboun (31) amekuwa Mwanasoka wa Kiafrika wa kwanza kuondoka kwenye Ligi ya Urusi kufuatia uvamizi uliofanywa na Urus . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • March 17, 2022

Wezi wavamia nyumbani kwa Pogba akiwa uwanjani

Kiungo wa klabu ya Manchester United Paul Pogba ametangaza kuwa nyumba yake ilivamiwa na wezi siku ya Jumanne usiku wakati timu yake iki . . .

Muziki
  • Na Asha Business
  • March 17, 2022

Album ya Kiba yazidisha ‘streams’ 150 milioni

Meneja wa mwanamuziki Ali Kiba, Aidan Charlie ameweka wazi kuwa Album ya msanii wake imefanikiwa kufikisha zaidi ya streams Milioni 150 . . .

Habari
  • Na Asha Business
  • March 17, 2022

Mwaka mmoja bila Rais Magufuli

 Machi 17, 2022, Tanzania inaadhimisha mwaka mmoja wa kifo cha rais wa awamu ya tano wa taifa hilo, John Magufuli.Magufuli alifariki ku . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • March 16, 2022

Mwanamke Mwenye Kucha Ndefu Zaidi Duniani Hatimaye Azikata kwa Mara ya Kwanza

Ayanna Williams, mwanamke anayeishi Texas ambaye alishikilia rekodi ya 'Guinness World Record ya kuwa na kucha ndefu zaidi duniani, hatimaye . . .

Dini
  • Na Asha Business
  • March 16, 2022

Pasta Maarufu Aliyekuwa Anatarajiwa Kufanya Miujiza Kenya Anaswa na Dawa za Kulevya

Videoz nyingi zinasambaa mtandaoni na Instablog9ja zimeonyesha baadhi ya 'miujiza' yaliyofanywa na Ugochukwu Emmanuel Ekwem wiki chache zili . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • March 16, 2022

Lusajo "natamani kufunga zaidi"

Mshambuliaji wa Namungo FC Reliant Lusajo amewajibu baadhi ya Wadau wa Soka la Bongo ambao wamekua wakihoji ubunifu wa ushangiliaji pale . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • March 16, 2022

Biden kuhudhuria mkutano wa kilele wa Umoja wa Ulaya

Rais Joe Biden wa Marekani Alahimis ya juma lijalo anatarajiwa kwenda mjini Brussels kwa lengo la kuhudhuria mkutano wa kilele wa Umoja wa . . .

siasa
  • Na Asha Business
  • March 16, 2022

Wabunge wa Iraq kumchagua rais Machi 26

Bunge la Iraq limeitaja Machi 26 kuwa siku ya uchaguzi wa rais wa taifa hilo, baada ya kucheleweshwa. Aidha limetoa orodha ya mwisho ya wa . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • March 16, 2022

Meya wa Kiev amwalika Papa Francis

Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis amealikwa mjini Kiev wakati jiji hilo likiwa katika hatua ya kukaribiwa na hali nyingine . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • March 16, 2022

Viongozi watatu wa Ulaya wafanya ziara Ukraine

Viongozi watatu wa eneo la Ulaya Mashariki wamekutana na Rais wa Ukraine,Volodymyr Zelensky  katika mji uliozingirwa wa Kyiv, katika . . .

Afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • March 16, 2022

Mchungaji aliyekuwa jambazi sugu

Mchungaji ambaye amekiri kuhusika na ujambazi wa hali ya juu nchini Kenya wakati wa ujana wake miaka ya 90. Rebecah alikuwa ameishi kiji . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • March 16, 2022

Mwandishi Mwingine Auawa Ukraine Akiripoti

Mwandishi wa habari na mpiga picha wa kituo cha Fox News, Pierre Zakrzewski aliyekuwa na umri wa miaka 55, ambaye alikuwa na makazi yake . . .

Kilimo
  • Na Asha Business
  • March 15, 2022

Serikali Ya Tanzania Yakaribisha Wawekezaji Sekta Ya Kilimo

Serikali ya Tanzania imewakaribisha wawekezaji wa masuala ya kilimo kuwekeza nchini ili kuongeza mnyororo wa thamani wa mazao ya kilimo . . .

Siasa
  • Na Asha Business
  • March 15, 2022

Mkuu wa majeshi afungwa kwa jaribio la mapidunzi Sudan

Mahakama ya kijeshi nchini Sudan imemuhukumu kifungo cha miaka tisa gerezani mkuu wa majeshi wa zamani wa taifa hilo, Hashem Abdel-Muttali . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • March 15, 2022

Ujerumani kununua ndege mpya za kijeshi Marekani

Ujerumani imesema itaziondoa baadhi ya ndege zake za kivita za zamani aina ya Tornado kwa kununua aina mpya kutoka Marekani ya F-35A, zeny . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • March 15, 2022

UN yalaani hukumu ya kunyongwa watu 81 Saudi Arabia

Mkuu wa kamisheni ya haki za binaadamu ya Umoja wa Mataifa, Michelle Bachelet amelaana vikali hukumo ya kifo kwa watu 81 kwa siku moja huk . . .

Mahakamani
  • Na Asha Business
  • March 15, 2022

Mshtakiwa amuogopa Sabaya asema ni mtu hatari

Shahidi wa saba upande wa utetezi katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya, Watson . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • March 15, 2022

Afariki akijaribu kumuokoa mchumba wake

toto wa bilionea Juan Carlos Escotet Rodriguez mwenye umri wa miaka 31 amepoteza maisha wakati akijaribu kumuokoa mchumba wake wakati wa . . .

Mahakamani
  • Na Asha Business
  • March 15, 2022

Hukumu rufaa ya Sabaya Mei 6

Mahakama Kuu Kanda ya Arusha imepanga Mei 6, 2022 kutoa hukumu ya rufaa iliyokatwa na aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya . . .

Kurasa 184 ya 212

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Habari Category