Marekani imelikataa pendekezo la Poland la kutowa ndege za kijeshi za enzi za Kisovieti ili zikabidhiwe kwa Ukraine katika kuisaidia kweny . . .
Mamlaka nchini Ukraine zinasema kuwa ndege za kijeshi za Urusi zimefanya mashambulizi mapya kwenye makaazi ya raia katika sehemu za kati n . . .
Marekani siku ya Jumanne ilisisitiza kuunga mkono mpango wa Morocco wa kujitawala kwa Sahara magharibi ili kusuluhisha mzozo wa miongo . . .
Vikosi vya usalama vya Sudan vilimkamata kiongozi mkuu wa upinzani hapo Jumanne huku maafisa wakifyatua gesi ya kutoa machozi kuwazuia . . .
Marekani inapiga marufuku uagizaji wowote wa mafuta na gesi ya Russia, Rais Joe Biden alitangaza Jumanne hatua ambayo alisema italeta . . .
Nahodha na Mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Soka ya Tanzania, Mbwana Samatta na mamia ya watu maarufu wamejitokeza kuchangia timu ya Taifa . . .
Polisi nchini Kenya wamewakamata zaidi ya waendeshaji 200 wa boda boda katikati mwa jiji la Nairobi huku msako mkali dhidi ya sekta h . . .
Mfalme wa zamani wa Uhispania Juan Carlos amesema ataishi mjini Abu Dhabi licha ya kukamilika kwa uchunguzi kuhusu shughuli zake za kifedh . . .
Idadi ya wakimbizi wanaokimbia vita nchini Ukraine inatarajiwa kufika milioni mbili katika siku mbili zijazo. Mkuu wa Shirika la Wakimbizi . . .
Ujumbe wa maafisa waandamizi wa Marekani ulikwenda nchini Venezuela Jumamosi kwa mazungumzo na wajumbe wa serikali ya Rais Nicolas Madur . . .
Kanisa katoliki nchini Malawi limeishutumu serikali kwa kuwa dhaifu juu ya ufisadi katika barua nadra ya ukosoaji iliyotolewa Jumapili . . .
MWAKA mmoja! Mwaka mmoja wa Utumishi uliotukuka, uzalendo, upendo na utu. Mwaka mmoja wa ushujaa kwake na kwa watanzania. Mwaka mmoja wa . . .
Urusi imesema kuwa inaweza kusitisha operesheni na kuacha kuishambulia Ukraine wakati wowote endapo Ukraine itatimiza masharti ya Urusi . . .
Balozi wa Urusi katika Umoja wa Mataifa, Vassily Nebenzia, amesema nchi yake itasitisha mapigano kuanzia saa nne asubuhi ya leo kwa majira . . .
Kenya imetia saini mkataba na kampuni ya teknolojia ya kibayoteknolojia ya Marekani, Moderna Inc, kujenga kituo cha kutengeneza chanjo n . . .
Ni 7, Machi, 2022 ambapo Brig Gen Hashim Yusuf Komba, Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la TATC na Kamanda Kikosi cha Nyumbu Project amekutana na . . .
Licha ya kupoteza kwa bao 1-0 dhidi ya Young Africans katika mchezo wa Mzunguuko wa 17 wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Wachezaji wa Geita Gold . . .
Katika kuadhimisha siku ya wanawake duniani, Taifa la Misri limeandika historia baada ya kuwaapisha wanawake 98 kuwa majaji. Majaji . . .
Klabu ya Azam FC imejitoa Rasmi katika mbio za Ubingwa wa Tanzania Bara msimu wa 2021/22, baada ya kuangusha alama 08 katika michezo mitat . . .
Kocha Mkuu wa Simba SC Franco Pablo Martin anaamini bado kikosi chake kina nafasi ya kutetea taji la Ligi Kuu Tanzania Bara kwa mara ya ta . . .
Kufungwa kwa mashamba 11 ya maua mkoani Arusha katika miaka ya hivi karibuni, kumesababisha hasara ya mabilioni na zaidi ya wafanyakazi . . .
Kila mwaka Machi 08, Umoja wa Mataifa husheherekea haki zilizopatikana kwa bidii za wanawake- na kuangazia changamoto ambazo bado ziko . . .
Mwanariadha wa Kirusi Ivan Kuliak anakabiliwa na kesi ya kinidhamu na Shirikisho la Kimataifa la Gymnastics (FIG) kwa kuonyesha herufi " . . .
Watu wawili wamefariki na wengine watatu kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha magari mawili likiwamo lililobeba mafuta na kuwaka moto k . . .
Shirika la Reli Tanzania (TRC) limesema tiketi zitakazotumika wakati wa safari za treni ya kisasa ya umeme SGR zitatumia mfumo wa kielek . . .
Mlinda Lango chaguo la pili katika kikosi cha Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Simba SC Beno Kakolanya, huenda akaanza langoni leo Ijumaa . . .
Jeshi la polisi wilaya ya Nkasi limefika katika Kijiji Cha Mpasa kilichopo Wilaya ya Nkasi Mkoani Rukwa na kufukua mwili wa Marehemu Amb . . .
Makachero wa Idara ya Upelelezi wa Jinai (DCI) wameanzisha msako dhidi ya mwanamume mmoja aliyemshambulia kwa kisu mwajiri wake kabla ya kut . . .
Wawakilishi katika mazungumzo ya Urusi na Ukraine wamekubaliana juu ya haja ya kutenga njia salama ya kupitisha misaada ya kiutu na . . .
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ametangaza rasmi kuwa atawania muhula wa pili katika uchaguzi wa rais wa mwezi Aprili. Kwa muda sasa rais . . .
Mamlaka nchini Australia zimeonya hii leo juu ya ongezeko la mvua zaidi mwishoni mwa juma katika mikoa kadhaa iliyokumbwa na mafuriko mash . . .
Wakati maelfu ya watu wakiendelea kujificha katika mahandaki kukwepa vita na kutafuta usalama nchini Ukraine, mwanamke mmoja amepata uchun . . .
YANGA inazidi kupasua anga ikionyesha inalitaka kombe na wakati mbio hizo zikiendelea kocha wao Nesreddine Nabi ameshusha mkwara mzito a . . .
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky anasema njia ya ya kumaliza vita mara moja nchini Ukraine ni kufanya mazungumzo ya moja kwa moja na Rai . . .
Vladimir Putin anapunguza idadi ya watu waliokaribu nae, na kusababisha jeshi la Urusi kuwa katika vita vya hatari ambavyo vinatishia ku . . .
Huku uvamizi wa Urusi dhidi ya Ukraine ukiendelea, athari za kiuchumi kutokana na vita vinavyoendelea tayari zimeanza kujitokeza kote . . .
HALMASHAURI ya Jiji la Dar es Salaam imesema imejipanga kuhakikisha inaongeza kiwango cha ufaulu kwa wanafunzi ikiwa ni pamoja na kuwa . . .
CHUO Kikuu cha Sokoine cha Kilimo kupitia mradi wa VaSPHARD kwa kushirikiana na Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali wamefanya mafunzo kwa . . .
Viongozi wa Jumuiya ya kiuchumi ya Afrika Magharibi ECOWAS wamefuta ziara yao nchini Burkina Faso iliyokuwa na lengo la kukutana na kiongo . . .
Rais wa Urusi Vladimir Putin ameelezea uvamizi wa nchi yake dhidi ya Ukraine kama "operesheni maalum ya kijeshi". Lakini, tangu mwanzo, . . .