Kusimamishwa kwa Waziri Mkuu Mohamed Hussein Roble kunakuja siku moja baada ya Waziri Mkuu huyo kumshutumu Rais Farmajo kwa njama katika&nbs . . .
Kutoka pale Uwanja wa Mkapa, Wenyewe wanajiita ni Wananchi, Yanga SC, hii leo imeshuka Dimbani kuivaa Biashara United, huku Biashara United . . .
ais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi ametoa salamu za rambirambi kwa familia za marehemu waliofariki . . .
Baada ya kula sikukuu ya Krisimasi huku wakiwa na shangwe za mataji wa Bao 4 - 0 dhidi ya KMC katika mechi yao iliyopigwa Uwanja wa Ali Hass . . .
MABOSI wa Yanga wako katika vikao vya siri wakipiga hesabu za usajili kupitia dirisha dogo lililofungwa Desemba 16, lakini ripoti ya kocha w . . .
Unaambiwa mabosi wa Simba na Polisi Tanzania wapo hatua nzuri ya kubadilishana makipa, Metacha Mnata akiingia Msimbazi, huku Beno Kakolanya . . .
Baada ya miaka mitatu tangu baadhi ya makaburi ya Vingunguti, jijini Dar es Salaam kusombwa na maji ya Mto Msimbazi, Halmashauri ya Jiji la . . .
Waziri wa Afya, Ustawi wa jamii, Wazee, Jinsia na Watoto, Zanzibar, Nassor Ahmed Mazrui amepata maambukizi ya ugonjwa wa Uviko-19 laki . . .
Kamera ya James Webb Space ya NASA, iliyotengenezwa kuiwezesha dunia kufahamu ulimwengu ulivyokuwa wakati sayari za kwanza zilipopatikana, i . . .
Maafisa nchini DR Congo wanasema kwamba takriban watu sita wamefariki katika shambulio la mlipuaji wa kujitoa muhanga katika makahawa ulioja . . .
Mchezaji anayelengwa na Arsenal, Chelsea na Manchester City Dusan Vlahovic huenda akaondoka katika klabu yake katika dirisha la uhamisho la . . .
Askofu mstaafu wa kanisa la Kianglikana, Desmond Tutu wa Afrika Kusini, ambaye alikuwa mshindi wa Tuzo ya Amani ya Nobel ameaga dunia akiwa . . .
WATU wanne wamepoteza maisha baada ya gari la mizigo aina ya Scania lenye namba za usajili T 654 DRW walilokuwa wakisafiria kuacha nj . . .
SERIKALI ya Afrika Kusini imetaka kusitishwa kwa mnada wa kuuza funguo za chumba cha jela alichokuwa akiishi hayati Nelson Mandela kwenye je . . .
SAILI Juma (27) mkazi wa Mbeya ambaye mapema wiki hii alilala kitandani nyumbani kwao Mbeya na ghafla akaamkia juu ya mti Masasi mkoani Mtwa . . .
Jumla ya watoto watatu wa kiume wamezaliwa katika mkesha wa Krismasi katika Hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Shinyanga wakiwa salama wenye afya . . .
Rais Joe Biden ameingia madarakani wakati hadhi ya Marekani ulimwenguni ilifikia rekodi ya chini.Katika nchi 60 na maeneo yaliyofanyiwa ukus . . .
Licha ya mwaka wa pili wa kuwepo kwa masharti ya kusafiri kwa sababu ya COVID -19, mji wa Bethlehem, eneo ambako alizaliwa Yesu, lilifufua s . . .
Tanzania imetoa masharti mapya ya usafiri kwa wasafiri wanaoingia na kutoka nchini humo kama hatua ya kudhibiti maambukizi ya virusi vya Cov . . .
Watanzania wameungana na Wakristu wengine duniani kusherehekea sikukuu ya Krisimasi huku katika ibada kwenye makanisa mbalimbali nchini ujum . . .
Katika hali ya kushanganza Mbunge mmoja wa jimbo la Embakasi Mashariki nchini Kenya aliyefahamika kwa jina Babu Owino amezua taharuki bungen . . .
Jeshi la Polisi nchini Kenya linamshikilia Dereva Bodaboda kwa tuhuma za mauaji ya mwanafunzi wa kidato cha tatu katika Shule ya Sekondari T . . .
Vilio na Simanzi vimetawala wakati wa ibada ya kumuaga Mwanafunzi ambaye amehitimu katika Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) . . .
Wabunge wachapana makonde live Bungeni baada ya kutokea ubishani wakati wa mjadala juu ya Sheria ya tozo ya Miamala ya KidijitaliU . . .
Tume ya uchaguzi nchini Libya imeagiza kuvunjwa kwa kamati za uchaguzi nchini humo na kutilia mashaka uwezekano wa kuandaliwa kwa uchaguzi w . . .
Naibu meya wa mji Cap-Haitien, nchini Haiti Patrick Almonor amesema idadi ya watu waliokufa baada ya lori la mafuta kulipuka wiki iliyopita . . .
Mkuu wa Wilaya ya Iringa Mohamed Hassan Moyo akiongea na wazazi na wanafunzi juu ya umuhimu wa kujua kusoma na kuandikaMkuu wa Wilaya ya Iri . . .
Madereva Bodaboda na Bajaji jijini Dar es Salaam, wametakiwa kujiamini na kutambua kuwa wana haki ya kujitafutia riziki kwa njia h . . .
Mahakama ya Wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro imemhukumu kwenda jela miaka 20 Abdallah Salehe (23) mkazi wa Kisiwani kwa kosa la kukamatwa n . . .
Picha za mvulana mdogo Mkenya aliyevalia mavazi ya polisi, akiwa na bunduki bandia pamoja na pingu za plastiki, zimevuma sana mitandaoni Mvu . . .
Mlipuko mkubwa wa gesi uliotokea leo kwenye mfumo wa majitaka katika mji wa Shershah kusini mwa Pakistan umewauwa watu wasiopungua 12 na kuj . . .
Serikali kupitia Wizara ya Afya imetoa tahadhari kwa wananchi kuzingatia kujikinga na Uviko-19 na kwamba ugonjwa huo bado upo hivyo huenda m . . .
Wachezaji waliofunga magoli mengi ndani ya mwaka mmoja.91 Messi 2012 (Barcelona)69 Ronaldo 2013 (Real Madrid)69 Lewandowski 2021 (Bayern)63 . . .
Mkuu wa Wilaya ya Iringa Mohamed Hassan Moyo akiwa anakagua miradi ya majengo ya madarasa kwa ajili ya wanafunzi wanaotarajiwa kuingia . . .
Dkt. Dorothy Gwajima, Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, wakati akifunga Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Maafisa Afya nchi . . .
Mtoto Leonard Morisha (11), mkazi wa Kijiji cha Ngemo, Mbogwe mkoani Geita, aliyefariki dunia na kuzikwa Juni 27, 2017, anadaiwa kufufuka ba . . .
Mwakilishi wa Shirika la kimataifa la Utafiti la CIAT, Dkt. An Notenbaert (katikati) akimkabidhi Mkuu wa Wilaya ya Rungwe Dkt. Vincent Anney . . .
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa, amemtaka mhandisi wa Jengo la abiria katika Uwanja wa ndege wa Mwanza kufika mara moja k . . .