logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Pata Habari Zote Hapa

  • Habari na Matukio Yote Ndani ya Nchi Na Duniani Kote
Mahakamani
  • Na Jembefmtz
  • December 30, 2021

Yaliyojiri Mahakamani Kesi ya Sabaya

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Arusha leo Jumatano Desemba 29, 2021 imeshindwa kutoa uamuzi mdogo katika kesi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilay . . .

Top Story
  • Na Jembefmtz
  • December 30, 2021

Mirabaha ya Wasanii Gizani

SERIKALI ilisema itaanza kulipa mirahaba ya kazi za wasanii kuanzia Desemba mwaka huu kupitia makusanyo yatakayopatikana kwenye vyombo vya h . . .

Mastaa
  • Na Jembefmtz
  • December 30, 2021

Kiba Amjibu Maua Sama “Hakuna wa Kukupiga”

Staa wa muziki Bongo Alikiba amemjibu Maua Sama kwa kumwambia hakuna mtu wa kumpiga akirudia kusikiliza wimbo wake wa Zai, Utu ya Alikiba na . . .

Top Story
  • Na Jembefmtz
  • December 30, 2021

Azam Yapata Mrithi wa Sure Boy, Wamtangaza Ibrahim Ajib

KIUNGO wa mpira Ibrahim Ajib baada ya kusitisha mkataba wake na mabosi wake wa zamani Simba ametambulishwa ndani ya kikosi cha Azam FC.Ajib . . .

Top Story
  • Na Jembefmtz
  • December 30, 2021

Polepole Akanusha Kutaka Kuanzisha Chama Kipya

Mbunge wa Kuteuliwa na Mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi Humphrey Polepole amekanusha taarifa za kutaka kuhama chama hicho na kuunda chama k . . .

Top Story
  • Na Jembefmtz
  • December 30, 2021

Mwanamke mwingine akutwa amekufa Arusha

Mwanamke mwingine mkazi wa Njiro jijini Arusha, Janerose Dewasi (66) amekutwa amefariki dunia nyumbani kwake baada ya kupigwa na kitu chenye . . .

Siasa
  • Na Jembefmtz
  • December 30, 2021

Majibizano ya Spika Ndugai na Rais Samia na fukuto la siasa za 2022 na 2025

ais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan na Spika wa Bunge la nchi hiyo, Job Ndugai kwa mara ya kwanza wamejibizana juu ya namna bora ya uendesh . . .

Kimataifa
  • Na Jembefmtz
  • December 30, 2021

Biden na Putin kufanya kuwasiliana kwa simu Alhamisi

Ikulu ya Marekani imesema Jumatano kwamba Rais Joe Biden atazungumza kwa njia ya  . . .

Kimataifa
  • Na Jembefmtz
  • December 30, 2021

Jumuia ya kimataifa yaingilia mzozo wa kisiasa wa Somalia

Msemaji wa Umoja wa Mataifa Ari Gaitanis amesema Jumatano kwamba  Umoja wa Matai . . .

Top Story
  • Na Gsengo
  • December 29, 2021

Aliyejenga kaburi barabarani apewa siku 45 kuliondoa

 Baraza la Ardhi la Kata ya King’ori wilayani Arumeru Mkoa wa Arusha, limemtaka mkazi wa kijiji cha King’ori, John Peter Nanyaro an . . .

Top Story
  • Na Jembefmtz
  • December 29, 2021

Nyota wa TikTok wamaasai Kutoka Tanzania wanaopata umaarufu miongoni mwa mashabiki wa Bollywood

Huku wakivalia vazi lao la kitamaduni la jamii ya Maasai na kuzungukwa na ng'ombe, nyota wapya wa Tanzania katika mtandao wa TikTok ambao ni . . .

SOKA ULAYA
  • Na Jembefmtz
  • December 29, 2021

Tetesi za soka Ulaya Jumatano 29.12.2021

Mshambulizi wa Ufaransa Kylian Mbappe anasema hatahamia Real Madrid mwezi Januari na atasalia Paris St-Germain hadi angalau mwisho wa msimu. . . .

Muziki
  • Na Jembefmtz
  • December 29, 2021

Wasanii Bongofleva waliofika mjini mwaka 2021

WANASEMA kuimba kupokezana! Kila mwaka wasanii wapya huingia kwenye gemu ya muziki wa Bongofleva kama ambavyo wasanii wengine hufulia na kup . . .

SOKA
  • Na Jembefmtz
  • December 29, 2021

Hitimana ndio basi tena Simba

Thierry Hitimana amevunja mkataba wake na klabu ya Simba kama kocha msaidizi baada ya makubaliano ya pande zote mbili.Hitimana jana Disemba . . .

Kimataifa
  • Na Jembefmtz
  • December 29, 2021

Kesi ya uchaguzi dhidi ya Barrow yatupiliwa mbali Gambia

Mahakama ya juu ya Gambia Jumanne imetupilia mbali kesi iliowasilishwa dhidi ya ushindi wa rais Adama Barrow kwa madai kwamba walioiwasilish . . .

Habari
  • Na Jembefmtz
  • December 29, 2021

Rais wa Brazil asema hatakubali mtoto wake kupewa chanjo ya Corona

Rais wa Brazil Jair Bolsonaro amesema kwamba hatampa chanjo bintiye mwenye umri wa miaka 11 dhidi ya COVID-19,Hatua hiyo ni mwendelezo wa ms . . .

Kimataifa
  • Na Jembefmtz
  • December 29, 2021

Israel yaanza kutoa chanjo ya nne kwa watu wake

Madakatari nchini  Israel Jumatatu wameanza kutoa chanjo ya nne ya covid 19  kwa . . .

Habari
  • Na Jembefmtz
  • December 29, 2021

Askofu Desmond Tutu kuzikwa siku ya mwaka mpya

Raia wa afrika Kusini wamekuwa walitembelea kanisa la St Georges mjini  cape town kutoa heshima zao za mwisho kwa Askofu mkuu Desmond T . . .

Kimataifa
  • Na Jembefmtz
  • December 29, 2021

Zaidi ya wahamiaji 400 waokolewa baharini

Meli ya shirika lisilo la kiserikali la Ujerumani Sea-Watch 3, ikiwa na wahamiaji 444, ilikuwa ikingoja kupewa bandari ya usalama kutia nang . . .

Kimataifa
  • Na Jembefmtz
  • December 29, 2021

Waziri wa mambo ya kigeni wa Italy azuru Tunisia

Waziri wa mambo ya kigeni wa Italy Luigi Di Maio Jumanne wakati akiwa ziarani Tu . . .

Top Story
  • Na Jembefmtz
  • December 29, 2021

Ndugai: Kuna siku nchi itapigwa mnada

Wakati Spika wa Bunge, Job Ndugai akihoji wanaofurahia nchi kukopa na kwamba deni limefika Sh 70 trilioni, Rais Samia Suluhu Hassan amesema . . .

Top Story
  • Na Jembefmtz
  • December 29, 2021

Samia: Tutakopa fedha kujenga reli ya kisasa

Rais wa Tanzania, Samia amesema ni lazima serikali ikope ili kumaliza mradi wa Reli ya Kisasa (SGR).Rais Samia ameyasema hayo leo Desemba 28 . . .

Burudani
  • Na Suzuki
  • December 28, 2021

DEFAO AFARIKI DUNIA

Mwanamuziki mahiri wa Rhumba, Le General Defao Matumona amefariki dunia akiwa nchini Cameroon. Defao ni mwanamuziki mwenye kipaji cha kutung . . .

Mastaa
  • Na Jembefmtz
  • December 27, 2021

Godliver: Sina ‘sini’ nyepesi wala nzito, zote kazikazi

Unapowazungumzia wasanii wanaofanya vizuri kwa namna wanavyoigiza na kuuvaa uhusika kwa sasa, huwezi kuacha kumtaja Godliver Gordian, maaruf . . .

Top Story
  • Na Jembefmtz
  • December 27, 2021

Diamond, Director Kenny Watwaa Tuzo AEAUSA

NYOTA wa muziki kutoka WCB, Diamond Platnumz ameshinda tuzo ya msanii bora wa mwaka barani 2021 barani Afrika kwenye tuzo za African Enterta . . .

Jamii
  • Na Jembefmtz
  • December 27, 2021

Kenya: Baba Aua Mwanaye Kwa Kumsumbua Usingizini

Wapelelezi kutoka Idara ya Makosa ya Jinai (DCI) wamefichua kwamba wamemkamata mzee wa miaka 73, James Tarus, kwa kumuua mwanae.Kijana huyo . . .

SOKA
  • Na Jembefmtz
  • December 27, 2021

Hatma ya Sakho, Wawa leo Simba SC

HATMA ya kiungo mshambuliaji, Ousmane Sakho na beki Pascal Wawa na wenzao watatu itajulikana leo, ya kuendelea au kubakia kukipiga Msimbazi. . . .

Top Story
  • Na Jembefmtz
  • December 27, 2021

Kapu La Masta Shangwe Lasambaza Upendo Kwa Wakazi Wa Dar Es Salaam.

Mkuu wa Mauzo Vodacom Kanda ya Dar es Salaam na Pwani, Brigita Shirima (kushoto) akimkabidhi zawadi ya smart Tv mmoja kati ya washindi wa wi . . .

Dini
  • Na Jembefmtz
  • December 27, 2021

WATANZANIA WAASWA KUILINDA AMANI YA NCHI YAO

Mufti Mkuu wa Tanzania shehe Abubakari Zuberi amewatahadharisha watanzania kuilinda amani ya nchi yetu kwamba ikiondoka kuirudisha itachukua . . .

Top Story
  • Na Jembefmtz
  • December 27, 2021

Rais Samia atoa msamaha kwa wafungwa 5,704

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametoa msamaha kwa wafungwa 5,704 katika kuadhimisha miaka 60 ya UhuruAkizungumza na wandishi wa habar . . .

Matukio
  • Na Jembefmtz
  • December 27, 2021

Polisi Dar wamuita Mwingira kwa mahojiano

Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro ameagiza ndani ya saa 24 kutafutwa na kuanza kuhojiwa kwa Askofu wa Kanisa . . .

Siasa
  • Na Jembefmtz
  • December 27, 2021

Rais Samia ateua Mwenyekiti mpya Tume ya Uchaguzi

Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali akiwamo Jaji Jacob Casthom Mwambegele aliyeteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Tume y . . .

Afrika
  • Na Jembefmtz
  • December 27, 2021

Rais wa Somalia amsimamisha kazi Waziri Mkuu wake

Kusimamishwa kwa Waziri Mkuu Mohamed Hussein Roble kunakuja siku moja baada ya Waziri Mkuu huyo kumshutumu Rais Farmajo kwa njama katika&nbs . . .

Top Story
  • Na Jembefmtz
  • December 26, 2021

YANGA wagawa Dozi kwa Biashara 2-1

Kutoka pale Uwanja wa Mkapa, Wenyewe wanajiita ni Wananchi, Yanga SC, hii leo imeshuka Dimbani kuivaa Biashara United, huku Biashara United . . .

Habari
  • Na Jembefmtz
  • December 26, 2021

Rais Mwinyi Atoa Pole Kwa Waliofariki Kwa Kula Samaki Kasa

ais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi ametoa salamu za rambirambi kwa familia za marehemu waliofariki . . .

SOKA
  • Na Jembefmtz
  • December 26, 2021

Fraga anarudi Simba SC.

Baada ya kula sikukuu ya Krisimasi huku wakiwa na shangwe za mataji wa Bao 4 - 0 dhidi ya KMC katika mechi yao iliyopigwa Uwanja wa Ali Hass . . .

SOKA
  • Na Jembefmtz
  • December 26, 2021

Nabi afanya mikakati kabambe ya Dirisha Dogo la Usajili

MABOSI wa Yanga wako katika vikao vya siri wakipiga hesabu za usajili kupitia dirisha dogo lililofungwa Desemba 16, lakini ripoti ya kocha w . . .

Top Story
  • Na Jembefmtz
  • December 26, 2021

Metacha, Kakolanya kupishana Msimbazi

Unaambiwa mabosi wa Simba na Polisi Tanzania wapo hatua nzuri ya kubadilishana makipa, Metacha Mnata akiingia Msimbazi, huku Beno Kakolanya . . .

Jamii
  • Na Jembefmtz
  • December 26, 2021

Makaburi takriban 200 kuhamishwa Vingunguti kupisha athari za mto

Baada ya miaka mitatu tangu baadhi ya makaburi ya Vingunguti, jijini Dar es Salaam kusombwa na maji ya Mto Msimbazi, Halmashauri ya Jiji la . . .

Top Story
  • Na Jembefmtz
  • December 26, 2021

Mazrui augua Uviko-19

Waziri wa Afya, Ustawi wa jamii, Wazee, Jinsia na Watoto,  Zanzibar, Nassor Ahmed Mazrui amepata maambukizi ya ugonjwa wa Uviko-19 laki . . .

Kurasa 202 ya 212

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Habari Category