logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Pata Habari Zote Hapa

  • Habari na Matukio Yote Ndani ya Nchi Na Duniani Kote
Top Story
  • Na Asha Business
  • January 20, 2022

WAZIRI MKUU WA UINGEREZA ASEMA HATOJIUZULU

  Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson anayepigania kuinusuru kazi yake baada kufanya sherehe za kunywa pombe ofisini na makazi . . .

Top Story
  • Na JZ The Brand
  • January 20, 2022

MZOZO WA UKRAINE NA URUSI

Joe Biden: "Itakuwa janga kwa Urusi ikiwa itaivamia zaidi Ukraine"Rais wa Marekani Joe Biden amesema kuwa anafikiria mwenzake wa Urusu Vladi . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • January 20, 2022

RIPOTI YA CHANJO YA UVIKO-19 YATOLEWA RUKWA,

Wananchi wa mkoa wa Rukwa wamepongezwa kwa kujitokeza kupata chanjo ya kinga dhidi ya ugonjwa wa Korona ambapo hadi kufikia mwezi Januari mw . . .

Top Story
  • Na JZ The Brand
  • January 20, 2022

KUUNGUA KWA SOKO LA MITUMBA JIJINI DAR ES SALAAM

             Rais Samia Suluhu ametuma salamu za pole kwa wafanyabiashara wote w . . .

Top Story
  • Na Gsengo
  • January 20, 2022

MHUDUMU WA GESTI AUAWA KWA KUKABWA SHINGO KWA KAMBA YA VIATU CHUMBANI KWA MTEJA

MUHUDUMU wa nyumba ya kulala wageni ya Peace Lodge iliyoko katika eneo la Matarawe Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma ambaye jina lake limehif . . .

Kimataifa
  • Na Suzuki
  • January 19, 2022

KUANZIA FEBRUARI WASIOCHANJWA KUTOZWA FAINI HADI TSH. 9,414,826 NCHINI AUSTRIA.

Kuanzia Februari Nchini Austria, Chanjo kwa Watu wazima itakuwa ni lazima na wote ambao hawajachanjwa watapokea wito wa kuchomwa sindano ya . . .

Kitaifa
  • Na Suzuki
  • January 19, 2022

SERIKALI YASISITIZA KUENDELEA KUSIMAMIA HAKI ZA WATUMISHI.

erikali imesema, zaidi ya Watumishi wa Umma 180,000 wamepandishwa madaraja ambapo Wilaya ya Nkasi iliyopo mkoani Rukwa imenufaika na promosh . . .

SOKA
  • Na Suzuki
  • January 19, 2022

Comoro Yawaduwaza Ghana kwa kuwatupa nje ya Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON)

Timu ya taifa ya Comoro imeitupa Ghana nje ya Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON), baada ya kuichapa mabao 3-2 katika mchezo wa mw . . .

Kitaifa
  • Na Suzuki
  • January 19, 2022

GHARAMA ZA VIFURUSHI VYA INTANETI ZADAIWA KUPANDA NCHINI.

Wadau wameshuhudia mabadiliko katika bei za Vifurushi vya Intaneti, ikionekana Kampuni za Mawasiliano zimepunguza ukubwa wa Vifurushi vilivy . . .

Habari
  • Na Suzuki
  • January 19, 2022

Anayeidai TRA Shilingi milioni 986 adai kutishiwa maisha

 Kwa takribani miaka sita sasa, mfanyabiashara Ramadhani Ntunzwe ‘Babu Rama’, ameendelea kupaza sauti kudai fidia ya Sh986 milioni . . .

Kimataifa
  • Na Suzuki
  • January 18, 2022

MATETEMEKO YA ARDHI YAUA ZAIDI YA WATU 20 AFGHANISTAN

Maafisa Usalama Nchini humo wamesema watu zaidi ya 20 wamefariki dunia baada ya matetemeko ya ardhi yaliyotokea eneo la Magharibi mwa Taifa . . .

Top Story
  • Na Suzuki
  • January 18, 2022

AJINYONGA JUU YA GOLI

Tyson Kilasi (32), Mkazi wa Kijiji cha Mawindi Halmashauri ya Wilaya ya Wanging’ombe Mkoani Njombe, amekutwa amefariki kwa kujinyonga kwen . . .

SOKA ULAYA
  • Na Suzuki
  • January 18, 2022

ROONEY ATAJWA KUINOA EVERTON

Nyota na mkongwe wa Manchester United, Wayne Rooney anatajwa kuwa huenda akarithi mikoba ya Rafael Benitezndani ya Goodison Park.Everton sik . . .

Mastaa
  • Na Suzuki
  • January 18, 2022

MOBETTO AMKANA RICK ROSS

Mwanamitindo na msanii maarufu Bongo, Hamisa Mobetto amekana madai kwamba ana uhusiano wa kimapenzi na Rapa wa Marekani Rick Ross.Akizungumz . . .

Matukio
  • Na Jembefmtz
  • January 13, 2022

AJALI: BUS NA HIACE ZAGONGANA MWANZA

Ajali imetokea kati ya Bus la Zakaria na Hiace ya Airport - Kisesa ambapo Dereva wa Hiace hiyo amefariki.Aidha Bus liliacha njia yake na kuf . . .

Top Story
  • Na Gsengo
  • January 11, 2022

AJALI MBAYA YAPOTEZA MAISHA YA WAANDISHI WA HABARI MWANZA

 Ajali ya Gari – Simiyu.Watu kumi na wanne wakiwemo waandishi wa habari watano, leo wamepoteza maisha katika ajali ya gari iliyotokea . . .

Top Story
  • Na Suzuki
  • January 10, 2022

KESI YA SABAYA NA WENZAKE KILINDIMA TENA LEO.

Kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake sita inatarajiwa kuendelea leo kwa shahidi . . .

Top Story
  • Na Suzuki
  • January 10, 2022

BINTI ADAIWA KUMUUA MAMA ILI ARITHI MALI

Ikiwa zimepita siku kadhaa tangu litokee tukio la kijana mmoja jijini Arusha kumuua mama yake mzazi kwa tamaa ya mali, limeibuka tukio lingi . . .

Top Story
  • Na Suzuki
  • January 10, 2022

MPANGO KUMUWAKILISHA SAMIA SADC

Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango anaondoka nchini hii leo kuelekea Lilongwe, Malawi kumuwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan katika mkutano w . . .

Matukio
  • Na Suzuki
  • January 10, 2022

Wanne wauwawa kwa radi wakichimba kaburi Chunya

 Watu wanne wamefariki dunia papo hapo na mwingine kujeruhiwa baada ya kupigwa na radi wakati wakichimba kaburi katika Wilaya ya Chunya . . .

Top Story
  • Na Gsengo
  • January 8, 2022

RAIS SAMIA AFANYA MABADILIKO BARAZA LA MAWAZIRI, MAKATIBU WA KUU NA MANAIBU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo Jumamosi Januari 8,2022 amefanya mabadiliko Madogo katika Baraza la Maw . . .

Top Story
  • Na Gsengo
  • January 6, 2022

Breaking : SPIKA JOB NDUGAI AJIUZULU

 Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai ametangaza kujiuzulu wadhifa wake huo ndani ya Bunge leo Alhamisi, . . .

Uchumi | Biashara
  • Na Gsengo
  • January 6, 2022

MBUNGE MSAMBATAVANGU : VIJANA TENGENEZENI VIKUNDI VYA KIUCHUMI

 Mbunge wa jimbo la Iringa Mjini Jesca Msambatavangu amefanya mazungumzo binafsi na wajumbe wa baraza la vijana la wilaya ya Iringa Mji . . .

Afrika
  • Na Suzuki
  • January 4, 2022

RAIS WA MSUMBIJI NA MKEWE WAMEKUTWA NA MAAMBUKIZI YA UVIKO 19

Rais wa Msumbiji, Filipe Nyusi na mkewe Isaura wamekutwa na maambukizi ya virusi vya Uviko-19.Taarifa iliyotolewa na ofisi ya Rais huyo jana . . .

Top Story
  • Na Suzuki
  • January 4, 2022

TEUZI LEO JANUARI 04.2022.

. . .

Habari
  • Na Suzuki
  • January 4, 2022

RAIS SAMIA AMJULIA HALI SHEIKH MKUU.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimjulia hali Sheikh Mkuu wa Tanzania Mufti Abubakar Bin Zubeir anayepati . . .

Kitaifa
  • Na Suzuki
  • January 4, 2022

MOTOTO AFARIKI KWA KUNYWA DAWA YA MIFUGO.

Mtoto mwenye umri wa miaka mitano amefariki dunia huku mwingine akinusurika baada ya kunywa dawa ya chanjo ya ng’ombe katika kitongoji cha . . .

Kimataifa
  • Na Suzuki
  • January 3, 2022

MTOTO ALIYEZALIWA ANGANI ATUPWA KWENYE PIPA LA CHOO CHA NDEGE.

Wafanyakazi wa uwanja wa ndege nchini Mauritius wamekuta mtoto mchanga wa kiume aliyetelekezwa kwenye chombo cha kuhifadhia taka ndani ya ch . . .

Kimataifa
  • Na Suzuki
  • January 3, 2022

AL SHABAB WAUA SITA KENYA

Takriban watu sita wameuawa na vijiji kuchomwa moto na watu wanaoshukiwa kuwa wanamgambo wa Al Shabab katika mji wa pwani wa Lamu nchini Ken . . .

Muziki
  • Na Suzuki
  • January 3, 2022

"SIJAWAHI KUMALIZA MWAKA BILA KWENDA JELA" KODAK BLACK

Rapa kutokea Marekani, Kodak Black amesema mwaka 2022 anataka kuiondoa laana ya kwenda jela tofauti na miaka mingine.Kodak Black amesema tan . . .

Top Story
  • Na Suzuki
  • January 3, 2022

SIMBA WATAMBULISHA JEZI MPYA.

Saa chache Mara baada ya wekundu wa msimbazi Simba kumtambulisha Ahamed Ally Kama msemaji wao mpya vilevile  Klabu ya Simba imezindua j . . .

Siasa
  • Na Suzuki
  • January 3, 2022

NDUGAI AOMBA RADHI.

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai amemuomba radhi Rais Samia Suluhu Hassan na Watanzania wote kutokana na mijad . . .

Kimataifa
  • Na Suzuki
  • January 3, 2022

WAZIRI MKUU WA SUDANI ABWAGA MANYANGA.

Waziri Mkuu wa Sudan, Abdallah Hamdok ametangaza kujiuzulu wadhifa huo baada ya maandamano makubwa katika mji mkuu wa nchi hiyo Khartoum, ya . . .

Michezo
  • Na Suzuki
  • January 3, 2022

AHMED ALLY AFISA HABARI MPYA SIMBA.

Simba SC imemtambulisha aliyekuwa mtangazaji wa Azam TV Ahmed Ally kuwa ndio meneja mawasiliano wa club yaani afisa habari, Ahmed Ally kabla . . .

SOKA ULAYA
  • Na Suzuki
  • January 2, 2022

LUKAKU AONDOLEWA KWENYE ORODHA YA KIKOSI EPL LEO DHIDI YA LIVERPOOL.

Chelsea wamemuondoa Mshambuliaji wao Romelu Lukaku katika list ya wachezaji watakaowatumia katika mchezo wa EPL leo dhidi ya Liverpool.Sabab . . .

Matukio
  • Na Suzuki
  • January 2, 2022

BUNGE LA AFRIKA KUSINI LA WAKA MOTO.

kumezuka Moto mkubwa ambao umeunguza jengo la Bunge la Afrika Kusini Mjini Cape Town.Taarifa zinasema moto huo umeanza alfajiri ya kuamkia l . . .

Top Story
  • Na Suzuki
  • January 2, 2022

MAKUSANYO TRILION 2.5 DESEMBA.

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema katika kipindi cha Mwezi December 2021 imekusanya TZS trilioni 2.51 kati ya lengo la kukusanya Tsh. . . .

NBC Tanzania Premier League 2021/2022
  • Na Suzuki
  • January 1, 2022

KOCHA PABLO AONYWA VIKALI.

Kocha Mkuu wa klabu ya Simba, Pablo Franco amepewa Onyo Kali kwa kosa la kushindwa kuzuia hisia ama mihemko yake hali iliyosababisha aoneshe . . .

Top Story
  • Na Suzuki
  • January 1, 2022

CCM KILIMANJARO WAMTAKA NDUGAI AJITAFAKARI.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kilimanjaro, Patrick Boisafi amedai kuwa kauli aliyoitoa Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndu . . .

Top Story
  • Na Suzuki
  • January 1, 2022

Makamu wa Rais ashiriki misa ya mwaka mpya

Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango akiwa na Mkewe Mama Mbonimpaye Mpango leo tarehe 1 Januari 2022 wameungana na waumini wa kanisa katoliki P . . .

Kurasa 201 ya 212

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Habari Category