kumezuka Moto mkubwa ambao umeunguza jengo la Bunge la Afrika Kusini Mjini Cape Town.
Taarifa zinasema moto huo umeanza alfajiri ya kuamkia leo, ambapo Vikosi vya Zimamoto vimekuwa vikipambana na moto huo ambao chanzo chake hakifahamiki.
Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii
Follow Us
Subscribe