Aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje Awamu ya 4 na Mgombea Urais kupitia ACT Wazalendo 2020, Bernard Membe, amefariki Dunia katika Hospitali ya Kairuki, Jijini Dar es Salaam baada ya kuugua kwa Muda Mfupi
Bernard Membe alihudumu katika nafasi ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa kutoka Mwaka 2007 hadi 2015.
Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii