Watu saba wamejeruhiwa baada ya 'lift' katika jengo la Millenium Tower - II Makumbusho, kuporomoka kutoka ghorofa ya 10
Chanzo cha ajali hiyo kinatajwa kuwa ni 'lift' kuzidiwa uzito baada ya watu zaidi ya 10 kuingia kwa wakati mmoja
Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii