Simba SC imemtambulisha aliyekuwa mtangazaji wa Azam TV Ahmed Ally kuwa ndio meneja mawasiliano wa club yaani afisa habari, Ahmed Ally kabla ya nafasi hiyo amewahi kufanya kazi Sahara Media Star TV & Radio Free pamoja na Azam Media rasmi Sasa Ahmed Ally ndiye anakwenda kushikilia majukumu hayo ndani wekundu wa msimbazi Simba.