logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Pata Habari Zote Hapa

  • Habari na Matukio Yote Ndani ya Nchi Na Duniani Kote
Kitaifa
  • Na Asha Business
  • January 25, 2022

WIZARA YA AFYA YAPONGEZA MAENDELEO YA MRADI UPANUZI JENGO LA MAMA NA MTOTO HOSPITALI YA RUFAA YA KANDA MKOANI MBEYA

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dkt. Seif Shekilaghe, amepongeza maendelo ya mradi wa upanuzi wa jengo la mama na mtoto na kumtaka mkan . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • January 25, 2022

Mkurugenzi wa WHO “dunia inaweza tokomeza Covid 2022”

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la . . .

Kimataifa
  • Na JZ The Brand
  • January 24, 2022

SERIKALI YA TAZANIA YAANIKA SABABU YA KUWA NA SIMBA WENGI DUNIANI

RAIS wa Jumuiya ya Uwindaji ya Kimataifa, (SCI), Sven Lindqueast ameitaja Tanzania kuwa ni nchi yenye  nusu ya simba wote Duniani k . . .

Muziki
  • Na Nattyebrandy
  • January 24, 2022

NEW VIDEO : FOBY - MUDA

Karibu kutazama video Mpya ya Foby ikiwa ni wimbo kutoka katika Ep Yake ya Me Myself and I. . . .

Kitaifa
  • Na JZ The Brand
  • January 24, 2022

TANZANIA COMMERCIAL BANK YAFUNGUA TAWI MKOANI KATAVI

Tanzania Commercial Bank (TCB)  imezindua tawi jipya Mkoa wa Katavi Wilaya ya Mpanda ikiwa ni jitihada za kusogeza huduma za k . . .

Kitaifa
  • Na JZ The Brand
  • January 24, 2022

TCRA IMETANGAZA UAMUZI WAKE DHIDI YA STAR TV KWA KUKIUKA SHERIA YA MAUDHUI

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imekifungia kwa miezi mitatu kipindi cha Efatha Ministry kinachorushwa kupitia kituo cha televishen . . .

Habari
  • Na JZ The Brand
  • January 24, 2022

WAZIRI MKUU AWATAKA WANAFUNZI KUSOMA KWA BIDII

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka watoto wa Kitanzania kujiwekea malengo na kusoma kwa bidii ili kupata maarifa yatakayolisaidia taifa . . .

Habari
  • Na JZ The Brand
  • January 24, 2022

MSHUMAA WA MATEJA CHANZO KUTEKETEA SOKO LA KARUME

Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla, amesema uchunguzi umebaini kuwa mshumaa uliowashwa na mateja ndio sababu ya kuungua kwa soko la . . .

Habari
  • Na JZ The Brand
  • January 24, 2022

KAULI YA SERIKALI JUU YA UHABA NA KUPANDA BEI YA SODA

Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Dk, Ashatu Kijaji amesema Serikali haitavumilia tabia ya wafanyabiashara wachache wenye dhamira . . .

Top Story
  • Na JZ The Brand
  • January 24, 2022

RAIS SAMIA ASHIRIKI SHEREHE ZA MWAKA MPYA 2022 KWA MABALOZI

Rais wa Jamhuri ya Muungano w . . .

Habari
  • Na JZ The Brand
  • January 24, 2022

KUFUTIA AGIZO LA RAIS SAMIA,CRDB BANK WAFANYA HILI SUALA LA RIBA KWA WAKULIMA NA WAFANYAKAZI

. . .

Habari
  • Na JZ The Brand
  • January 24, 2022

MWALIMU AJITOLEA KUFUNDISHA MIAKA16,WANANCHI WAMJENGEA NYUMBA

. . .

Mastaa
  • Na Gsengo
  • January 24, 2022

HII HAPA NGOMA MPYA YA HARMONIZE - MWAKA WANGU (Official Music Video)

  HARMONIZE - MWAKA WANGU . . .

Top Story
  • Na Gsengo
  • January 24, 2022

MKE, MUME WASHIKILIWA KWA TUHUMA ZA MAUAJI MWANZA.

Jeshi la Polisi mkoa wa Mwanza linawashikilia watu watano wakiwemo mke na mume kwa tuhuma za kuhusika kwenye mauaji ya watu watatu wa famili . . .

Muziki
  • Na Gsengo
  • January 24, 2022

NEDY MUSIC :CHRISTIAN BELLA KWANGU NI KAMA KAKA

Alianza kung’ara kupitia muziki wake akiwa kama yeye na baadae kushikwa mkono na Ommy Dimpoz chini ya Pkp ambaye pia alifanikiwa kumuinua . . .

Mastaa
  • Na Gsengo
  • January 24, 2022

STEVE HARVEY AKIRI KUWA MICHAEL JORDAN NI KIJANA MWENYE MAADILI

Mchekeshaji maarufu na mtangazaji wa tv na radio Broderick Stephen Harvey a.k.a Steve Harvey ni moja ya watu wenye ushawishi mkubwa katika s . . .

Muziki
  • Na Gsengo
  • January 24, 2022

FOBY:NIMEZALIWA KUSAPOTI WATU WENGINE

Msanii wa muziki wa bongo fleva kutoka nchini Tanzania ambaye pia anafanya vizuri kwa sasa na ep yake ya MMI,Foby ambaye ameachia video ya m . . .

Drive Mix
  • Na Gsengo
  • January 24, 2022

MBUNGE NEEMA LUGANGIRA AWASILISHA MAPENDEKEZO YA KUFANYIWA KAZI ILI KUIMARISHA USTAWI WA NGOs KWA KATIBU MKUU DKT ZAINABU CHAULA

MBUNGE wa Viti Maalumu kupitia Kundi la Asasi za Kiraia NGOs Tanzania Bara, Mhe Neema Lugangira kulia akiteta jambo na Katibu Mkuu wa Wizara . . .

Michezo
  • Na Asha Business
  • January 24, 2022

BOSI SIMBA APELEKWA POLISI

OFISA wa Shirikisho la Soka Tanzania, TFF Jacqueline Kamwamu amemshataki Polisi Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Simba, Barbara Gonzalez. Mashta . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • January 24, 2022

Rais wa Burkina Faso Roch Marc Christian Kaboré azuiliwa katika kambi ya kijeshi

Rais wa Burkina Faso Roch Marc Christian Kaboré amezuiliwa katika kambi ya kijeshi, shirika la habari la Reuters limeripoti.Hatua hiyo Inak . . .

SOKA
  • Na JZ The Brand
  • January 24, 2022

Michezo FC Porto kumuacha Mbemba kisa kudanganya umri

. . .

Kitaifa
  • Na JZ The Brand
  • January 24, 2022

MADUKA HOSP MITA 500

"Maduka yote ya nje ya dawa yanatakiwa kuwa nje umbali wa mita 500 sheria hii niliipitisha kabla sijaondoka Wizarani, maduka yaliyo ndani ya . . .

Kimataifa
  • Na JZ The Brand
  • January 24, 2022

BASI BILA DEREVA

Norway imesema inajiandaa kuanza majaribio ya Mabasi ya Abiria yasiyokuwa na Dereva ambayo yataanza majaribio kuanzia April 2022,Mabasi hayo . . .

Matukio
  • Na JZ The Brand
  • January 24, 2022

ADAIWA KUMUUA MPENZI WAKE ALIEMTEMBELE

Msichana mwenye umri wa miaka 19 amekamatwa na Polisi katika Kijiji cha Thiba, Kaunti ya Kirinyaga nchini Kenya kwa madai ya kumuua Mpenzi . . .

Matukio
  • Na JZ The Brand
  • January 24, 2022

POLISI WASHANGAZWA KUMKUTA HAI MTU KWENYE TAIRI LA NDEGE

Polisi wa kijeshi nchini Uholanzi wameshangazwa kumkuta mtu aliyekuwa amejificha chini ya ndege kwenye eneo la tairi la mbele kuwa yuko . . .

Kimataifa
  • Na JZ The Brand
  • January 24, 2022

MAREKANI YAAGIZA FAMILIA ZA WAFANYAKAZI WA UBALOZI KUONDOKA UKRAINE

Marekani imewaagiza ndugu wa wafanyakazi wa ubalozi wake nchini Ukraine kuondoka nchini humo huku hali ya wasi wasi ikiendelea kungezeka kat . . .

Afrika
  • Na Suzuki
  • January 23, 2022

MOTO WAUA TAKRIBAN WATU 16 NA KUJERUHI 8 NCHINI CAMEROON

Serikali Nchini Cameroon imesema takriban watu 16 wamefariki dunia kwenye Klabu iliyopo Mji Mkuu wa Taifa hilo, Yaounde kufuatia ajali y . . .

NBC Tanzania Premier League 2021/2022
  • Na Suzuki
  • January 23, 2022

Msimamo wa Ligi Kuu ya NBC leo Januari 23, 2022

Sasa kutoka Msimbazi hadi Jangwani ‘gap’ ni pointi 10, wakati huo Coastal Union wanashuka kwa nafasi moja huku Namungo wakipanda k . . .

Top Story
  • Na Suzuki
  • January 23, 2022

RAIS SAMIA AMPONGEZA DKT, SALIM KUTIMIZA MIAKA 80.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amepongeza Waziri Mkuu Mstaafu wa Tanzania (1984-1985) Dkt. Salim Ahmed Sal . . .

NBC Tanzania Premier League 2021/2022
  • Na Suzuki
  • January 23, 2022

Yanga yazidi kung'ara Ligi Kuu Ya NBC Tanzania bara

Vinara wa Ligi Kuu Ya NBC Tanzania bara timu ya Yanga imeendelea na wimbi la ushindibaada ya kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya wenyeji Ta . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • January 23, 2022

Waandamana kupinga sherai za Corona Ujerumani

Maelfu ya watu waliandamana jana nchini Ujerumani kupinga vizuizi vya kuzuia kuenea kwa virusi vya corona na chanjo za lazima huku makundi . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • January 23, 2022

PENATI YA KAMARA YASABABISHA NYUMBA YAKE KULINDWA

Nyumba ya mshambuliaji wa Sierra Leone Kei Kamara bado iko chini ya ulinzi wa polisi baada ya mshambuliaji huyo kukosa penati dhidi ya G . . .

Afya
  • Na Suzuki
  • January 23, 2022

Njia nzuri za kujikinga na radi.

Pigo moja la radi linakadiriwa kuwa na Volt 125,000,000 za umeme. Kwa sasa hakuna njia kamili ya kujikinga na maafa ya radi isipokuwa kuna n . . .

Afya
  • Na Suzuki
  • January 23, 2022

Sababu za mtoto kukoroma usiku

Katika jamii zetu zimejaa imani tofauti tofauti,Inapo tokea mtoto anakoroma wakati wa kulala utasikia "kamrithi baba au mama yake" pasipo . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • January 23, 2022

Madawati Ya Kijinsia Vyuoni Isiwe Ya Mazoea Bali Yalete Tija’- Dkt. Gwajima

Serikali imesema Wanafunzi wa Vyuo Vikuu na Kati ni mojawapo ya wahanga wa vitendo vya ukatili wa kijinsia vinavyowasababishia kushuka k . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • January 23, 2022

Watu Watano wa Familia Moja Wauawa Dodoma

Watu watano wa familia moja wamekutwa wakiwa wameuawa nyumbani kwao eneo la Zanka wilayani Bahi mkoani Dodoma.Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodo . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • January 23, 2022

Abiria aliyegoma kuvaa barakoa asababisha ndege kukatisha safari angani

Kampuni ya ndege ya Marekani -American Airlines iliyokuwa ikisafiri kutoka Miami kuelekea London Uingereza imelazimika kurudi ilikotoka . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • January 23, 2022

Marekani kusitisha safari za ndege 44 kuelekea China

Serikali ya Marekani imesema  itasitisha safari za ndege 44 kuelekea China kutoka Marekani zinazofanywa na mashirika ya ndege ya . . .

Dini
  • Na Asha Business
  • January 21, 2022

'Mchungaji' akamatwa baada ya watu wenye ulemavu kupatikana wamefungiwa katika nyumba yake

Mchungaji mmoja na mkewe wamekamatwa kwa madai ya kuwafungia walemavu katika eneo la chini la nyumba yao.Maafisa wa polisi wanasema kwamb . . .

Muziki
  • Na JZ The Brand
  • January 21, 2022

TAMASHA LA SAUTI ZA BUSARA 2022 TUNAKOMAA KIMATAIFA

Tamasha la sauti za busara (sound of wisdom) limekuwa moja ya tamasha pendwa Afrika mashariki na hata Afrika kwa ujumla kutokana na namna ta . . .

Kurasa 200 ya 212

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Habari Category