MKazi
wa kitongoji Cha Manyara kijiji Cha Twatwatwa wilaya ya Kilosa Mkoani
Morogoro Amina Masoud ambaye anataaluma ya uwalimu wa awali amejitolea
kufundisha shule ya Msingi Twatwatwa kwa miaka 16 katika shule hiyo
akiwa Mwalimu pekee katika shule hiyo.