Ajali imetokea kati ya Bus la Zakaria na Hiace ya Airport - Kisesa ambapo Dereva wa Hiace hiyo amefariki.
Aidha Bus liliacha njia yake na kufuata gari ndogo (Hiace) eneo la Nyamongoro Nanenane Mwanza...
Taarifa zaidi utaendelea kuzipata kwa kadiri tutakavoendelea kupokea.