logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Pata Habari Zote Hapa

  • Habari na Matukio Yote Ndani ya Nchi Na Duniani Kote
Michezo
  • Na Jacobmlaytz
  • December 10, 2021

NI SIMBA AU YANGA KESHO??

Ebhanaaa eeeeeee hawa hapa tena December to remember!!!Jumamosi hii 11/12/2021 mechi ya mwisho ya watani wa jadi Simba vs Yanga kwa mwaka hu . . .

Jembe Maktaba
  • Na Jembefmtz
  • December 10, 2021

Kabla ya Tanzania, kabla ya Tanganyika

Katika kitabu chake mashuhuri cha Sapiens, mwanahistoria Yuval Noah Harari, anaeleza kuhusu kwanini binadamu amepiga hatua kubwa kimaend . . .

Top Story
  • Na Jembefmtz
  • December 9, 2021

Tigo Yataka Washiriki Kili Marathon Wajisajili Kwa Wingi

Kampuni ya Tigo ambayo inadhamini mbio za km 21 za Kilimanjaro Marathon imetoa wito kwa washiriki wa mbio hizo waendelee kujisajili kwa wing . . .

Top Story
  • Na Suzuki
  • December 9, 2021

Pato kwa Mtu kwa Mwaka 1961 lilikuwa Tsh .776

"Wastani wa Pato kwa Mtu kwa Mwaka 1961 lilikuwa Tsh .776 na kwa mwaka jana 2020 ni Tsh milioni 2.6 jambo hili linaongeza hadhi yetu machoni . . .

SOKA ULAYA
  • Na Suzuki
  • December 9, 2021

BARCELONA YATUPWA NJE UEFA.

Barcelona wanamaliza nafasi ya tatu kwenye Kundi lake na watakwenda kucheza Europa league.Mara ya mwisho Barcelona kushindwa kucheza hatua y . . .

SOKA ULAYA
  • Na Suzuki
  • December 9, 2021

TIMU ZILIZOFANIKIWA KUFUZU KWENDA HATUA YA 16 BORA MASHINDANO YA UEFA CHAMPIONS LEAGUE.

Nafasi moja itaamuliwa na mchezo kati ya Atalanta na Villareal ulioahirishwa kutokana na hali ya hewa.Timuzilizopo upande wa kushoto ndio VI . . .

Kitaifa
  • Na Suzuki
  • December 8, 2021

HAKUNA PESA YA NYONGEZA UJENZI WA JNHPP.

Waziri wa Nishati, Januari Makamba amesema mradi wa ujenzi wa bwawa la kufua umeme wa Julius Nyerere ( JNHPP ) utakamilika bila ongezeko la . . .

NBC Tanzania Premier League 2021/2022
  • Na Suzuki
  • December 8, 2021

Ni mwendo wa tambo na vijembe kuelekea Derby ya Kariakoo.

Ikiwa ni Siku tatu za tambo na vijembe kuelekea kwenye mchezo wa Kariakoo Derby, Simba na Yanga Disemba 11, 2021 kwenye dimba la Benjamin Mk . . .

Top Story
  • Na Suzuki
  • December 8, 2021

JOKATE AWAMWAGIA SIFA WAWEKEZAJI.

Mkuu wa Wilaya ya Temeke (DC), Jokate Mwegelo amesema anafurahishwa na namna ambavyo wawekezaji wanaonyesha imani na Serikali na kuzidi kuta . . .

Top Story
  • Na Suzuki
  • December 8, 2021

RAIS KENYATTA KUWA MGENI RASMI SHEREHE ZA UHURU.

Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta anatarajiwa kuanza ziara rasmi ya siku mbili nchini Tanzania kuanzia kesho, Desemba 9 ambapo atakuwa mgeni ras . . .

Kitaifa
  • Na Suzuki
  • December 8, 2021

SAMIA KUHUTUBIA TAIFA LEO.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe, Samia Suluhu Hassan, leo Jumatano  Desemba 8, 2021 saa 3:00 usiku, atalihutubia taifa . . .

Jamii
  • Na Suzuki
  • December 8, 2021

AJIUA BAADA YA MCHEPUKO WAKE KUULIWA NA MUMEWE WAKATI WA FUMANIZI.

Watu wawili wamefariki akiwemo kijana aliyeuawa kwa kukatwa na panga baada ya kufumaniwa na mke wa mtu kilimanjaro. Kamanda wa Polisi Mkoa w . . .

Kimataifa
  • Na Suzuki
  • December 8, 2021

Zaidi ya watu 100 wameuawa kufuatia mapigano ya kikabila katika jimbo la Dafur Magharibi nchini Sudan.

Mapigano kati ya Waarabu na wapiganaji wa Kiafrika kutoka jamii ya Masalit inayoungwa mkono na waasi wa zamani yamekuwa yakiendelea kwa siku . . .

Afrika Mashariki
  • Na Suzuki
  • December 8, 2021

Wachimbaji wa Madini watatu Wamepatikana Wakiwa Hai Siku sita Baada ya Kunaswa Shimoni.

Wachimbaji   watatu waliokuwa wamenaswa kwa siku sita shimoni Nchini Kenya  eneo la Abimbo huko Bondo, kaunti ya Siaya, wameo . . .

Top Story
  • Na Jembefmtz
  • December 8, 2021

JITIHADA ZA KUIMARISHA MAZINGIRA YA UWEKEZAJI BADO ZINAENDELEA - DKT. HUSSEIN MWINYI

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Mapinduzi Zanzibar, Dkt. Hussein Ali Mwinyi amefungua Kongamano la Uwekezaji lililofanyika katika ukumbi w . . .

Afrika Mashariki
  • Na Jembefmtz
  • December 8, 2021

Jeshi la Uganda laghadhabishwa na vikwazo vya Marekani dhidi ya mkuu wake wa ujasusi

Jeshi la Uganda limelalamikia vikwazo vya kifedha vilivyowekwa na Marekani dhidi ya Meja Jenerali Abel Kandiho, mkuu wa ujasusi wa kijeshi w . . .

Kimataifa
  • Na Jembefmtz
  • December 8, 2021

Marekani yamuwekea vikwazo Jenerali wa jeshi la Uganda

Wizara ya fedha ya Marekani imemuwekea vikwazo mkuu wa idara ya ujasusi wa jeshi la Uganda, Meja Jenerali Abdel Kandiho, kwa shutuma za ukiu . . .

Matukio
  • Na Jembefmtz
  • December 8, 2021

Radi yapiga wapenzi wakizini na kuua mmoja

Mkazi wa Kijiji cha Masweya Kata ya Mtunduru Wilaya ya Ikungi, Vaileth Hassan Mtipa (32) amefariki dunia baada ya kupigwa na radi wakiwa wan . . .

Mahakamani
  • Na Jembefmtz
  • December 8, 2021

Lissu afutiwa kesi za uchochezi, atoa masharti kurejea

Dar es Salaam. Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) na Mahakama, wamefuta kesi zote za uchochezi zilizokuwa zikimkabili Makamu Mwenyekiti wa Chadema . . .

Top Story
  • Na Jembefmtz
  • December 8, 2021

Nandy alia ubaguzi tuzo za Afrima, Serikali yaombwa kuingilia kati

Katika hali isiyotarajiwa, mwimbaji wa Bongofleva, Nandy amedai yeye na mwenzake  Zuchu walipata mapokezi na uangalizi mbovu kutok . . .

Top Story
  • Na Jembefmtz
  • December 8, 2021

RC Homera apiga ‘stop’ likizo watumishi wa Serikali Mbeya

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya (RC), Juma Homera amefuta likizo kwa watumishi wote wa Serikali mkoa huo ambao idara zao zinahusika na ujenzi wa mirad . . .

Top Story
  • Na Jembefmtz
  • December 8, 2021

Mbaroni kwa kulewesha abiria kwenye basi

Musoma. Polisi mkoani Mara inamshikilia mkazi wa kijiji cha Rugasha Bukoba Vijijini, Marco Saidi (68) kwa tuhuma za kuwalewesha abiria kweny . . .

Kitaifa
  • Na Jembefmtz
  • December 8, 2021

Serikali mbioni kuvifungulia vyombo vya habari

Serikali imesema ipo mbioni kuvifungulia vyombo vya habari ambavyo bado vimefungiwa mara baada ya kumaliza mazungumzo yanayoendelea hivi sas . . .

Top Story
  • Na Jembefmtz
  • December 8, 2021

Rais Samia aahidi sapoti zaidi kwa Tembo Warriors

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameipongeza timu ya taifa ya soka ya Walemavu ‘Tembo Warriors’ kwa kufuzu k . . .

Muziki
  • Na Jembefmtz
  • December 7, 2021

Harmonize azidi kupamba moto kwenye ulimwengu wa muziki

WALISEMA muziki ni vita kutokana na kila msanii kujipambania kutoboa na kujitangaza ndani na nje ya Afrika.Harmonize alitoa ya moyoni vita n . . .

Muziki
  • Na Jembefmtz
  • December 7, 2021

Rayvanny ameupiga mwingi 2021

MWAKA 2021 huo unakaribia kwisha. zimebaki siku 18 kuuambia kwaheri.Wakati watu wataukumbuka kwa mambo mbalimbali yakiwemo ya kuhuzunisha na . . .

SOKA
  • Na Jembefmtz
  • December 7, 2021

Namungo, Aussems sasa wanayajenga

NAMUNGO ni miongoni mwa timu inayopitia wakati mgumu kwenye Ligi Kuu Bara kutokana na kushindwa kupata matokeo mazuri huku ikielezwa kuwa ma . . .

SOKA
  • Na Jembefmtz
  • December 7, 2021

Simba yashusha kocha mpya

ACHANA na furaha waliyokuwa nayo Simba baada ya kufuzu kwa mara ya kwanza hatua ya makundi Kombe la Shirikisho Afrika, Uongozi wa timu hiyo . . .

Kimataifa
  • Na Jembefmtz
  • December 7, 2021

Mshukiwa wa mauaji ya mwandishi wa habari akamatwa

Mwanaume mmoja raia wa Saudi Arabia anayeshukiwa kuhusika na mauaji ya mwanahabari Jamal Khashoggi amekamatwa nchini Ufaransa, ripoti zinase . . .

Kimataifa
  • Na Jembefmtz
  • December 7, 2021

Siku za kufanya kazi zapunguzwa UAE

Umoja wa falme za kiarabu umepunguza siku za kufanya kazi hadi siku nne na nusu.Wikendi kwa wafanyakazi itakuwa inaanza jumamosi hadi jumapi . . .

SOKA ULAYA
  • Na Suzuki
  • December 7, 2021

MSIMAMO WA LIGI KUU YA ENGLAND BAADA YA MECHI 15.

Msimamo  wa ligi kuu ya England baada ya mechi 15.  Huku timu tatu Manchester City, Liverpool na Chelsea zikiwa na nafasi kub . . .

Afrika Mashariki
  • Na Suzuki
  • December 7, 2021

MGOMBEA URAIS NCHINI KENYA AMEAHIDI MIKOPO KWA WATAKAOOANA.

Mtia nia wa kugombea urais nchini Kenya ameahidi kutoa mikopo yenye thamani ya kati ya TZS milioni 10 hadi TZS milioni 20 kwa wanandoa wapya . . .

Burudani
  • Na Suzuki
  • December 7, 2021

DRAKE AJIONDOA KUWANIA TUZO ZA GRAMMY 2022.

Kwa mujibu wa ripoti kutoka mtandao wa Variety, rappa Drake amejiondoa kuwania tuzo za Grammy 2022.Mmoja wa wawakilishi wa tuzo hizo amefung . . .

Top Story
  • Na Jembefmtz
  • December 6, 2021

Tanzania yafunga kambi ya wakimbizi wa Burundi.

Kambi ya Mtendeli, moja ya kambi tatu za Tanzania zinazohifadhi wakimbizi wa Burundi imefungwa kabisa, baada ya zaidi  ya wakimbizi elf . . .

Top Story
  • Na Jembefmtz
  • December 6, 2021

Ommy Dimpoz awabwaga Alikiba, Diamond Platnumz, Harmonize Rayvanny tuzo za AFRIMMA

Mwimbaji wa muziki wa Bongo Flebva @ommydimpoz ameipeperusha vyema bendera ya Tanzania baada ya usiku wa kuamkia leo kuibuka mshin . . .

Matukio
  • Na Jembefmtz
  • December 6, 2021

Ghorofa laporomokea nyumba Goba, wanne wafariki - Dar es salaam

Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Kheri James amesema bado Jeshi la Polisi, Zimamoto na Vyombo vingine vya Ulinzi mpaka sasa vipo katika eneo la Gob . . .

Top Story
  • Na Jembefmtz
  • December 6, 2021

Sasii pilato Kariakoo Derby - NBC Tanzania Premier League 2021/2022

Wakati joto la pambano la Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya vinara Yanga dhidi ya Simba likizidi kupanda mwamuzi, Herry Sasii amepewa jukumu la . . .

Afrika
  • Na Jembefmtz
  • December 6, 2021

Ramaphosa awasihi wakaazi nchini Afrika kusini kupata chanjo ya COVID-19

Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika kusini alisema nchi hiyo sasa ina vifaa vya kutosha vya chanjo, chanjo ni muhimu kwa ajili ya kufufua uchumi . . .

Kimataifa
  • Na Jembefmtz
  • December 6, 2021

Marekani na washirika wake wanalaani serikali ya Ethiopia kuwashikilia wakaazi kwa misingi ya kabila

Taarifa hiyo ya pamoja iliyotolewa na wizara ya mambo ya nje Marekani ilisema Australia, Canada, Denmark, Uholanzi na Uingereza waliungana n . . .

JEMBEKA 20
  • Na Shilingcaizar
  • December 6, 2021

JEMBEKA 20 COUNTDOWN DECEMBER.5.2021

. . .

Kurasa 254 ya 261

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Habari Category