Ebhanaaa eeeeeee hawa hapa tena December to remember!!!
Jumamosi hii 11/12/2021 mechi ya mwisho ya watani wa jadi Simba vs Yanga kwa mwaka huu 2021!!
Nani kufunga Mwaka kwa CHEKO Je ni Lunyasi Simba au ni wananchi Yanga????
Ni swala la Muda tu Jumamosi ya kesho saa 11:00 Jioni Uwanja wa Taifa Kwa Mkapa.