logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Pata Habari Zote Hapa

  • Habari na Matukio Yote Ndani ya Nchi Na Duniani Kote
Habari
  • Na Jembe Digital
  • September 8, 2025

NIRC yafanya ziara ya ukaguzi miradi ujenzi wa skimu Makwale-Kyela

Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC) kupitia Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Uendelezaji wa Miundombinu, Mhandisi Leopord Runji, imefanya ziara . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • September 8, 2025

Siasa hazijawahi kunipa upendeleo wowote kauli ya Doyo

Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha National League for Democracy (NLD) Doyo Hassan Doyo amesema hajawah . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • September 5, 2025

Tanzania yatwaa ushindi wa kidijitali duniani

SERIKALI ya China imesema itaendelea kushirikiana na Tanzania katika kuhakikisha taifa linapiga hatua za haraka kwenye maendeleo ya kiuchumi . . .

siasa
  • Na Jembe Digital
  • September 5, 2025

Kabudi, Tulia wataja sababu kutiki kwa Dk Samia

Profesa Palamagamba Kabudi na Spika Dk Tulia Ackson wamebainisha sababu za wananchi kumuamini Rais Samia Suluhu Hassan na kumpa kura za kish . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • September 5, 2025

Gwiji wa Mitindo Giorgio Armani Afariki Dunia

Giorgio Armani, mbunifu maarufu wa mitindo kutoka Italia ambaye aligeuza dhana ya understated elegance kuwa himaya ya mabilioni ya dola kati . . .

SOKA
  • Na Jembe Digital
  • September 5, 2025

MO Dewji Ajiondoa Uenyekiti Simba, na kumteua Crescentius Magori

Mwaka mmoja tangu kuteuliwa kuongoza Bodi ya Wakurugenzi ya Simba SC, bilionea na mwekezaji wa klabu hiyo, Mohammed Dewji (MO), ametangaza k . . .

Mastaa
  • Na Jembe Digital
  • September 5, 2025

Muigizaji maarufu wa filamu za BongoMuvi“Cloud” Awasili Nchini, Kuungana na Mashabiki Yanga Day – Video

Muigizaji mkongwe na maarufu wa filamu za BongoMuvi, Issa Musa maarufu kama “Cloud”, jana mchana amewasili nchini akitokea London, Uinge . . .

DINI
  • Na Jembe Digital
  • September 5, 2025

Rais Mwinyi aungana na Waislamu Maulid ya Kitaifa Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi, usiku wa Septemba 4 mwaka huu ameungana na maelfu ya w . . .

Habari
  • Na Jembe Digital
  • September 5, 2025

Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete Atunuku Tuzo Ya Chakula Barani Afrika

Wanasayansi wanawake wawili – Profesa Mary Abukutsa-Onyango kutoka Kenya na Mercy Diebiru-Ojo kutoka Nigeria – wametangazwa washindi wa . . .

mikasa
  • Na Jembe Digital
  • September 5, 2025

Taharuki yatokea kijijini msichana aliyefaa kuanza chuo Septemba kuuliwa na mpenzi wake

FAITH Kemunto Obino mwenye umri wa miaka 20 alitoweka nyumbani kwa wazazi wake kijijini Nyamonuri, eneobunge la Mugirango Kaskazini Kaunti y . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • September 5, 2025

Viongozi chipukizi wa Kenya Moja wavuruga hesabu za Weta, Musalia

MWAMKO mpya wa viongozi chipukizi unaoendelea kushuhudiwa Magharibi mwa nchi unatishia umaarufu wa Kinara wa Mawaziri Musalia Mudavadi na Sp . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • September 5, 2025

Rais Ruto atupilia mbali madai ya viongozi wa upinzani kuhusu gharama ya juu ya maisha

RAIS William Ruto ametupilia mbali madai ya viongozi wa upinzani kuhusu gharama ya juu ya maisha, huku akitetea sera za kiuchumi za serikali . . .

Matukio
  • Na Jembe Digital
  • September 5, 2025

Watu 33 wa kijiji kimoja walazwa hospitalini baada ya kula mzonga wa ng’ombe

Watu 33 kutoka kijiji cha Nyakeore, eneobunge la Mugirango Magharibi kaunti ya Nyamira wamelazwa hospitalini baada ya kula nyama ya ng’omb . . .

siasa
  • Na Jembe Digital
  • September 4, 2025

Kilimo, mifuko na Miundombinu kipaumbele cha Samia Mbeya

Mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapiduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, ameahidi kuendelea kuwekeza kweny . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • September 4, 2025

Devotha Minja aahidi kuboresha huduma za kijamii Kongwa

Mgombea Mwenza wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Devotha Minja ameahidi ku . . .

matukio
  • Na Jembe Digital
  • September 4, 2025

Mwili wa aliyekuwa Askofu KKKT Dk Martin Shao waagwa rasmi

Viongozi mbalimbali wameshiriki ibada ya kuaga mwili wa aliyekuwa Askofu mstaafu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosis . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • September 4, 2025

Bwawa la JNHPP kuwa kielelezo cha ushirikiano maonyesho ya IATF2025

Mradi wa kufua umeme wa maji wa Julius Nyerere (JNHPP) katika Mto Rufiji, umetajwa kuwa kielelezo cha ushirikiano wa Bara la Afrika wakati w . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • September 4, 2025

TANESCO wafanya maboresho njia ya kusafirisha umeme

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limefanya matengenezo kinga kwenye njia ya kusafirisha umeme wa msongo wa Kilovoti 220 kutoka kituo cha . . .

AFYA
  • Na Jembe Digital
  • September 4, 2025

Afreximbank yataka mapambano mapya ya kiuchumi

Rais wa Benki ya Maendeleo ya Uagizaji na Uuzaji Nje ya Afrika (Afreximbank), Profesa Benedict Oramah, amewataka viongozi, wawekezaji na waf . . .

SOKA
  • Na Jembe Digital
  • September 4, 2025

Simba Yamtambulisha Rasmi mchezaji mpya Kutoka JKT

Klabu ya Simba imeendelea kuimarisha kikosi chake kuelekea msimu mpya wa Ligi Kuu ya NBC na michuano ya kimataifa kwa kutambulisha rasmi usa . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • September 4, 2025

UAE Yashutumu Mpango wa Israel Kupora Ukingo wa Magharibi

Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) umeionya Israel kwamba mpango wa kutwaa kwa mabavu maeneo ya Ukingo wa Magharibi utavunja mipaka na kudhoofi . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • September 4, 2025

Urusi, China na Korea Kaskazini zashutumiwa Kupanga Njama

Rais wa Marekani, Donald Trump, ameibua shutuma nzito dhidi ya viongozi wa mataifa matatu yenye nguvu duniani, akiwatuhumu kupanga njama za . . .

Habari
  • Na Jembe Digital
  • September 4, 2025

Boti ya Kifahari Yazama Dakika 15 Baada ya Uzinduzi

BOTI mpya ya kifahari (yacht) yenye thamani ya Dola za Kimarekani 940,000 (sawa na takribani Shilingi Bilioni 2.3 za Kitanzania) imezama dak . . .

Matukio
  • Na Jembe Digital
  • September 4, 2025

Takriban miili 100 imepatikana Maporomoko ya Sudan

Vikosi vya utafutaji na uokoaji vimeendelea kutafuta miili katika eneo la Darfur magharibi mwa Sudan baada ya maporomoko ya ardhi kuzika kij . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • September 3, 2025

Kampuni ya ORYX GAS yaendelea kutoa elimu juu ya matumizi ya nishati safi

KAMPUNI ya ORYX GAS kwa kushirikiana na meneja mkuu wa mauzo na  masoko tanzania bara na visiwani Shaban Sungi wameendelea kujidhatit . . .

AFYA
  • Na Jembe Digital
  • September 3, 2025

Fahamu umri mrefu wa watu wa zamani na tofauti ya kizazi cha sasa

Watu wa zamani waliishi maisha yenye nidhamu ,mazoea ya kiafya na mshikamano wa kijamii ambao uliwasaidia kufikia umri mrefu kwa tofauti kub . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • September 3, 2025

Wawekezaji migodini watakiwa kuzingatia usalama Tanga

Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Salum Nyamwese, amewataka wawekezaji wa migodi ya madini kuhakikisha wanazingatia kikamilifu kanuni na miongozo y . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • September 3, 2025

Nyambi Athuman ataja vipaumbele 13 vya maendeleo CUF

 MGOMBEA wa ubunge katika Jimbo la Morogoro Mjini kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Nyambi Athuman amesema ilani ya chama hicho inaelek . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • September 3, 2025

Aliyemshitaki Mpina agoma kujivua uwanachama ACT

ALIYEDAIWA kufutwa uwanachama katika Chama cha ACT Wazalendo, Monalisa Ndala amekataa tamko la chama chake kumvua uwanachama, akidai yeye ba . . .

mahusiano
  • Na Jembe Digital
  • September 3, 2025

Fahamu Kauli ambazo Wanaume wanapenda Kuzisikia Kwa Wenza Wao, hizi Hapa

HAKUNA kitu kizuri kwenye uhusiano kama kujua mwenzako anapenda nini. Unapomjua mwenzako anachokipenda, itakusaidia katika suala zima l . . .

SOKA
  • Na Jembe Digital
  • September 3, 2025

Serikali yatoa tamko Simba na Yanga kutafuta Viwanja Mbadala vya Michezo

Serikali imetoa wito kwa klabu kongwe za Simba SC na Yanga SC, ambazo kwa sasa hutumia Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam, kuhaki . . .

Habari
  • Na Jembe Digital
  • September 3, 2025

Burkina Faso yapitisha sheria kali dhidi ya uhusiano wa jinsia moja

Serikali ya kijeshi nchini Burkina Faso imepitisha sheria inayopiga marufuku uhusiano wa kimapenzi wa jinsi moja na kuweka adhabu ya kifungo . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • September 3, 2025

Kampuni ya Marekani Yapata Leseni kuchunguza madini ya lithium Kongo

Kampuni ya madini ya Marekani, KoBold Metals, inayoungwa mkono na Bill Gates na Jeff Bezos, imepata leseni saba za kuchunguza madini ya lith . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • September 3, 2025

Dkt. Nchimbi Amwomba Mpina Kurejea CCM, Aahidi kumpokea mwenyewe

Mgombea Mwenza wa CCM katika Uchaguzi Mkuu wa 2025 Dkt. Emmanuel Nchimbi, amemwomba Luhaga Mpina kurejea kwenye chama chake cha awali C . . .

Matukio
  • Na Jembe Digital
  • September 3, 2025

Maporomoko ya Ardhi Yaua takriban Watu 1,000 Darfur, Sudan

Maporomoko makubwa ya ardhi yamefuta kijiji cha Tarasin kilichopo katika eneo la Darfur, Sudan, na kusababisha vifo vya takribani watu 1,000 . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • September 3, 2025

Taifa la Iceland latajwa Kuwa lenye Amani Zaidi Duniani

Taifa la Iceland, lililoko katika kanda ya Nordic, limeendelea kushikilia nafasi yake kama nchi yenye amani zaidi duniani kwa mujibu wa ripo . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • September 2, 2025

Nchimbi aahidi madarasa na vituo vya afya Itilima

Mgombea mwenza wa urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi amewaeleza wananchi wa Jimbo la Itilima, Mkoa wa Simiyu kwamba mae . . .

Matukio
  • Na Jembe Digital
  • September 2, 2025

Akutwa ameuawa na mwili kutelekezwa kigoma

Mtu mmoja mwanamume amekutwa ameuawa kwa kukatwakatwa kwa panga sehemu mbalimbali za mwili wake na watu wasiojulikana, kisha mwili wake kute . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • September 2, 2025

Mpinzani wa Museveni Besigye amegoma kuhudhuria kesi

Mwanasiasa wa upinzani nchini Uganda, Kizza Besigye, amegoma kuhudhuria kesi yake ya uhaini akimtuhumu jaji anayesimamia kesi hiyo kuwa na u . . .

Habari
  • Na Jembe Digital
  • September 2, 2025

Madereva wa treni mbaroni kwa wizi wa mbolea

Watu saba wakiwamo askari wawili wa Jeshi la Polisi wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Songwe kwa tuhuma za wizi wa mbolea yenye thaman . . .

Kurasa 26 ya 212

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Habari Category