Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Bukoba mkoani Kagera . . .
Mtuhumiwa mmoja ameuawa na mwingine ameripotiwa kuwa yuko mahututi . Uchunguzi wa polisi kuhusu mkasa huo unaendelea huku polisi wakisema wa . . .
Mafuriko ya makubwa yaliyotokana na mvua kubwa na ya ghafla yameuawa watu 21 katika mji wa pwani ya Moroko wa Safi.Picha zinazosambaa kwenye . . .
Waziri Mkuu Dk. Mwigulu Nchemba ametoa taarifa kuhusu hali ya ukame nchini, huku akiwataka Watanzania kutunza na kutumia kwa uangalifu akiba . . .
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres ametuma ujumbe kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo . . .
RAIS William Ruto ameongoza sherehe za Jamhuri Dei nchi ikiadhimisha miaka 62 tangu ilipopata uhuru.Sherehe hizo zinazoendelea katika uwanja . . .
Wananchi wa Dar es Salaam wameendelea kuonesha malalamiko yao kutokana na ukosefu wa maji safi katika maeneo mbalimbali ya jiji, hali ambayo . . .
Nchini Ufaransa, muungano wa vyama vya kiraia kwa ajili ya Rwanda (CPCR) umewasilisha mahakamni malalamiko dhidi ya Benki ya Ufaransa, ukiis . . .
Itakumbukwa Mnamo Disemba 5, mwaka huu 2025 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt, Mwigulu Nchemba alifanya ziara jijiji Mw . . .
Mkuu wa mkoa wa Manyara Queen Sendiga amefanya ziara ya kushtukiza kwenye bar iitwayo Barazani inayotiririsha maji machafu aina ya kinyesi c . . .
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ameliambia shirika la Habari la Al Arabiya la Saudi Arabia kuhusu mkutano huo, ingawa hakuf . . .
Msemaji wa Ikulu ya Marekani Karoline Leavitt amesema Donald Trump "amechoshwa na mikutano ya mara kwa mara" ambayo hadi sasa haijatoa mwang . . .
Ukraine inasisitiza kuwa na nguvu ya askari 800,000 katika jeshi lake chini ya pendekezo lililoboreshwa la mpango wa amani lililowasilishwa . . .
Zaidi ya watu 400 wameuawa tangu kundi la waasi la M23 linaloungwa mkono na Rwanda lilipozidisha mashambulizi katika jimbo la Kivu Kusini, m . . .
Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) imemhukumu kiongozi wa wanamgambo wa Janjaweed nchini Sudan Ali Kushayb kifungo cha miaka 20 jela kwa u . . .
Aliyewahi kuwa Waziri wa Afya wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Peramiho, Jenista Joakim Mhagama, aliyefariki dunia Desem . . .
Hali ambapo matiti ya mwanamume yanakua makubwa inafahamika kama gynaecomastia.Kwa kawaida hali hii hutokea kukiwa na tishu zaidi ya matiti . . .
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetaka kufutwa kwa uchaguzi uliofanyika Oktoba 29 na kuvunjwa kwa Tumehuru ya Uchaguzi nchini . . .
Ikiwa tunaeleka ukingoni mwa mwaka 2025, leo zimetimia siku 223 tangu kutekwa kwa kada wa Chama cha Demokrasia na Maendelo (CHADEMA) Mdude N . . .
Rais wa Marekani wa zamani, Donald Trump, ameendelea kumkosoa Mbunge wa Bunge la Marekani, Ilhan Omar, ambaye ni raia wa Marekani mwenye asi . . .
Nchini Benin, msemaji wa serikali Wilfried Houngbédji amezungumzia jaribio la mapinduzi la Desemba 7 huko Cotonou siku ya Jumatano, Desemba . . .
Rais wa Marekani Donald Trump siku ya Jumatano, Desemba 10, ametangaza kwamba Marekani imekamata meli ya mafuta "kubwa sana" kwenye pwani ya . . .
Kufuatia kufutwa kwa mkutano wa waandishi wa habari wa Nobel Desemba 9 mashaka yameongezeka kuhusu ushiriki wa Maria Corina Machado katika s . . .
Baadhi ya vyombo vya habari vimeonyesha waasi wa M23 wakiingia Uvira na kudhibiti maeneo muhimu ya mji huo ikiwemo ofisi za serikali na maen . . .
Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limetoa ripoti yake inayolishutumu kundi la Hamas na makundi mengine ya wapigan . . .
Waziri wa Mambo ya Nje wa Burundi Edouard Bizimana amesema zaidi ya Wakongomani 40,000 wamekimbia mapigano yanayoendelea mashariki mwa Jamhu . . .
Waziri wa Ujenzi Mhe. Abdallah Ulega (MB) leo Desemba 11 mwaka huu amefika katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza na kufanya mazungumzo mafu . . .
Mbunge wa Peramiho Jenista Joakim Mhagama amefariki dunia leo 11 Desemba mwaka huu jijini Dodoma. Taarifa hiyo imetolewa na Spika wa Bunge l . . .
KUWA na hedhi ni jambo la kawaida kutokea kila mwezi. Japo hedhi hutarajiwa hasa kwa wale wanaojua kuhesabu siku zao, kuna wakati ambapo kip . . .
Syria Jumatatu inaadhimisha mwaka mmoja tangu kuangushwa kwa mtawala wa kidikteta Bashar al Assad, wakati taifa hilo lililoganwanyika likapa . . .
Familia moja huko Embakasi, kaunti ya Nairobi, imeomboleza kufuatia kifo cha kutisha cha binti yao wa miaka 12, Patience Mumbe. Inaseme . . .
Klabu ya Liverpool inaonekana tayari kuanza kupanga maisha bila nyota wao Mohamed Salah, kufuatia taarifa zinazoenea kuhusu uwezekano wa msh . . .
Thailand imedai leo Jumatatu kutumia ndege "kushambulia malengo ya kijeshi" na "kuzuia mashambulizi ya Cambodia," baada ya mmoja wa wanajesh . . .
Jumuiya ya Kiuchumi ya Mataifa ya Afrika Magharibi (ECOWAS)siku ya Jumapili jioni imetangaza kwamba imepeleka wanajeshi nchini Benin kufuati . . .
Kampuni ya Noble Helium kutoka Australia imetangaza mpango wa kuajiri zaidi ya vijana 50 kupitia utafiti mpya wa Helium unaotarajiwa kuanza . . .
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi George Simbachawene ametoa angalizo kali kwa wananchi kutoshiriki kile kinachoelezwa kama “maandamano ya . . .
Watu 12 akiwemo mchungaji wametekwa nyara Novemba 30 mwaka huu wakati wa ibada ya Jumapili katika kanisa la viji . . .
WATU wasiopungua 50 wakiwemo watoto 33 wauawa katika shambulizi la droni katika eneo la Kordofan Kusini, Kalogi ambapo shambulizi hilo linas . . .
Mapigano makali yameendelea kushuhudiwa huko Uvira mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ambapo waasi wa M23 wanaoungwa mkono na Rw . . .
Serikali ya Nigeria imewezesha mpango wa kuachiliwa huru kwa wanafunzi 100 waliotekwa nyara na watu wenye silaha katika shule ya Kikatoliki . . .