Familia ya Wicknell Chivayo, imesema hakutakuwa na utaratibu wa kuonyeshwa miili ya marehemu Chivayo na mke wake, Lulu, kabla ya mazis . . .
Marekani imewafukuza nchini humo wajumbe wawili wa ujumbe wa Iran waliohudhuria Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UNGA), baada ya kudaiwa ku . . .
MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Deogratius Ndejembi, amesema Afrika ina sera, mikakati na makubaliano mazuri ya maendeleo, . . .
Tukio la kushtua limetokea Mtaa wa Senzele, Kata ya Bunju B, jijini Dar es Salaam, baada ya Laurent Kweka kudaiwa kumuua mkewe, Jeni Urassa, . . .
Marekani imetaka mazungumzo huku viongozi wa Misri, Eritrea, Somalia na Sudan wakijadili mgogoro wa Tigray. Jeshi la Ethiopia limeripotiwa k . . .
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Mboni Mhita, ameahidi kutoa mtaji kwa vijana wa Kitongoji cha Ipilinga, Kata ya Kisuke, Halmashauri ya Ushetu, il . . .
Wakazi 344 kati ya 346 waliofika kwenye zoezi la tathmini, katika Mtaa wa Mgeo Kata ya Buhanda, Manispaa ya Kigoma, wameridhia fidia zao na . . .
Rais wa Urusi Vladimir Putin amesema nchi yake iko tayari kutumia silaha zote ilizonazo, ikiwemo silaha za nyuklia, endapo eneo la Urusi lit . . .
Matamasha mawili ya mwanamuziki wa Marekani Kanye West, anayejulikana pia kama Ye, yaliyokuwa yamepangwa kufanyika nchini Russia mwezi Oktob . . .
Tukio la kushtua limetokea nchini Thailand baada ya gari la umeme kuvamia eneo la hekalu na kuwagonga waabudu waliokuwa wamekaa mbele ya mad . . .
Hali ya kibinadamu Yemen inazorota haraka baada ya kuongezeka kwa mapigano. Wanawake na watoto ndio wanaoathirika zaidi.Mashambulizi mapya y . . .
Ethiopia imewafukuza wanadiplomasia wa Eritrea, ikiishutumu nchi hiyo kwa vitendo vya uhasama. Eritrea imejibu kwa kukata uhusiano wote wa k . . .
Maisha ya mfanyabiashara maarufu wa Zimbabwe, Wicknell Chivayo, yameendelea kuvuta hisia kutokana na safari yake kutoka katika mazingira yen . . .
Rubani mkuu na raia wa India Smit Machchhar ambayealichomwa kisu na rubani msaidizi katika tukio la ndege ya flydubai amepongezwa kwa uajsir . . .
Iran imesema imepokea jibu la Marekani kuhusu pendekezo lake la kumaliza vita, ingawa maelezo ya mawasiliano hayo bado hayajawekwa wazi. Hat . . .
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imetoa wito kwa watendaji wa uchaguzi kuhakikisha wanafanya kazi kwa ufanisi, weledi na kujitoa ili kufanikis . . .
Jihan Dimack ameendelea kufanya vizuri katika kipengele cha Country’s Power of the Year cha Miss Grand International 2026, baada ya Tanzan . . .
Mapigano yanaendelea nchini Ethiopia. Siku nane baada ya shambulio kubwa kuanzishwa na muungano wa makundi kadhaa ya upinzani yenye silaha k . . .
Nchini Ethiopia, wakati huu vita vikiendelea kati ya makundi yenye silaha na wanajeshi wa serikali katika jimbo la Tigray, Kamati inayotoa t . . .
Burundi imekubali kuwapokea watu waliofukuzwa nchini Marekani wakiwemo wafungwa na wahamiaji haramu, ikiwa ni nchi ya hivi punde ya Afrika k . . .
Burkina Faso imezindua kiwanda chake cha kwanza cha kusafisha dhahabu ndani ya nchi hiyo, serikali ya kijeshi ikisema itasaidia nchi kupata . . .
Mfalme Mohammed VI amemteua Fatima Zahra Mansouri kuwa waziri mkuu wa kwanza mwanamke wa Morocco. Uteuzi huo unafuatia ushindi wa chama chak . . .
Saudi Arabia imekanusha taarifa kwamba wawakilishi wake walihudhuria mkutano kati ya Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, na Rais wa U . . .
Mashambulizi makubwa ya ndege zisizo na rubani na makombora kutoka Urusi yameua watu wanne katika mji wa Kyiv na maeneo ya jirani, huku miun . . .
Baada ya kuwasili nchini Iraq mwaka wa 2003 kumpindua rais wa nchi hiyo Saddam Hussein na baadaye kuwa kikosi kinachoongoza katika muungano . . .
Ugunduzi wa kutisha umefanywa kusini mashariki mwa Nigeria. Mabaki ya binadamu yalipatikana Jumamosi, Septemba 26, na polisi katika misitu k . . .
Fidele The rapper mwenye asili ya Congo aliyekulia nchini Malawi na kwa sasa anaishi Australia, anaendelea kujenga jina lake kupi . . .
Madereva na wafanyakazi wa mabasi ya masafa marefu wameanza mgomo katika maeneo mbalimbali nchini leo, Septemba 29, 2026, wakipinga faini na . . .
Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani limeanza leo, Septemba 29, 2026, operesheni maalumu ya kuwabana waendesha pikipiki (bodaboda) . . .
BAADHI huchukulia kuumwa na tumbo mara kwa mara, kupata kiungulia, tumbo kujaa gesi au kushiba haraka kama jambo la kawaida tu.Matatizo kama . . .
WAZIRI wa Afya Aden Duale amezua mdahalo mitandaoni baada ya kusema atawahamasisha Wasomali kutoka Somalia kumuunga mkono Rais William Ruto . . .
Zaidi ya watu 80, wengi wao wakiwa ni wanawake, wanaripotiwa kutoweka baada ya kutekwa nyara na makundi yenye silaha katika mashambulizi maw . . .
Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), imesema watu 8,067 wamethibitishwa kuambukizwa ebola na 3,901 wamefariki.Kwa mujibu wa s . . .
Mamlaka ya Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) imesitisha kwa muda matumizi ya njia za Lemosho na Londorosi zinazotumiwa na watalii kupanda M . . .
Jeshi la Ethiopia na vikosi vinavyounga mkono serikali vimedai kuuteka mji wa kimkakati wa Alamata, kusini mwa mji mkuu wa Tigray, Mekelle. . . .
Rais wa Marekani Donald Trump, amekanusha ripoti za kupunguza baadhi ya vikwazo dhidi ya Iran, na kuagiza kuachiwa kwa fedha zinazozuiwa, wa . . .
Kenya imepewa leseni ya kutengeneza dawa mpya ya kuzuia maambukizi ya Virusi Vya Ukimwi (VVU), kwa ajili ya soko la Afrika, hatua inayoiweka . . .
Moto mwingine umeibuka katika misitu ya Mlima Kilimanjaro, wiki tatu baada ya moto mwingine uliodumu kwa karibu wiki mbili kudhibitiwa, huku . . .
Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Leo XIV, ameonya kwamba sheria yoyote ya kibinadamu haipaswi kuondoa uhai wa mtu akiwamo mgonjwa, . . .
atu 17 wamefariki dunia baada ya ndege aina ya LET 410 UVP kuanguka na kushika moto karibu na mji wa Kenge, makao makuu ya jimbo la Kwango n . . .