logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Pata Habari Zote Hapa

  • Habari na Matukio Yote Ndani ya Nchi Na Duniani Kote
Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • August 13, 2025

Putin na Trump kukutana Alaska wiki hii

VIONGOZI wa Umoja wa Ulaya (EU) wamemuomba Rais wa Marekani, Donald Trump, kuhakikisha usalama wao katika mkutano wa kilele na Rais wa Urusi . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • August 13, 2025

Upande wa Jamhuri kuomba kesi ya Lissu isirushwe live

Upande wa Jamhuri umeiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuzuia urushaji wa moja kwa moja wa mwenendo wa kesi ya uhaini inayomkabili Mweny . . .

matukio
  • Na Jembe Digital
  • August 13, 2025

Tani 18.5 za madawa ya kulevya zakamatwa na DCEA

Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imekamata Shehena kubwa ya dawa mpya ya Kulevya aina ya Mitragyna speciosa, yeny . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • August 13, 2025

Mchango wa harambee CCM yavuna billion 86. 31

Chama cha Mapinduzi (CCM) kimefanikiwa kuchangisha jumla ya shilingi Bilioni 86.31 katika harambee ya kuchangia kampeni za uchaguzi mkuu wa . . .

Mahakamani
  • Na Jembe Digital
  • August 13, 2025

Hatima ya kesi ya Lissu kuamuliwa leo na hakimu Kiswaga

Kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu inatarajiwa kusikilizwa leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.Kesi hiyo . . .

Muziki
  • Na Nattyebrandy
  • August 12, 2025

RAPA EVE: “RAP YA U.K. SASA IMEJIPATA”

Rapa maarufu Eve ameweka wazi mtazamo wake kuhusu mabadiliko ya muziki wa rap nchini Uingereza, akisema kuwa kwa sasa rap ya U.K. imejipata . . .

Muziki
  • Na Nattyebrandy
  • August 12, 2025

DK. BALAFU AACHIA LYRICS VIDEO YA “NEVER SELL MY SOUL”

Msanii anayechipukia kwa kasi, Dk. Balafu, ameendelea kutikisa anga ya muziki baada ya kuachia lyrics video ya wimbo wake mpya “Never Sell . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • August 12, 2025

Ukraine inastahili kuamua yenyewe kuhusu mstakabali wake

Viongozi kutoka katika mataifa ya Umoja wa Ulaya wamesisitizia haki ya raia wa Ukraine kuamua wenyewe kuhusiana na masuala ya mustakabali wa . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • August 12, 2025

Kura za maoni kupigwa upya jimbo la Kongwa

Mchakato wa kura za maoni katika Jimbo la Kongwa kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) unatarajiwa kufanyika upya Agosti 17 mwaka huu kufuatia k . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • August 12, 2025

Yustas Mbatina aahidi kuleta matibabu bure kwa wote

Mgombea Urais wa Tanzania kupitia tiketi cha Tanzania Labour Party (TLP), Yustas Mbatina akiwa ameambatana na Mgombea mwenza wake Amana Mzee . . .

Habari
  • Na Jembe Digital
  • August 12, 2025

Tanesco Dodoma kubaini wizi wa umeme kwa baadhi ya wateja

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kupitia Ofisi yake ya Mkoa wa Dodoma limeanza Kampeni kabambe ya ukaguzi wa Mita za Wateja ikiwa ni sehe . . .

Michezo
  • Na Baba Juti
  • August 12, 2025

David Bekham Aingiwa Na Hofu. Ni Kuhusu Mtoto Wake Mkubwa

Mwanasoka mstaafu wa Timu ya Taifa ya Uingereza, David Bekham pamoja na mke wake Victoria Bekham, wameingiwa na hofu juu ya mtoto wao m . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • August 11, 2025

CCM kesho kufanya mkutano wa kuchangia pesa za wagombea Urais kupitia Chama hicho

Chama cha Mapinduzi CCM kimetoa wito kwa Wanachama na Wafuasi wa Chama hicho kujitokeza kesho August 12, katika Ukumbi wa Mlimani City, Jiji . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • August 11, 2025

Takriban waandishi wa habari 200 wameuawa katika shambulio la Israel

Al Jazeera imetangaza kuwa waandishi wake watano, ikiwa ni pamoja na mwandishi maarufu sana, waliuawa katika shambulio "la kuvizia" la Israe . . .

SOKA
  • Na Jembe Digital
  • August 11, 2025

Michuano ya CHAN yazidi kupamba moto katika nchi tatu za Afrika mashariki

Michuano ya CHAN2024 inaendelea katika nchi tatu wenyeji Kenya, Tanzania na Uganda, ambapo hii leo mechi kadhaa zitasakatwa katika kundi C n . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • August 11, 2025

Makamanda wa kijeshi jijini Khartoum waahidi kuondoa vikosi vyake nchini humo

Makamanda wa kijeshi jijini Khartoum siku ya Jumapili wameahidi kuondoa vikosi vyao kwenye mji huo na kuahidi  kwamba hawatawaunga mkon . . .

Mauaji
  • Na Jembe Digital
  • August 11, 2025

Wahalifu wafanya mauaji ya watu kaskazini Magharibi mwa Nigeria

Magenge ya wahalifu yamewaua maafisa 13 wa usalama, wakiwemo polisi wawili na walinzi 11, katika jimbo la Zamfara kaskazini Magharibi mwa Ni . . .

matukio
  • Na Jembe Digital
  • August 11, 2025

GAVANA wa Tana River azua ghadhabu kwa madai ya kutowalipa fidia waathiriwa visa vya moto

GAVANA wa Tana RiverGAVANA wa Tana River, Dhadho Godhana, amezua ghadhabu kwa kudai kuwa hatawalipa fidia waathiriwa wa visa vya moto katika . . .

siasa
  • Na Jembe Digital
  • August 11, 2025

George Aladwa kuwania kiti cha ugavana Kenya mwaka 2027

CHAMA cha ODM sasa kinalenga kiti cha ugavana wa Nairobi huku shinikizo za kichinichini sasa zikitaka Mbunge wa Makadara, George Aladwa, apo . . .

Matukio
  • Na Jembe Digital
  • August 11, 2025

Job Ndugai kuzikwa leo katika Kitongoji cha Mandumbwa

Spika Mstaafu wa Bunge la Tanzania, Hayati Job Ndugai ambaye alifariki dunia August 06 mwaka huu anazikwa leo August 11,2025 shambani kwake . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • August 11, 2025

Luhaga Mpina asisitiza umuhimu wa Muungano

Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Luhaga Mpina, amesema wananchi wa Zanzibar wanataka mamlak . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • August 10, 2025

Mapigano yarindima kati ya kundi la AFC/M23 na FARDC

Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), mapigano yamerekodiwa tena wikendi hii kati ya kundi la waasi la AFC/M23 na jeshi la K . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • August 10, 2025

Benjamin Netanyahu" Mpango mpya wa Israel kwa Gaza ndio 'njia bora ya kumaliza vita"

Mpango mpya wa Israel wa kuuteka mji wa Gaza "hauna lengo la kuikalia kwa mabavu Gaza," Benjamin Netanyahu amebainisha siku ya Jumapili, Ago . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • August 10, 2025

Kocha Hemed Morocco na Benchi Lake la Ufundi Wanastahili Pongezi Kubwa Sana

Mzee wetu Hemed Morocco na benchi lake la ufundi wanastahili pongezi nyingi sana kwa ambacho wanakifanya kwenye fainali za CHAN 2024! Tusisu . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • August 10, 2025

Rais Samia Aongoza Waombolezaji Kuaga Mwili Wa Hayati Job Ndugai

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akitoa heshima za mwisho kwenye jeneza lenye mwili wa Spika Mstaafu wa Bun . . .

Habari
  • Na Baba Juti
  • August 8, 2025

Aiburuza Mahakamani Kampuni yake Kwa Kumlipa Mshara Miaka 20 Bila Kufanya Kazi

Mwanamke mmoja raia wa Ufaransa amefungua mashtaka dhidi ya kampuni anayoifanyia kazi, kwa kumlipa mshahara kwa miaka 20 bila kupewa m . . .

siasa
  • Na Jembe Digital
  • August 8, 2025

Chama cha siasa cha NRA yaja na ilani inayozingatia huduma kwa wananchi

Mustakabali wa kisiasa wa Tanzania unapata matumaini mapya kupitia Chama cha National Reconstruction Alliance (NRA) ambacho kimezindua ilani . . .

Burudani
  • Na Baba Juti
  • August 8, 2025

J Lo Agoma Kuingia Dukani Baada Ya Mlinzi Kushindwa Kumtambua

Msanii wa Muziki wa Pop na R&B nchini Marekani Jennifer Lopez maarufu kama “J-Lo”, aligoma kuingia katika duka la fashion la CH . . .

Mahakamani
  • Na Jembe Digital
  • August 8, 2025

Ahukumiwa miaka 30 jera kwa kosa kulawiti mtoto

Mahakama ya Wilaya ya Kibiti Mkoa wa Pwani, imemhukumu Kulwa Said Omary (26) mkazi wa Bungu "A" kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la kumlaw . . .

Teknolojia
  • Na Jembe Digital
  • August 8, 2025

Teknolojia yatumika kuwadhibiti wavuvi haramu

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Mamlaka ya kusimamia Uvuvi wa Bahari Kuu (DFSA) imefanikiwa kudhibiti vitendo vya Uvuvi . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • August 8, 2025

Watiwa hatiani kwa uhalifu kura za maoni

Jeshi la Polisi Mkoani Kilimanjaro linawashikilia watu kadhaa kwa tuhuma za kujihusisha na jaribio la kufanya uhalifu wakati wa zoezi la uch . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • August 8, 2025

NIDA kuzindua mfumo mpya wa kufuatilia maombi ya vitambulisho

Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) inatarajia kuzindua mfumo mpya wa kidijitali utakaowawezesha wananchi kufuatilia maendeleo ya maomb . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • August 8, 2025

Radi yaua watoto wawili Mwanza, mmoja ajeruhiwa

Watoto wawili wamefariki dunia na bibi yao kujeruhiwa baada ya kupigwa na radi kufuatia mvua iliyoambatana na upepo mkali na radi iliyonyesh . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • August 8, 2025

Kesi ya CHADEMA Kusikilizwa Agosti 18, Mahakama Kutoa Uamuzi wa Zuio

Kesi ya madai iliyofunguliwa dhidi ya Bodi ya Wadhamini ya CHADEMA na Katibu Mkuu wa chama hicho, inayohusu zuio la kufanya shughuli za kisi . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • August 8, 2025

Dkt. Tulia "Mwili wa Ndugai Kuuagwa Viwanja vya Bunge Kabla ya Maziko Kongwa"

Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson, ametangaza kuwa shughuli ya kumuaga Hayati Job Ndugai itafanyika siku ya Jumapili katika viwanja vya Bung . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • August 8, 2025

Aliyeua babake wakizozania mboga ya sukumawiki auawa na umati

WAKAZI wa kijiji cha Emulwala, Khwisero, Kaunti ya Kakamega wanaomboleza baada ya tukio la kusikitisha ambapo mwanamume mwenye umri wa miaka . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • August 8, 2025

Marekani yajenga kituo cha wahamiaji Texas

SERIKALI ya Marekani imejenga kituo chake cha kwanza kikubwa cha kuhudumia wahamiaji katika kambi ya jeshi la Fort Bliss, jimboni Texas, kar . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • August 8, 2025

Trump, Putin kukutana wiki ijayo

: NAIBU Balozi wa Urusi katika Umoja wa Mataifa, Dmitry Polyanskiy, amesema Rais wa Urusi, Vladimir Putin, huenda akakutana na Rais wa Marek . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • August 8, 2025

Dkt. Samia afanya uzinduzi wa maabara kuu ya kilimo Dodoma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amezindua Maabara Kuu ya Kilimo ya Taifa (National Laboratory Centre) mko . . .

SOKA
  • Na Jembe Digital
  • August 8, 2025

Simba yashika nafasi ya tano vilabu bora barani Afrika

Shirikisho la mpira wa miguu barani Afrika CAF limetoa orodha ya vilabu bora barani Afrika ya mwaka 2025.Klabu ya Simba ya Tanzania imeshika . . .

Kurasa 31 ya 212

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Habari Category