logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Pata Habari Zote Hapa

  • Habari na Matukio Yote Ndani ya Nchi Na Duniani Kote
AJALI
  • Na Asha Business
  • August 18, 2025

Watu 300 wapoteza maisha Pakistan

 IDADI ya vifo imefikia karibu watu 300 kufuatia mafuriko makubwa yaliyosababisha kuporomoka kwa majengo katika Wilaya ya Buner, K . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • August 18, 2025

Syria yataka amani

 RAIS wa Syria, Ahmed al-Sharaa, amesema juhudi za kuunganisha taifa hilo baada ya vita vya wenyewe kwa wenyewe hazipaswi kufanyik . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • August 18, 2025

Askari wanne mbaroni kwa kuua raia

Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita linawashikilia askari wanne wa Hifadhi ya Kigosi iliyoko Wilaya ya Bukombe kwa tuhuma za mauaji ya kijana Hezr . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • August 18, 2025

Zaidi ya watu 40 wafariki katika ajali ya boti

Idara ya huduma za uokoaji zinajaribu kutafuta zaidi ya watu 40 ambao hawajulikani waliko baada ya ajali ya boti kaskazini magharibi mwa Nig . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • August 18, 2025

Wagombea wote watakiwa kuwasilisha gharama za kampeni kabla ya siku husika kufika

Wagombea wa nafasi za Rais, Wabunge na Madiwani katika Uchaguzi Mkuu wa 2025 wametakiwa kuzingatia masharti ya Sheria ya Uchaguzi, ikiwemo k . . .

Mahakamani
  • Na Jembe Digital
  • August 18, 2025

Kesi ya Lissu yaendelea leo mahakamani

Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu inatarajiwa kusikilizwa leo katika Мahakama уа Hakimu Mkazi Kisutu, huku i . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • August 18, 2025

Wagombea wahimizwa kufuata Sheria za uchaguzi

Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Jaji Francis Mutungi, amewataka viongozi wa kitaifa wa vyama vya siasa kutumia nafasi ya mafunzo ya Sheria . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • August 18, 2025

Manara kuchukua fomu ya udiwani katika kata ya Kariakoo leo

Chama cha Mapinduzi (CCM) leo kinatarajia kushuhudia tukio kubwa la kisiasa baada ya msemaji maarufu wa michezo na kada wa chama hicho, @haj . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • August 16, 2025

Tanzania yapongezwa juhudi za amani SADC

TANZANIA imepongezwa kwa utendaji mzuri wa kushughulikia changamoto za kiusalama katika Kanda ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusi . . .

ukraine
  • Na Asha Business
  • August 16, 2025

Urusi ilirusha makombora na ndege zisizo na rubani 85 kuelekea Ukraine

Urusi ilirusha makombora na ndege 85 zisizo na rubani nchini Ukraine usiku wa kuamkia leo kulingana na taarifa ya Kyiv.Taarifa ya Kyiv  . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • August 16, 2025

Trump amezungumza na Zelensky pamoja na viongozi wa Ulaya

Rais wa Marekani Donald Trump alikuwa na mazungumzo ya njia ya simu mapema Jumamosi na mwenzake wa Ukraine Volodymyr Zelensky pamoja na vion . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • August 15, 2025

Mapya yaibuka mwili uliodaiwa kuzuiwa mochwari

Sakata la ndugu wa marehemu, Mohamed Ally (20), mkazi wa Jiji la Arusha, mwili wake kudaiwa kuzuiwa kuchukuliwa na ndugu zake katika Hospita . . .

Michezo
  • Na Jembe Digital
  • August 15, 2025

China imeanza rasmi maonesho Michezo ya Roboti

China imeanza maonesho ya Michezo ya siku tatu kwa Roboti wenye umbo la binadamu, ikilenga kuonesha maendeleo katika teknolojia ya akili ban . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • August 15, 2025

Upatikanaji mikopo nchini waongezeka kupitia mfuko wa SELF

Mfuko wa SELF ulio chini ya Wizara ya Fedha umefanikiwa kuongeza upatikanaji wa mikopo kwa Shilingi bilioni 196.9 kuanzia 2021 hadi Juni 30, . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • August 15, 2025

Mgombea urais UPD ataja kipaumbele cha kuwainua wananchi wanyonge kiuchumi

Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha United Democratic Party (UDP), Saum Hussein Rashid, akiambatana na mgo . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • August 15, 2025

Ubwabwa wa Chaumma wazua jipya Same

Vijana wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro wameeleza kuwa wapo radhi kutoa kadi zao za kupiga kura kwa . . .

AFYA
  • Na Jembe Digital
  • August 15, 2025

Wadau wa Afya watakiwa kushirikiana na Serikali kuboresha huduma za lishe

Wadau wa Sekta ya Afya wametakiwa kushirikiana na Serikali ili kuboresha huduma za lishe kwa kuwekeza kwenye upatikanaji wa mashine za urutu . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • August 15, 2025

MGOMBEA URAIS WA SHIRIKISHO LA RIADHA TANZANIA ASISITIZA USIMAMIZI WA KATIBA NA USHIRIKIANO NA WADAU

Mgombea urais wa Shirikisho la Riadha Tanzania, Nsolo Malongo Mlozi, amesema kuwa endapo atachaguliwa kushika wadhifa huo, atahakikisha anas . . .

Afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • August 14, 2025

Wimbi la ghasia lazuka Embu biashara za mamilioni ya pesa zikichomwa

SERIKALI imetuma kikosi maalum cha wapelelezi mjini Siakago, Kaunti ya Embu, kufuatia wingu la visa vya ghasia ambavyo vimesababisha mali ye . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • August 14, 2025

Juba yakanusha kuwapokea Wapalestina

WIZARA ya Mambo ya Nje ya Sudan Kusini imekanusha ripoti zinazodai kuwa imefanya mazungumzo na Israel kuhusu kuwapokea Wapalestina kutoka en . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • August 14, 2025

Watu 40 wapoteza maisha Darfur

DARFUR, SUDAN : SHIRIKA la Madaktari Wasio na Mipaka (MSF) limeripoti kuwa takriban watu 40 wamefariki dunia katika eneo la Darfur, Sudan, k . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • August 14, 2025

ADC kulea watoto, kufuta madeni wadaiwa Bodi ya Mikopo

MGOMBEA Urais kupitia tiketi ya chama cha Alliance For Democratic Change (ADC), Wilson Mulumbe amesema endapo atapewa ridhaa ya kuiongoza nc . . .

Top Story
  • Na Baba Juti
  • August 14, 2025

Atupwa Jela Kwa Kuwatapeli Wanawake Wanne Kwa Njia Ya Mapenzi

Kijana mmoja raia wa Uingereza amejikuta akitupwa Jela kwa kosa utapeli kupitia mahusiano ya kimapenzi ili kujipatia kiasi kikubwa cha . . .

Muziki
  • Na Jembe Digital
  • August 14, 2025

Mtunzi wa nyimbo za Chadema afariki dunia

Mtunzi na mwimbaji wa nyimbo za mbalimbali za hamasa za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ikiwemo ya ‘Tundu Lissu wapeleke mcha . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • August 14, 2025

Wajumbe UWT geita kizimbani kwa tuhuma za kupokea rushwa

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Geita, imewakamata wajumbe wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Kata ya Nyankumbu . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • August 14, 2025

Sudan Kusini yakanusha mapokezi ya Wapalestina

WIZARA ya Mambo ya Nje ya Sudan Kusini imekanusha ripoti zinazodai kuwa imefanya mazungumzo na Israel kuhusu kuwapokea Wapalestina kutoka en . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • August 14, 2025

Rais wa Marekani amtaka Putin kusitisha mapigano

RAIS wa Marekani Donald Trump ametishia kuchukua hatua kali dhidi ya Rais wa Urusi Vladimir Putin endapo hatokubaliana kumaliza vita vinavyo . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • August 14, 2025

Brazil yazindua mpango kuyaunga mkono makampuni yaliyoathiriwa na ushuru

SERIKALI ya Brazil imezindua mpango wa kuyaunga mkono makampuni ya ndani yaliyoathiriwa na ushuru wa asilimia 50 uliotangazwa na Rais wa Mar . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • August 14, 2025

Hofu Baada ya Miili Inayooza ya Wanawake Wawili Kupatikana Imetupwa Kwenye Mto

Wakazi wa kijiji cha Majimbo, kaunti ya Embu, waliachwa na butwaa baada ya kugunduliwa kwa miili ya wanawake wawili wasiojulikana kwenye kij . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • August 14, 2025

Gachagua akatiza ziara yake ya miezi 2 Amerika kushirika kampeni za chaguzi ndogo

ALIYEKUWA Naibu Rais Rigathi Gachagua amekatiza ziara yake nchini Amerika ili arejee nyumbani kujishughulisha na kampeni za chaguzi ndogo zi . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • August 14, 2025

Rais Samia atunikiwa tuzo ya kimataifa kinara huduma ya maji

Rais Samia Suluhu Hassan ametunukiwa Tuzo ya Rais ya Kimataifa ya Wabunifu wa Mabadiliko katika Sekta ya Maji 2025 (Presidential Global Wate . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • August 14, 2025

Wanne waokolewa na mmoja kufariki mgodi wa Shinyanga

Vikosi vya uokoaji vimefanikiwa kuokoa Wachimbaji wanne kati ya 25 wafukiwa na kifusi Agost 11 Mwaka huu wakati watengenza Maduara katika Mg . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • August 14, 2025

Watu kadhaa wauawa katika mashambulizi dhidi ya wanaounga mkono jeshi Al-Jazeera

Shambulizi la ndege zisizo na rubani limelenga mji wa Tambul, kusini mashariki mwa Khartoum, siku ya Jumatano, Agosti 13, 2025, wakati shere . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • August 14, 2025

Constant Mutamba kufungwa miaka 13 jela

Kesi hiyo, iliyoanza mwezi mmoja uliopita dhidi ya aliyekuwa Waziri wa Sheria wa Kongo Constant Mutamba, anayetuhumiwa kujaribu kutakatisha . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • August 14, 2025

Aliyekuwa Waziri wa Sheria wa Kongo kutumikia miaka 10 jera

Kesi iliyoanza mwezi mmoja uliopita dhidi ya aliyekuwa Waziri wa Sheria wa Kongo Constant Mutamba, anayetuhumiwa kujaribu kutakatisha karibu . . .

Matukio
  • Na Jembe Digital
  • August 14, 2025

Jera maisha kwa kumlawiti mwanafunzi wa miaka minne

Mahakama ya Wilaya ya Arumeru Mkoani Arusha imemhukumu kwenda jela kifungo cha maisha Bw. Samwel Sosteness (20) mfanyakazi za ndani, mkazi w . . .

Mahakamani
  • Na Jembe Digital
  • August 13, 2025

Maelezo ya mashahidi wa Lissu kusomwa August 18

Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu anatarajiwa kusomewa maelezo ya mashahidi Agosti 18 mwaka huu katika kesi  ya uhaini inayomkabili nd . . .

siasa
  • Na Jembe Digital
  • August 13, 2025

Samandito Gombo achukua fomu kuwania nafasi ya urais kupitia CUF

Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Samandito Gombo, akiambatana na Mgombea wake mwenza Hu . . .

Burudani
  • Na Baba Juti
  • August 13, 2025

MADEE: "Watu Wanadai Tunajipendekeza Kwa Rais na CCM"

Msanii wa Bongo Fleva, Madee, amewaomba watanzania hususani mashabiki wao kutambua kuwa wao kama wasanii pia wana haki ya msingi kuone . . .

siasa
  • Na Jembe Digital
  • August 13, 2025

Kabwe yaibuka kidedea mchakato wa kura Jimbo la Kigoma Mjini za maoni

Kiongozi mstaafu wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ameibuka kidedea katika mchakato wa kura za maoni za kuwania Jimbo la Kigoma Mjini uliofanyik . . .

Kurasa 30 ya 212

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Habari Category