logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Pata Habari Zote Hapa

  • Habari na Matukio Yote Ndani ya Nchi Na Duniani Kote
Flamu/Movie
  • Na Jembe Digital
  • June 28, 2025

Washindi tamasha la Kimataifa la Filamu Zanzibar (ZIFF) kujulikana kesho

 BAADA ya siku tano za hekaheka ndani ya Tamasha la Kimataifa la Filamu Zanzibar (ZIFF), msimu wa 28, tamasha hilo litafungwa rasmi kes . . .

siasa
  • Na Jembe Digital
  • June 28, 2025

Msigwa autaka tena ubunge Iringa Mjini akitokea ndani ya (CCM).

ALIYEKUWA Mbunge wa Iringa Mjini kwa miaka 10, Mchungaji Peter Msigwa, amechukua fomu kuwania ubunge Iringa Mjini—safari hii akitokea . . .

siasa
  • Na Jembe Digital
  • June 28, 2025

Ngajilo aingia tena uwanja wa Iringa Mjini kugombea ubunge

 Fadhili Fabian Ngajilo, mwanasiasa mwenye rekodi ya utumishi wa muda mrefu ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), leo amechukua rasmi fom . . .

siasa
  • Na Jembe Digital
  • June 28, 2025

Makongo achukua fomu kuwania nafasi ya ubunge Chato Kaskazini

 Mwandishi wa habari mwandamizi wa habari za uchunguzi aliyejikita kutetea haki za binadamu, Cosmas Makongo amechukuwa fomu ya kuwania . . .

matukio
  • Na Jembe Digital
  • June 27, 2025

Ahukumiwa jera maisha kwa kosa la kulawitiwa mtoto

Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Ruangwa, mkoani Lindi, imemhukumu Shabani Mohamed (27), mkazi wa Mchangani, kifungo cha maisha gerezani b . . .

Mahakamani
  • Na Jembe Digital
  • June 27, 2025

Jera miaka 20 kwa udhalilishaji wa kingono

Mahakama ya Wilaya ya Masasi Mkoani Mtwara imemuhukumu kifungo cha miaka 20 jela Mussa Hassan Ntakula (70), Mkazi wa Kijiji cha Ngalinje baa . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • June 27, 2025

Anayedaiwa kumuua mumwe anatafutwa

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linamsaka mwanamke mmoja aliyetambulika kwa jina moja la Mgore anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 25 na mkaz . . .

Mastaa
  • Na Asha Business
  • June 27, 2025

Enock Bella ajitokeza kumuomba msamaha Mbosso

Msaniii Enock Bella amejitokeza hadharani kumuomba msamaha Mbosso kwa yote ambayo amemkosea katika maisha waliyoishi zamani mpaka sasa.Enock . . .

Makala
  • Na Asha Business
  • June 27, 2025

BARAKA ROSE ,Aliyelelewa na wanyama porini yuko Dar

KATIKA mitaa ya Segerea jijini Dar es Salaam, kijana Baraka Rose, anaishi na ndiko anakofanya harakati za kujitafutia kipato, akijiajiri mwe . . .

UTALII
  • Na Asha Business
  • June 27, 2025

Tanzania kushiriki vipengele 50 Tuzo za Utalii Duniani

Wageni 250 wanatarajiwa kushiriki katika utoaji Tuzo za Utalii Duniani Kanda ya Afrika na Bahari ya Hindi kwa mwaka 2025 (World Travel Award . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • June 27, 2025

Kocha wa soka, mkufunzi wa ndondi washtakiwa kuambia waandamanaji wavamie Ikulu

KOCHA wa zamani wa timu ya taifa ya soka, Harambee Stars, Robert Otiti, na mkufunzi wa ndondi katika ukumbi wa Muthurwa na Makongeni, Suleim . . .

afrika mashariki
  • Na Jembe Digital
  • June 27, 2025

Leo DRC-- Rwanda wakutana kusaini mkataba wa amani

Rwanda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo leo wanatarajiwa kusaini mkataba muhimu mjini Washington wa kumaliza mzozo uliodumu kwa muda mref . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • June 27, 2025

Fadlu Davids" Tutaboresha Kikosi Simba Kwa Msimu Ujao"

Kocha Mkuu wa Simba SC, Fadlu Davids, amesema kuwa kikosi hicho kinahitaji maboresho baada ya kumaliza msimu wa Ligi Kuu Bara kikiwa nafasi . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • June 27, 2025

Watakaobainika na hatia ya kuwatumikisha watoto sheria kutowaonee huruma

HIVI karibuni serikali ilitoa takwimu zikionesha utumikishwaji wa watoto umepungua kutoka asilimia 29 mwaka 2014 hadi asilimia 24.9 mwaka 20 . . .

siasa
  • Na Jembe Digital
  • June 27, 2025

CCM kuzuia misafara ya wapambe zoezi la uchukuaji fomu

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimepiga marufuku kwa mwanachama yeyote anayeomba kugombea uongozi kualika kundi la wapambe kumsindikiza kwenda of . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • June 27, 2025

Wapalestina 56 wauawa Gaza

 IDARA ya Ulinzi wa Raia katika Ukanda wa Gaza imethibitisha kuwa watu 56 wameuawa  Juni 26, 2025 kufuatia mashambulizi ya anga ya . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • June 27, 2025

Iran yatoa tahadhari nchini Marekani kuhusu mashambulio

 KIONGOZI Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, amesema taifa lake liko tayari kujibu kwa nguvu kubwa endapo Marekani itafanya shambuli . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • June 27, 2025

Dk Biteko mgeni rasmi Nishati Bonanza kesho jijini Dodoma

 NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Bonanza la Wizara ya Nishati na taasisi zak . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • June 27, 2025

DCEA yabaini pipi za watoto kusafirisha madawa ya kulevya

Serikali kupitia Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imebaini mbinu mpya inayotumiwa na wasafirishaji wa dawa za kul . . .

Uwekezaji
  • Na Jembe Digital
  • June 27, 2025

Tanzania waja na vipengele 50 kuwania tuzo ya utalii duniani

Tuzo za Utalii Duniani (WTA) kwa Kanda ya Afrika na Bahari ya Hindi mwaka 2025 zitafanyika Jumamosi, Juni 28, 2025 jijini Dar es Salaam huku . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • June 27, 2025

TRC kuongeza safari za treni kutoka Dodoma-Dar

Shirika la Reli Tanzania (TRC) limetangaza kuongeza safari za treni kati ya Dodoma na Dar es Salaam kwa tarehe 27 na 28 Juni 2025. Safari hi . . .

SOKA ULAYA
  • Na Jembe Digital
  • June 27, 2025

Ronaldo apata mkataba mpya kwenda timu ya Al-Nassr

Nyota wa soka duniani, Cristiano Ronaldo, amepewa mkataba wa kipekee na klabu ya Al-Nassr ya Saudi Arabia, ambao unatajwa kuwa miongoni mwa . . .

siasa
  • Na Jembe Digital
  • June 27, 2025

Lissu ndani ya mahakama kuu kupinga ushahidi wa siri

Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu leo Juni 27,2025 amefika katika Mahakama ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam kwa ajili ya kesi ya . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • June 26, 2025

Sundowns, Al Ahly, Esperance Watolewa Kombe la Dunia la Vilabu

Juni 26, 2025 – Timu za soka kutoka bara la Afrika zimehitimisha safari yao mapema katika michuano ya Kombe la Dunia la Vilabu 2025, baada . . .

Mahakamani
  • Na Asha Business
  • June 26, 2025

Nchemba afungwa jela maisha kwa kumbaka mtoto wa miaka sita

Mrisho Mussa Nchemba (31) Mkulima mkazi wa Milama, Kata ya Dakawa wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro , amehukumiwa kifungo cha maisha jela kw . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • June 26, 2025

Babu Owino asema amepokonywa walinzi baada ya kushiriki maandamano

BUNGE wa Embakasi Mashariki, Babu Owino, amefichua kuwa serikali imeondoa walinzi wake rasmi, akidai hatua hiyo imetokana na kushiriki kwake . . .

Mastaa
  • Na Asha Business
  • June 26, 2025

BONGO FLEVA KUFANYA VIZURI

Kwa zaidi ya Miaka saba sasa Game ya muziki wa #BongoFleva imeshindwa kuzalisha wasanii wapya wakubwa ambao tunaweza kujivunia kama wasanii . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • June 26, 2025

Watu 26 wakamatwa kusaidia Israel

Iran imeripoti kuwa watu wasiopungua 26 wamekamatwa katika mkoa wa Khuzestan, kusini magharibi mwa nchi, kwa madai ya kushirikiana na Israel . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • June 26, 2025

Kumalizika kwa tundu jipya la reli mita 602 launganisha China na Urusi

SERIKALI ya China imekamilisha ujenzi wa tundu jipya la reli lenye urefu wa mita 602 katika mji wa Suifenhe, Heilongjiang, hatua inayolenga . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • June 26, 2025

NATO yakubali kuongeza Bajeti ya Ulinzi hadi asilimia tano

KATIBU Mkuu mpya wa Jumuiya ya Kujihami ya NATO, Mark Rutte, amesema hatua ya kuongeza bajeti ya ulinzi hadi asilimia tano ya pato la Taifa . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • June 26, 2025

Putin hatoshiriki mkutano wa Brics

 RAIS wa Urusi, Vladimir Putin, hatosafiri kwenda Brazil kushiriki mkutano wa BRICS kutokana na waranti ya kukamatwa iliyotolewa na Mah . . .

Afrika mashariki
  • Na Jembe Digital
  • June 26, 2025

Idadi ya vifo yaongezeka Kenya

 IDADI ya raia waliofariki dunia kutokana na maandamano ya Jumatano imefikia 16, kwa mujibu wa taarifa ya shirika la Amnesty Internatio . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • June 26, 2025

Samia ataka amani, umoja wa Afrika kufanikisha mageuzi ya kifikra

RAIS Samia Suluhu Hassan amezitaka nchi za Afrika kuhakikisha zinakuwa na amani na umoja wa kitaifa ili zishirikiane kufanikisha hatua za ma . . .

Kilimo
  • Na Jembe Digital
  • June 26, 2025

Wadau wa korosho wapongeza teknolojia ya uzalishaji kisasa

 WADAU mbalimbali kutoka nchi nane za Bara la Afrika zinazolima na kutumia korosho wamepongeza teknolojia ya kisasa inayotumiwa na . . .

siasa
  • Na Jembe Digital
  • June 26, 2025

Wanahabari watakiwa kuhimiza uadilifu kuelekea uchaguzi mkuu

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Morogoro imewataka waandishi wa habari kuwa mstari wa mbele kupinga na kuzu . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • June 26, 2025

TRA Kigoma yateketeza tani 53 za bidhaa zisizofaa

MAMLAKA ya Mapato (TRA) mkoani Kigoma imeteketeza bidhaa mbalimbali za vyakula na vipodozi tani 53 zenye thamani ya Sh milioni 530 amba . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • June 26, 2025

Mwanza wanufaika na utekelezaji mpango wa fedha za TASAF

 MKOA wa Mwanza umetumia zaidi ya Sh bilioni 50.3 ambazo zimelipwa kuanzia mwaka 2014 hadi mwezi Juni mwaka huu kama ruzuku kwa kaya kw . . .

afrika mashariki
  • Na Jembe Digital
  • June 26, 2025

Serikali ya Zambia yapeleka zuio la Mahakama mazishi Edgar Lungu yasimamishwe

Mgogoro kuhusu mahali atakapozikwa Rais wa zamani wa ZambianEdgar Lungu umechukua sura mpya baada ya Mahakama Kuu ya Afrika Kusini kusitisha . . .

siasa
  • Na Jembe Digital
  • June 26, 2025

Chaumma kuanza mchakato wa kumpata mgombea wa urais

Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) kimetangaza kuwa mchakato wa kumpata mgombea wa urais wa Tanzania kupitia chama hicho, pamoja na kupiti . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • June 26, 2025

Kesi ya kanisa kumnyang’anya zawadi mtoto wa Askofu kuendelea leo

Mahakama Kuu Divisheni ya Ardhi leo Juni 26, 2025 itaendelea na usikilizwaji wa kesi ya ardhi iliyofunguliwa na mtoto wa Askofu John Sepeku, . . .

Kurasa 43 ya 212

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Habari Category