Msanii chipukizi mwenye kipaji cha kipekee, JD Young, ambaye kwa sasa anaishi ughaibuni, ameendelea kupeperusha bendera ya Rwanda kimataifa . . .
Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) inatangaza Uchaguzi Mkuu wa TFF utakaofanyika tarehe 16/08/2025 jijini Tan . . .
Juni 13, 2025 – Historia iliandikwa jijini London! Msanii maarufu wa Tanzania, Diamond Platnumz, ameweka rekodi mpya kwa kuwa msanii wa kw . . .
Leo ni siku ya kimataifa ya kuelimisha umma kuhusu unyanyasaji dhidi ya wazee ambapo maudhui yam waka huu wa 2025 ni kusaka suluhu ya vitend . . .
Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi kuu Tanzania (TPLB) Steven Mnguto amewasilisha barua ya kujiuzulu wadhifa huo.Katika hatua nyingine, Rais wa Shir . . .
Kutoka kushoto; Mkurugenzi wa Goethe-Institute Tanzania Bw. Mpangi Otte, Mtendaji Mkuu ZIFF Joseph Mwale, Mkurugenzi wa ZIF . . .
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imesogeza mbele mchezo wa watani wa jadi namba 184 kati ya Yanga na Simba, ambao awali ulipangwa kuchezwa J . . .
Kufuatia na usomwaji wa bajeti kuu serikali katika nchi tofauti tofauti ikiwemo Tanzania, Rwanda, Kenya, na Uganda kuwasilisha b . . .
Juni 12, mjadala mkubwa wa kisiasa na kiuchumi uliibuka katika nchi za Afrika Mashariki ambao ulitawaliwa na matukio muhimu ya bajeti kuu ya . . .
Kanisa la Glory of Christ Tanzania Church, maarufu kama Kanisa la Ufufuo na Uzima, limefungua kesi Mahakama Kuu, Kanda ya Dodoma, likiomba . . .
Mwanamuziki mkongwe na msanii wa kike wa kwanza kung’ara kwenye Bongo Fleva, Judith Wambura Mbibo, maarufu kama Lady Jay Dee, jana alizind . . .
Idara ya polisi nchini Kenya imeomba radhi Wakenya kufuatia tukio ambalo mahabusu aliyekuwa na ujauzito Milka Wangari alipoteza ujauzito kwe . . .
Msanii nyota wa muziki wa Bongo Fleva, Mbosso, ameachia rasmi Extended Playlist (EP) yake mpya iitwayo “Room Number 3”, ambayo imezua ms . . .
Msanii maarufu wa muziki wa Bongo Fleva, Bilnass, amefungua ukurasa mpya wa majadiliano kwenye tasnia ya muziki kwa kutoa waraka mzito kupit . . .
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Jaji wa Mahakama ya Rufani, George Masaju kuwa Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania.Jaji Masaju anachukua naf . . .
Walinzi wa Mapinduzi ya Iran wameapa kulipiza kisasi baada ya kifo cha kiongozi wao, Hossein Salami. Mashambulio haya "hayatabaki bila kujib . . .
Tottenham Hotspur imemtangaza kocha Thomas Frank kuwa meneja wake mkuu kuchukua mikoba ya Age Postecoglou aliyetimuliwa hivi karibuni baada . . .
Katika tukio la kipekee linalodhihirisha mapenzi ya wananchi kwa viongozi wao wakazi wa Mkoa wa Simiyu wamejitokeza kwa wingi kuonyesha fura . . .
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Jaji wa Mahakama ya Rufani George Mcheche Masaju kuwa Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania. Masaju ambaye am . . .
Kila mwaka 13 Juni, dunia huadhimisha Siku ya Kimataifa ya Watu Wenye Ualbino (International Albinism Awareness Day pia ni siku ya kutambua . . .
Rapa maarufu kutoka Atlanta, Silentó, anayejulikana sana kwa kibao chake kilichotamba mwaka 2015 “Watch Me (Whip/Nae Nae),” amehuk . . .
Baada ya ukimya wa takribani miezi saba, msanii maarufu kutoka Kanda ya Ziwa anayewakilisha mkoa wa Shinyanga, Nyasani, amerejea kwa kishind . . .
Baraza Kuu la Waislamu Mkoa wa Mwanza limeendesha dua maalum kwa ajili ya kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. . . .
Mamlaka nchini India zimethibitisha kuwa Watu 133 wamefariki hadi sasa kufuatia ndege ya abiria ya Air India iliyokuwa inatokea nchini . . .
Hatimaye CDQ ametoa EP Yake ya “SADIKU “ Ep ambayo amefanikiwa kuifanyia maandalizi ya muda mrefu sana iliyowashirikisha Mast . . .
MAMIA ya vijana wanaandamana katika barabara za jiji kuu la Nairobiwakimtaka Naibu Inspekta Jenerali wa Polisi Eliud Lagat ajiuzulu.Maandama . . .
Serikali imesema kuwa imeendelea kufanya jitihada mbalimbali za kuwawezesha wananchi kiuchumi kwa kuweka mazingira rafiki ya kujipatia kipat . . .
Edgar Lungu, ambaye aliongoza Zambia kutoka mwaka 2015 hadi 2021, alifariki Alhamisi iliyopita akiwa na umri wa miaka 68, lakini kumezuka mv . . .
Ndege ya Air India Boeing 787 Dreamliner iliyokuwa safarini kutoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Sardar Vallabhbhai Patel, Ahmedabad, kuel . . .
Wakati mkutano wa 19 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ukiendelea Jijini Dodoma, pamoja na mambo mengine leo Juni 12, 2025 kuanzia . . .
KATIKA mwaka 2025/26 Serikali kupitia sekta ya maendeleo ya jamii inatarajia kutekeleza jumla ya miradi tisa (9) ukiwemo mradi wa TASAF amba . . .
Ndege ya abiria ya Air India iliyokuwa inatokea nchini India kwenda London nchini Uingereza imeanguka na kuwaka moto leo June 12,2025 katika . . .
TIMU ya wataalamu kutoka Wizara ya Katiba na Sheria Juni 11, 2025 ilikutana na Kamati ya Usalama ya Mkoa wa Dar es Salaam ikiongozwa n . . .
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA-Bara John Heche amesema Mtu aliyemuomba radhi katika clip inayosambaa ni raia ambaye alifanya hivyo kwa niaba y . . .
Rais WilliamRuto amesema Usalama wa Kenya ni Haki ya Wananchi hivyo Wahalifu wote wawe Raia au Maafisa wa Usalama wa Taifa lazima wawajibish . . .
Watu tisa wamefariki dunia papo hapo na wengine 44 kujeruhiwa baada ya basi la Kampuni ya Hai kugongana uso kwa uso na lori lililokuwa limeb . . .
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemhukumu Ofisa Habari na Mawasiliano wa Klabu ya KenGold Joseph Mkoko(34) kulipa faini ya Sh1 milioni au k . . .
Uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Upanga na Mloganzila umepongeza Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano cha hospitali hiyo kwa kut . . .
Watu mbalimbali katika mitandao ya kijamii wametoa ujumbe wa kumlaani Spika wa Bunge la Uganda, Anita Among baada ya kusema kuwa Rais Yoweri . . .
Aliyekuwa Jaji Mkuu wa Kenya, Dkt. Willy Mutunga Wakili Mwandamizi Martha Karua pamoja na watu wengine wanne wamefungua kesi katika Mahakama . . .