Msanii maarufu wa muziki wa Bongo Fleva, Bilnass, amefungua ukurasa mpya wa majadiliano kwenye tasnia ya muziki kwa kutoa waraka mzito kupitia ukurasa wake wa Instagram, . . .
Rapa maarufu kutoka Atlanta, Silentó, anayejulikana sana kwa kibao chake kilichotamba mwaka 2015 “Watch Me (Whip/Nae Nae),” amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jel . . .
Baada ya ukimya wa takribani miezi saba, msanii maarufu kutoka Kanda ya Ziwa anayewakilisha mkoa wa Shinyanga, Nyasani, amerejea kwa kishindo katika game ya muziki kwa ku . . .
Hatimaye CDQ ametoa EP Yake ya “SADIKU “ Ep ambayo amefanikiwa kuifanyia maandalizi ya muda mrefu sana iliyowashirikisha Masterkraft, Ayanfe, Jzyno, SirAHE . . .
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemhukumu Ofisa Habari na Mawasiliano wa Klabu ya KenGold Joseph Mkoko(34) kulipa faini ya Sh1 milioni au kwenda jela miaka miwili baada . . .
Uongozi wa Klabu ya Simba umesema mchezo namba 184 wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Yanga uliopangwa kufanyika Juni 15, 2025 upo kama ulivyopangwa. Taarifa iliyotolewa kwa um . . .
Afisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania, Almas Kasongo, amesema kikao cha leo kimepokea matakwa kutoka Yanga SC ikiwemo kujiuzulu kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi, . . .
Timu ya Taifa ya Ureno imeweka historia mpya katika soka la Ulaya baada ya kutwaa ubingwa wa UEFA Nations League kwa mara ya pili ikiwa ndiyo timu pekee kufanikisha hivyo . . .
Habari mbaya za kusikitisha zilizotufikia hivi punde zinaeleza kuwa mama wa msanii Hawa Hussen almaarufu Carina, Fatma Maruzuku amefariki dunia.Mama Carina amefariki yapa . . .
Wanamuziki watano wa bendi ya muziki ya Fugitivo nchini Mexico, waliotoweka tangu Jumapili, Mei 18, kaskazini mwa Mexico, waliuawa na washukiwa wa mauaji kutoka kundi la . . .
Msanii wa kizazi kipya Kusah amefunguka kuwa hana kabisa mipango ya kuachana na mke wake AAunty Ezekiel kwasababu ana kila kitu ambacho yeye anakitaka,mbali na hiyo pia a . . .
Msanii wa muziki wa singeli Tanzania ametupa lawama za kuibiwa wimbo na msanii D voice ambapo kwa mujibu wake ni kuwa D voice ameuvujisha wimbo huo kwa Jux baada ya Meja . . .
Msanii Chino Kidd amefunguka kuwa bado yupo chini ya mwamvuli wa Bad Nation yake msanii Marioo na kusema kuwa kuwa chini yake haimaanishi kunamfanya kuwa msanii mdogo au . . .
Mwanamuziki maarufu nchini Marekani Sean “Diddy” CombsMwanamuziki maarufu nchini Marekani Sean “Diddy” Combs, mwenye umri wa miaka 55, anakabiliwa na mashtaka maz . . .
Mwanamuziki Foby Official juu ya wasanii kusainiwa na kusimamiwa kazi zao kwenye Records Label.Label nyingi za Bongo unaingia ukiwa Msafi unatoka Mchafu. Mifano ipo ndio . . .
Licha ya 5ive ya Davido kupokelewa kwa kishindo na mashabiki duniani kote, bado hajafanikiwa kufuta rekodi iliyowekwa na Wizkid kupitia albamu yake ya Morayo kwenye Spoti . . .
Msanii wa kizazi kipya Steven Gaudence Kinyoto maarufu kama Chetta Flyee ameachia wimbo mpya unaokwenda kwa jina la "Asante" ukiwa kama wimbo rasmi wa kwanza kwa mwaka hu . . .
Jessenation, anayejulikana pia kama Jesse Emeghara, ameendelea kuthibitisha ubora wake katika muziki na wimbo wake mpya *Goodbumps*, ambao unatikisa Kenya na Afrika Masha . . .
Msanii wa Ghana, **Jamin Beats**, ameachia wimbo wake mpya *Nothing Too Hard*, ambao unapatikana kwenye majukwaa mbalimbali ya muziki kama [Audiomack](https://audiomack.c . . .
Mvutano kati ya MarthaMwaipaja na mdogo wake BeatriceMwaipaja umechukua sura mpya baada ya sauti zao wakishambuliana kwa maneno makali kusambaa mitand . . .
Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria ambaye amefanikiwa kuwa kwenye muziki na kiwanda cha Sanaa kwa miaka kadhaa Nasboi ambaye amefanikiwa kufanya kazi nyingi na wasanii mba . . .
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan Jumamosi Februari 22, 2025 amesema Serikali itaendelea kuwashika mkono wasanii wa ucheshi ili wafike ngazi z . . .
Jopo la majaji jijini Los Angeles, Jumanne, Februari 18, limemuachia huru rapa maarufu kwa jina la A$AP Rocky baada ya kumkuta hana hatia katika mashitaka mawili ya uhali . . .
Staa wa Pop duniani, Shakira, amelazimika kukatisha shoo yake nchini Peru na kukimbizwa hospitali baada ya kupatwa na maradhi ya tumbo.Kupitia akaunti zake za mitandao ya . . .
Nyota wa filamu ambae amejipatia umaarufu zaidi kupitia Tamthilia ya Power , Omari Hardwick ameungana na baadhi ya watu kuwatetea wasanii ambao walipata nafasi ya kutumbu . . .
Rapa Lil Yachty amekiri kwamba mpaka sasa bado anajutia maamuzi yake kwa kuchagua upande kwenye vita kati ya Card B na Nick Minaj mwaka 2018 .Kupitia mahojiano ambayo ame . . .
Rapa kutoka Marekani Alvin Nathaniel Joiner maarufu kama Xzibit ama Exhibit A . X to the Z. Wow Alvin.... Amesema kwamba ni kweli Drake alishindwa kwenye vita yake na Ken . . .
Kufuatia kuapishwa rasmi kwa Donald Trump kuwa raisi wa Marekani kwa mara nyingine tena baada ya ushindi wake katika uchaguzi uliopita dhidi ya mpinzani wake Kamala Harri . . .
Hivi karibuni rapa Cardi B amefunguka kuhusu ushawishi wake kwenye Muziki tangu mwaka 2015 alipoanza kufanya Muziki .Cardi B amesema hayo wakati akijibia kuhusu watu wana . . .
Rapa na Emcee kutoka Uingereza mwenye asili ya Zimbabwe Rhyme Assassin ameachia rasmi video ya wimbo mpya unaokwenda kwa jina la Run Em Up ( Told Ya ) Wimbo huu unat . . .
Takriban watu 56 wamepoteza maisha katika msongamano uliotokea kwenye mechi ya soka katika Uwanja wa Stade du 3 Avril, Nzérékoré, nchini Guinea.Tukio hilo lilianza baa . . .
Msanii wa Kufoka Khaligraph Jones Aonesha Maajabu Yake Kwenye Tasinia na Muziki Kwenye Nyimbo Yake Mpya . . .
USIYOYAFAHAMU KUHUSU MORIOX KIDS WATOTO WENYE VIPAJI KUTOKA RWANDA/ WAFUNGUKA HAYA . . .