logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Habari Za Burudani

  • Pata Habari Zote Za Burudani Hapa
news
Michezo
  • Na Jembe Digital
  • August 15, 2025

China imeanza rasmi maonesho Michezo ya Roboti

China imeanza maonesho ya Michezo ya siku tatu kwa Roboti wenye umbo la binadamu, ikilenga kuonesha maendeleo katika teknolojia ya akili bandia na uhandisi wa roboti, Mas . . .

news
Muziki
  • Na Jembe Digital
  • August 14, 2025

Mtunzi wa nyimbo za Chadema afariki dunia

Mtunzi na mwimbaji wa nyimbo za mbalimbali za hamasa za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ikiwemo ya ‘Tundu Lissu wapeleke mchakamchaka’, George Mwingira a . . .

news
Muziki
  • Na Nattyebrandy
  • August 12, 2025

RAPA EVE: “RAP YA U.K. SASA IMEJIPATA”

Rapa maarufu Eve ameweka wazi mtazamo wake kuhusu mabadiliko ya muziki wa rap nchini Uingereza, akisema kuwa kwa sasa rap ya U.K. imejipata na imepata sauti yake tofauti . . .

news
Muziki
  • Na Nattyebrandy
  • August 12, 2025

DK. BALAFU AACHIA LYRICS VIDEO YA “NEVER SELL MY SOUL”

Msanii anayechipukia kwa kasi, Dk. Balafu, ameendelea kutikisa anga ya muziki baada ya kuachia lyrics video ya wimbo wake mpya “Never Sell My Soul”. Audio ya wimbo hu . . .

news
Mastaa
  • Na Jembe Digital
  • July 31, 2025

Sean Diddy aomba kuachiliwa kwa dhamana ya Bil 132

Mwanamuziki na mfanyabiashara maarufu Sean "Diddy" Combs anataka kuondolewa katika gereza la MDC Brooklyn, akidai kuwa mazingira ya gerezani ni kama "jahannamu." Kupitia . . .

news
Mastaa
  • Na Jembe Digital
  • July 25, 2025

Rapa maarufu kutoka Memphis, GloRilla avunja ukimya

Rapa maarufu kutoka Memphis, GloRilla, hatimaye amezungumza hadharani kufuatia kukamatwa kwake hivi karibuni kwa tuhuma za kumiliki dawa za kulevya, na kwa mujibu wa mael . . .

news
Muziki
  • Na Nattyebrandy
  • July 25, 2025

JUX NA PRISCILLA WAWEKA WAZI KUTARAJIA MTOTO, WASHEHEREKEA KWA WIMBO MPYA “THANK YOU”

Msanii maarufu wa Bongo Fleva, Jux, kwa mara nyingine amewashangaza mashabiki wake baada ya kuweka wazi kuwa yeye na mpenzi wake  Priscilla wanatarajia kupata m . . .

news
Muziki
  • Na Nattyebrandy
  • July 25, 2025

LAHY UHN AACHIA WIMBO MPYA “IT’S AIIGHT” MUZIKI UNAOGUSA NAFSI.

Msanii Lahy Uhn ameachia rasmi wimbo wake mpya unaoitwa “It’s Aiight”, kazi inayobeba uhalisia wa maisha, hisia kali na ujumbe wa matumaini. Kupitia sauti yake yeny . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • July 23, 2025

Malkia wa Mitindo Vera Sidika Aanza Maisha Mapya Kibabe!

Mwanamitindo na sosholaiti maarufu kutoka Kenya, Vera Sidika, anayejulikana kwa jina la utani kama Vee Beiby, ameibuka upya na kuteka mitandao ya kijamii kwa kishindo baa . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • July 23, 2025

Mfalme wa Rock na Heavy Metal, Ozzy Osbourne Afariki Akiwa na Miaka 76

Mwanamuziki nguli wa Rock na Heavy Metal, Ozzy Osbourne, maarufu kama ‘Prince of Darkness’, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 76. Taarifa rasmi kutoka kwa famili . . .

news
Top Story
  • Na Asha Business
  • July 17, 2025

Davido Atikisa Tena! Anunua Lamborghini Revuelto Yenye Thamani Ya Bilioni 2.6

Msanii maarufu wa muziki kutoka Nigeria, David Adedeji Adeleke, anayefahamika zaidi kwa jina la Davido, ameendelea kuthibitisha kuwa ni mmoja wa mastaa matajiri zaidi bar . . .

news
Michezo
  • Na Jembe Digital
  • July 17, 2025

Liverpool mbioni kumsajil mshambuliaji Hugo Ekitike kutoka Ujerumani

Klabu ya Liverpool ya England inaendelea kuweka juhudi zake za kumtia mikononi mshambuliaji chipukizi Hugo Ekitike kutoka Eintracht Frankfurt ya Ujerumani, katika dirisha . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • July 14, 2025

Hali ya Joel Lwaga Kiafya Sio Nzuri

Joel Lwaga amefunguka kuhusu hali yake ya kiafya baada ya kupata ajali ya kimichezo. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Lwaga ameeleza kuwa alipata jeraha la mguu wakati . . .

news
Michezo
  • Na Jembe Digital
  • July 10, 2025

Fadlu ahusika kuvunjwa mikataba kwa baadhi ya wachezaji

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally amesema kocha wa kikosi hicho Fadlu Davids anahusika moja kwa moja na kutoongezwa au kuvunjwa kwa mikataba kwa baadhi . . .

news
Michezo
  • Na Jembe Digital
  • July 9, 2025

Manula Atambulishwa Rasmi Azam FC

Aliyekuwa kipa wa Simba SC na timu ya taifa, Taifa Stars, Aishi Salum Manula, amerejea rasmi katika klabu yake ya zamani ya Azam FC baada ya kusaini mkataba wa miaka minn . . .

news
Muziki
  • Na Jembe Digital
  • July 3, 2025

P DIDDY rumande hadi Oktoba mwaka huu

MSANII mashuhuri wa muziki wa hip-hop, Sean Diddy Combs maarufu kama P Diddy, ameendelea kusalia rumande baada ya Jaji Arun Subramanian wa Mahakama ya Shirikisho kumkatal . . .

news
Flamu/Movie
  • Na Jembe Digital
  • June 28, 2025

Washindi tamasha la Kimataifa la Filamu Zanzibar (ZIFF) kujulikana kesho

 BAADA ya siku tano za hekaheka ndani ya Tamasha la Kimataifa la Filamu Zanzibar (ZIFF), msimu wa 28, tamasha hilo litafungwa rasmi kesho huku washindi mbalimbali wa . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • June 27, 2025

Enock Bella ajitokeza kumuomba msamaha Mbosso

Msaniii Enock Bella amejitokeza hadharani kumuomba msamaha Mbosso kwa yote ambayo amemkosea katika maisha waliyoishi zamani mpaka sasa.Enock ameomba msamaha huo baada ya . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • June 26, 2025

BONGO FLEVA KUFANYA VIZURI

Kwa zaidi ya Miaka saba sasa Game ya muziki wa #BongoFleva imeshindwa kuzalisha wasanii wapya wakubwa ambao tunaweza kujivunia kama wasanii wetu wapya wakubwa.Ukitoa Kiza . . .

news
Michezo
  • Na Jembe Digital
  • June 25, 2025

Simba yaahidi kuwepo na kucheza derby ya Karyakoo

Simba imethibitisha kucheza mechi ya Ligi Kuu dhidi ya Yanga ‘Kariakoo Derby leo d kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa.Mechi hiyo imepangwa kuchezwa kuanzia saa 11:00 jioni . . .

news
Michezo
  • Na Jembe Digital
  • June 24, 2025

Polisi Dar yahakikisha usalama wa mchezo wa Simba na Yanga hapo kesho

Jeshi la Polisi Kanda maalum ya Dar es Salaam limewahakikishia usalama wananchi katika mechi ya Simba na Yanga inayotarajiwa kuchezwa kesho Jumatano Juni 25, 2025 huku ik . . .

news
Mastaa
  • Na Nattyebrandy
  • June 23, 2025

RAPPER RUSS AFUNGUKA KUHUSU SABABU YA WASANII WENGI KUPATA DEPRESSION: “NILIKUWA HIVYO PIA, ILA NIMESHINDA”

Rapper na producer maarufu kutoka Marekani, Russ, ameweka wazi mtazamo wake kuhusu tatizo la msongo wa mawazo (depression) linalowakumba watu wengi, akisema kuwa mara nyi . . .

news
Mastaa
  • Na Nattyebrandy
  • June 23, 2025

TIWA SAVAGE: NILIANZA MUZIKI BILA KUANGALIA PESA, LAKINI SASA NAJUA PESA NI KILA KITU

Mwanamuziki maarufu kutoka Nigeria, Tiwa Savage, amefunguka kuhusu safari yake ya muziki, akieleza kuwa alipoanza hakufikiria sana kuhusu fedha, bali aliingia kwenye muzi . . .

news
Michezo
  • Na Jembe Digital
  • June 23, 2025

Mechi ya Simba SC na Yanga SC kuamuliwa na marefa kutoka Misri

Kwa mara ya kwanza katika historia ya mpira wa Tanzania inaenda kushuhudia mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania NBC kwenda kuamuliwa na Waamuzi kutoka nje ya Tanzania.Shirikish . . .

news
Mastaa
  • Na Nattyebrandy
  • June 17, 2025

MILEY CYRUS: “NINAIJUA BIASHARA YA MUZIKI VIZURI, LAKINI WAKATI MWINGINE UNAHITAJI KUFANYA KWA AJILI YAKO MWENYEWE”

Mwigizaji na msanii mashuhuri wa muziki, Miley Cyrus, amefunguka kwa kina kuhusu safari yake katika tasnia ya muziki na kueleza namna ambavyo amekua na uelewa mkubwa kuhu . . .

news
Mastaa
  • Na Nattyebrandy
  • June 17, 2025

KRG THE DON AWEKA WAZI NIA YA KUGOMBEA UBUNGE NAIVASHA 2027

Msanii maarufu kutoka Kenya, KRG The Don, ameweka wazi nia yake ya kuwania kiti cha Ubunge katika Jimbo la Naivasha mwaka wa 2027. Akiwa mgeni katika kipindi maarufu cha& . . .

news
Michezo
  • Na Jembe Digital
  • June 16, 2025

Mambo matatu yaliyopelekea Gennaro kuwa kocha mkuu timu ya Italia

Shirikisho la Mpira wa Miguu Italia (FIGC) limetaja sifa tatu zilizoishawishi  iamue kumpa Gennaro Gattuso nafasi ya ukocha mkuu wa timu ya taifa ya nchi hiyo ‘Azz . . .

news
Mastaa
  • Na Nattyebrandy
  • June 15, 2025

JUSTIN BIEBER AINGIA KATIKA MABISHANO MAKALI NA PAPARAZZI NCHINI MAREKANI

Mwimbaji mashuhuri wa Kimataifa, Justin Bieber, ameonekana akijibizana vikali na paparazzi nje ya Soho House, Malibu, California usiku wa Alhamisi, tarehe 12 Juni. Tukio . . .

news
Muziki
  • Na Nattyebrandy
  • June 15, 2025

MSANII JD YOUNG AACHIA WIMBO MPYA “DARLING” AKIIWAKILISHA RWANDA KWA KISHINDO!

Msanii chipukizi mwenye kipaji cha kipekee, JD Young, ambaye kwa sasa anaishi ughaibuni, ameendelea kupeperusha bendera ya Rwanda kimataifa kupitia muziki wake. Safari hi . . .

news
Top Story
  • Na Nattyebrandy
  • June 14, 2025

Diamond Platnumz Aandika Historia Mpya Royal Albert Hall, London – Usiku wa Bongo Fleva Uliotikisa Dunia!

Juni 13, 2025 – Historia iliandikwa jijini London! Msanii maarufu wa Tanzania, Diamond Platnumz, ameweka rekodi mpya kwa kuwa msanii wa kwanza kutoka Afrika Mashariki k . . .

news
Top Story
  • Na Nattyebrandy
  • June 13, 2025

ZIFF 2025 YAJA KWA KISHINDO: TAMASHA LA FILAMU LENYE LADHA YA DUNIA NZIMA!

Kutoka kushoto; Mkurugenzi wa Goethe-Institute Tanzania Bw. Mpangi Otte, Mtendaji Mkuu   ZIFF Joseph Mwale, Mkurugenzi wa ZIFF, Hatibu Madudu na Mwakilishi . . .

news
Muziki
  • Na Nattyebrandy
  • June 13, 2025

LADY JAY DEE AZINDUA RASMI KITABU CHAKE “DIARY YA LADY JAY DEE” BAADA YA MIAKA 25 YA SAFARI YA MUZIKI

Mwanamuziki mkongwe na msanii wa kike wa kwanza kung’ara kwenye Bongo Fleva, Judith Wambura Mbibo, maarufu kama Lady Jay Dee, jana alizindua rasmi kitabu chake kipya ki . . .

news
Muziki
  • Na Nattyebrandy
  • June 13, 2025

BAADA YA MBOSSO KUACHIA EP YAKE “ROOM NUMBER 3”, AOMBA SAPOTI – MARA YA KWANZA TANGU KUTENGANA NA WCB

Msanii nyota wa muziki wa Bongo Fleva, Mbosso, ameachia rasmi Extended Playlist (EP) yake mpya iitwayo “Room Number 3”, ambayo imezua msisimko mkubwa miongoni mwa mas . . .

Kurasa 2 ya 14

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho

Habari Zaidi

  • Mbappé Avunja Ukimya wa Miaka 12 Real Madrid, Aifikia Rekodi ya Ronaldo

    • 3 masaa yaliopita
  • SIMBACHAWENE AVIOMBA VYOMBO VYA HABARI KUFANYA UTAFITI JUU YA RUSHWA

    • 21 masaa yaliopita
  • UN yaomba ufadhili wa dharura kuhudumia wakimbizi Burundi

    • jana

Habari Category

  • Habari Zote
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
  • Habari Ndani Na Nje
  • Video
  • Uchumi Na Biashara
  • Magazeti
  • Makala

Wasiliana Nasi

JEMBE NI JEMBE GROUP ,
P. O. Box 1334,
PLOT NO.111/BLOCK "A"
HOUSE No:43 MAKONGORO STREET,
ILEMELA MWANZA - TANZANIA

info@jembenijembe.com

+ 255-786-385-475 ,
+ 255-716-385-475.

  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS
  • STAFF LOGIN

POWERED BY

© Jembe Ni Jembe Companies.

Created And Maintained By XFoundationCode