logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Habari Za Burudani

  • Pata Habari Zote Za Burudani Hapa
news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • January 22, 2025

XZIBIT ATOA SABABU ZA DRAKE KUSHINDWA NA KENDRICK LAMAR

Rapa kutoka Marekani Alvin Nathaniel Joiner maarufu kama Xzibit ama Exhibit A . X to the Z. Wow Alvin.... Amesema kwamba ni kweli Drake alishindwa kwenye vita yake na Ken . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • January 22, 2025

KEVIN POWELL AMSHUTUMU SNOOP DOGG KUWA MSALITI

Kufuatia kuapishwa rasmi kwa Donald Trump kuwa raisi wa Marekani kwa mara nyingine tena baada ya ushindi wake katika uchaguzi uliopita dhidi ya mpinzani wake Kamala Harri . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • January 21, 2025

CARDI B AFUNGUKA KUHUSIANA NA MUZIKI

Hivi karibuni rapa Cardi B amefunguka kuhusu ushawishi wake kwenye Muziki tangu mwaka 2015 alipoanza kufanya Muziki .Cardi B amesema hayo wakati akijibia kuhusu watu wana . . .

news
Top Story
  • Na Asha Business
  • January 16, 2025

HIKI HAPA KICHUPA KIPYA KUTOKA KWA RHYME ASSASSIN - RUN EM UP ( TOLD YA )

Rapa na Emcee kutoka Uingereza mwenye asili ya Zimbabwe Rhyme Assassin ameachia rasmi video ya wimbo mpya unaokwenda kwa jina la Run Em Up ( Told Ya ) Wimbo huu unat . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • December 3, 2024

Takriban Mashabiki 56 Wamepoteza Maisha Uwanjani Nchini Guinea

Takriban watu 56 wamepoteza maisha katika msongamano uliotokea kwenye mechi ya soka katika Uwanja wa Stade du 3 Avril, Nzérékoré, nchini Guinea.Tukio hilo lilianza baa . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • November 26, 2024

MAAJABU ALICHOKIFANYA KHALIGRAPH JONES

Msanii wa Kufoka Khaligraph Jones Aonesha Maajabu Yake Kwenye Tasinia na Muziki Kwenye Nyimbo Yake Mpya  . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • November 20, 2024

USIYOYAFAHAMU KUHUSU MORIOX KIDS

USIYOYAFAHAMU KUHUSU MORIOX KIDS WATOTO WENYE VIPAJI KUTOKA RWANDA/ WAFUNGUKA HAYA . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • November 20, 2024

mama wa beyonce amkingia kifua mwanaye sakata la pesa za kampeni

Tina Knowles(70), mama mzazi wa Msanii Beyonce Knowles ameibuka na kumkingia kifua mwanaye, baada ya tuhuma za kuwa msanii huyo alilipwa pesa ili kumuunga mkono Makamu wa . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • November 17, 2024

FIVARA AWACHANA WASANII

FIVARA AWACHANA WASANII / MSIJIFUNGIE NDANI KAMA MISWAKI . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • November 15, 2024

Mzee wa Kitambaa Cheupe King Kikii Afariki Dunia

Mwanamuziki Mkongwe Kikumbi Mwanza Mpango King Kikii amefariki dunia.Mwanamuziki huyo ambaye ameugua kwa muda mrefu, amefariki usiku wa kuamkia leo katika Hospital ya Tai . . .

news
Top Story
  • Na Asha Business
  • November 8, 2024

RUFAA YA KESI YA NIPSEY HUSSLE KUSIKILIZWA TENA

Ripoti ya Chombo Cha Habari.... ALL HIP-HOP kutoka Nchini Marekani imeibua document za mahakama zinazohusisha maombi ya  kukataa rufaa kwenye hukumu ya kesi ya mauaj . . .

news
Top Story
  • Na Asha Business
  • November 8, 2024

MASTAA MBALIMBALI WA WAMPONGEZA DONALD TRUMP

Mastaa mbalimbali wa Muziki duniani wamejitokeza kumpongeza Donald Trump ambae ameibuka mshindi dhidi ya aliyekuwa mpinzani wake Kamala  Harris kwenye kinyang'anyiro . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • November 8, 2024

MTOTO WA PIDDY AAHIDI KUWAFURAHISHA MASHABIKI WA BABA YAKE

King Combs amehaidi kuwafurahisha mashabiki wa baba yake P Diddy baada ya kuanza rasmi kuendesha mitandao yake ya kijamiiFamilia ya P Diddy imekua kwenye midomo ya watu w . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • November 8, 2024

MSANII YOUNG THUG AWAASA WANAFUNZI KUWEKA JUHUDI KWENYE MASOMO

Rapa Young Thug amezungumza na wanafunzi wa chuo cha sheria Nchini Marekani na kuwahasa wanafunzi hao kuweka juhudi kwenye masomo yao ili kuja kusaidia watu mbalimbali we . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • November 3, 2024

Cardi B " Hakuna MTU Ninaemchukia kama Offset"

Cardi B na Offset wamekuwa wakitengana na kurudiana mara kadhaa, lakini inaonekana uhusiano wao umeshindikana kabisa baada ya rapa huyo wa "Bodak Yellow" kumkandia tena B . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • October 31, 2024

Q NICHOLS NA YOUNG THUG WAKIRI KOSA MAHAKAMANI

Q Nichols mwenye umri wa miaka 29 ambae pia ni miongoni mwa watuhumiwa kwenye kesi ya YSL RICO inayomuhusisha rapa kutoka Nchini Marekani Young Thug na washirika wake ame . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • October 31, 2024

MSANII MERTO BOOMING ASHITAKIWA KWA KOSA LA UBAKAJI

Mtayarishaji wa Muziki kutoka Nchini Marekani Metro Booming ameshitakiwa na Mwanamke mmoja ambae amefahamika kwa jina la Vannessa LeMaistre  ambae anadai Metro Boomi . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • October 31, 2024

Miss Rwanda Kupandishwa Mahalamani Baada ya Kuendesha Gari Akiwa Chakali Bila Leseni

Mshindi wa taji la urembo la Miss Rwanda mwaka 2022, Divine Nshuti Muheto anatarajiwa kufikishwa Mahakamani leo October 31,2024 baada ya Polisi Rwanda kuthibitisha kumkam . . .

news
Muziki
  • Na Asha Business
  • October 29, 2024

WAANDAAJI WA TUZO ZA GRAMMY WAONDOA ALBUM YA TYLA

Waandaaji wa tuzo za Grammy kupitia Recording Academy R&B Screening Committee wameiondoa album ya Tyla kwenye kipengele cha R&B na sasa imewekwa kwenye kipengele . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • October 25, 2024

CARDI B ALAZIMIKA KUSITISHA SHOW

Rapa Card B amelazikika kusitisha show yake kwenye tamasha la Muziki ONE MUSIC FEST ikiwa ni muda mfupi kabla ya kuanza kwa tamasha hiloKupitia taarifa yake aliyoichapish . . .

news
mastaa
  • Na Asha Business
  • October 23, 2024

Ruger aitamani kolabo ya Bob Marley

Msanii Michael Adebayo Olayinka Maarufu kama Ruger kutoka nchini Nigeria amefunguka moja kati ya wasanii ambao angetamani kabisa kufanya nao wimbo kama wangelikuwa hai ba . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • October 23, 2024

Ripoti ya Uchunguzi Maiti ya Mohbad iko Tayari

Ripoti ya uchunguzi wa maiti (toxicology) na uchambuzi mwingine wa kitaalamu uliofanywa nchini Marekani kuhusu rapa marehemu, Ilerioluwa Oladimeji Aloba maarufu kama Mohb . . .

news
Muziki
  • Na Nattyebrandy
  • October 18, 2024

Emperor T-Jiga Azidi Kutamba Na Kilode

Msanii Wa Muziki Wa Nchini  Ghana Ambaye Pia Ni Mwandishi Wa Nyimbo,Mtayarishaji Wa Muziki ,Mtumbuizaji Na Mshindi Wa Tuzo Pia Ambaye Amefanikiwa Kufanya Kazi N . . .

news
Muziki
  • Na Nattyebrandy
  • October 16, 2024

Sauti za Busara Yatoa Orodha ya Wasanii kwa Tamasha la 2025

Waandaji wa Tamasha la Sauti za Busara, linalofanyika visiwani Zanzibar kila Februari, wametangaza orodha ya wasanii watakaotumbuiza katika tamasha la 22, litakalofanyika . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • October 14, 2024

HARMONIZE ALIVYOIPAGAWISHA WANANCHI WA BUKOMBE

HARMONIZE ALIVYOIPAGAWISHA WANANCHI WA BUKOMBE . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • October 13, 2024

Wa South Africa Hawamtaki Chriss Brown Afanye Show Nchini Kwao

Kikundi cha Utetezi wa Wanawake (Woman Change) Afrika Kusini kimeanzisha Kampeni ya kutaka kusitishwa kwa Tamasha lijalo la Msanii #ChrisBrown Nchini humo Disemba 14.2024 . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • October 2, 2024

BASATA WALAANI KITENDO CHA ZUCHU KUTUPIWA VITU JUKWAANI MBEYA

Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limelaani vikali kitendo alichofanyiwa Mwimbaji wa Bongo Flava, Zuhura Othman Soud (@officialzuchu ) cha Mashabiki kumtupia vitu jukwani . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • September 29, 2024

BONGO PIA KUNA KINA DIDDY IPO SIKU WATATAJWA

Producer Mkongwe Master Jay amefunguka kuwa kila nchi kuna watu ambao bila wao huwezi kutoboa kwenye tasnia ya burudani, kitaalamu zaidi wanaitwa "Gatekeepers" wao wana n . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • September 26, 2024

Tuhuma zote zinazotolewa dhidi ya rapa wa Marekani, P Diddy

Sean Combs, anayejulikana kama P Diddy au Puff Daddy, rapa na nguli wa muziki anayesifiwa kwa kuanzisha kazi za mastaa wakuu, amekuwa akitangaziwa hivi karibuni kwa shida . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • September 26, 2024

WATOTO WA P DIDDY WAWEKA MSIMAMO KUSIMAMA NA BABA YAO

Watoto wa Diddy na Kim Porter wamezungumzia uvumi unaoendelea kuhusu uhusiano wa wazazi wao pamoja na kifo cha mama yao, Kim Porter. Kwenye taarifa yao, Quincy, Christian . . .

news
Top Story
  • Na Nattyebrandy
  • September 20, 2024

C-Unit safari hii wanasema hakuna kukata tamaa “Odieshi"

Mapacha wanaoimba, Onyedika Pascal Ike na Onyebuchi Anthony Ike, wanaojulikana pamoja na kitaaluma kama C-UNIT, wameweka jina lao kwenye tasnia ya muziki kwa wimbo mpyaam . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • September 12, 2024

Chino Kidd Atoa Ujumbe Kwa Vijana Wenye Mafanikio Kifedha

Chino Kidd ametoa ujumbe mzito kwa vijana na watu wote, akisisitiza umuhimu wa kumweka Mungu karibu, hasa wakati ambao mtu ana mafanikio. Anasema kuwa kipindi ambacho mtu . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • September 12, 2024

Portable"Sitajishusha kwa Davido mimi ni tajiri kuliko yeye"

Katika mahojiano ya hivi majuzi kwenye chaneli rasmi ya YouTube ya Echo Room, mwimbaji maarufu wa Nigeria Portable amefunguka kuhusu kukutana kwake na mwimbaji mwenzake D . . .

Kurasa 4 ya 14

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho

Habari Zaidi

  • Nchemba Awaagiza Viongozi Kutatua Kero za Wananchi

    • 2 siku zilizopita
  • Spika Zungu: Hakuna Udini Kwenye Miradi ya Utalii

    • 2 siku zilizopita
  • Ukraine na Urusi zimefanya ubadilishanaji wa wafungwa

    • 2 siku zilizopita

Habari Category

  • Habari Zote
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
  • Habari Ndani Na Nje
  • Video
  • Uchumi Na Biashara
  • Magazeti
  • Makala

Wasiliana Nasi

JEMBE NI JEMBE GROUP ,
P. O. Box 1334,
PLOT NO.111/BLOCK "A"
HOUSE No:43 MAKONGORO STREET,
ILEMELA MWANZA - TANZANIA

info@jembenijembe.com

+ 255-786-385-475 ,
+ 255-716-385-475.

  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS
  • STAFF LOGIN

POWERED BY

© Jembe Ni Jembe Companies.

Created And Maintained By XFoundationCode