Msanii Wa Muziki Wa Injili Kutoka Nchini Burundi Ambaye Makazi Yake Ni Nchini Canada Licha Ya KuhudumuKatika Shughuli Za Kumtukuza Na Kumuabudu Mungu Amekuwa Akifanya Muz . . .
Tyrese Gibson alikamatwa mahakamani Jumatatu asubuhi kwa kushindwa kulipa matunzo ya mtoto kwa mke wake wa zamani, Samantha Lee.Kwa mujibu wa TMZ, muigizaji huyo wa “Fa . . .
Msanii wa muziki wa miondoko ya dancehall ambaye anawakilisha jiji la Arusha David mchome maarufu kwa jina la Dj Davizo a.k.a bunduki mwaka jana alifanikiwa kuachia singl . . .
Tanzania imebarikiwa vipaji vingi ,na kila siku kuna wasanii wapya wanaibuka katika kulisukuma gurudumu la muziki Tanzania kama inavyoaminika kuwa muziki ni biashara ulim . . .
Rich mavoko ambaye mwaka huu tangu uanze nyimbo alizoachia ni tatu yaani miss you,my g na sasa ni kill myself akiwa ameshirikiana na chino kid moja ya msanii ambaye kwake . . .
Bayo ni moja ya msanii ambaye amekuwa kaifanya vizuri kutoka nchini Tanzania akiwa anawakilisha mziki wa dancehall akiwa pia anawakilisha mkoa wa Mwanza. Amefanikiwa . . .
Mwanamuziki wa muda mrefu kutoka nchi Colombia Shakira ambaye mwaka huu aliuanza kwa kuachia album yake mpya ambayo iliambatana na ziara yake ya muziki baada ya kukaa kim . . .
Kiri records ni moja kati ya lebo ya muziki nchini Tanzania ambayo imekuwa na mchango mkubwa sana katika kukuza Sanaa ya muziki Tanzania katika kutoa vipaji vingi tofauti . . .
Mwimbaji wa Nigeria, Damini Ogulu, almaarufu Burna Boy, amemkabidhi taji lake la African Giant kwa mwenzake, Folarin Falana, almaarufu Falz the Bahd Guy.Burna Boy alifich . . .
Baada ya siku 20 kifungoni Hajiya Hauwa'u Adamu, mamake mwanamuziki mashuhuri wa Kihausa, Dauda Adamu, almaarufu Rarara, hatimaye amepata uhuru wake.Habari za uhuru wake . . .
Msanii wa Filamu za kibongo, Vanessa Kashera maarufu 'Vee Kashera' ameibuka na kudai kwamba mwanamitindo Hamisa Mobetto hawezi kuvunja mahusiano yake na kiungo mshambulia . . .
Mtaarishaji wa muziki kutoka Bongo @s2kizzy amemjibu Msanii @badest_47 kuhusu madai ya kuwa ameibiwa Idea ya wimbo wa #Sensema ulioachiwa usiku wa kuamkia leo na Mastaa @ . . .
Mwanamuziki mkongwe na maarufu duniani kutokea nchini Canada, Celine Dion amesema hataruhusu vita vyake na ugonjwa unaomsumbua wa (Stiff Person Syndrome) kumzuia kufanya . . .
Muigizaji na mtangazaji wa TV maarufu nchini Marekani, Nick Cannon ameweka bima ya Korodani zake $10 Milion sawa na Bilioni 26 za kitanzania.Cannon ameamua kufanya hivyo . . .
Joseph Aloba, baba wa marehemu mwimbaji, Ilerioluwa Oladimeji Aloba, anayejulikana pia kama Mohbad, anasema alisikitishwa sana kujua kwamba uongozi wa Maabara ya Huduma z . . .
Alikiba ameandika kuwa “HANS! @hansrafael14 Mimi ni miongoni mwa Mashabiki wa kazi yako, namna unavyochambua Football na kuufanya uonekane mchezo wa kimahesab . . .
Diamond Platnumz na Zuchu wamethibitisha kuwa mapenzi yao bado yana nguvu baada ya kushiriki vipande vya wimbo wao mpya unaotarajiwa. Zuchu, wiki moja iliyopit . . .
Rapa Drake amepata hasara ya Dollar laki 565 sawa na tsh bilioni 1.4 mara baada ya kuliwa kwenye kamari aliyocheza usiku wa kuamkia jumapili.Kamari hiyo Drake alicheza ka . . .
Sean "Diddy" Combs ameomba msamaha kwa tabia yake "isiyo na udhuru" baada ya CCTV kuonekana kumuonyesha akimshambulia mwimbaji Casandra "Cassie" Ventura.Akiongea kwenye v . . .
Msanii wa kizazi kipya kutoka Mwanza Tanzania Vanillah music ambaye kwa sasa ni msanii ambaye anasimamiwa chini uya lebo ya muziki maarufu kings music amefanikiwa kwa asi . . .
Mwanamuziki mahiri kutoka nchini kenya ambaye pia amefanikiwa kufanya mambo mbali mbali na kundi la muziki la sauti sol bien aime ambye pia amepata mafanikio ndani nan je . . .
Mwimbaji nyota wa Nigeria, Burna Boy amesema hataki kuwa na watoto kwa sasa kwa sababu wakati huuhawezi kutoa mapenzi aliyoyapata kutoka kwa wazazi wake. Akizungumza . . .
Mwimbaji Olivia Rodrigo alikumbwa na hitilafu kubwa wakati wa tamasha lake la hivi majuzi nchini U.K. alipokuwa akitumbuiza mbele ya maelfu ya mashabiki jijini . . .
Rapa 50 Cent anaendelea kumkandia Jay Z ambaye ni rafiki wa karibu wa P Diddy ambaye kwa sasa anaekabiliwa na mashtaka ya kingono kuhusu unyanyasaji wa kijinsia.Kupitia u . . .
Huko Beverly Hills Jumanne hii Jeniffer lopez alionekana akiandamana na mwanamke ambaye anaonekana kuwa Rafiki wa muda mrefu, Elaine Goldsmith-Thomas, ambaye w . . .
Kutoka kushinda tuzo Kadhaa, Kutajwa katika Tuzo za Tanzania Music Awards TMA 2022, Tuzo za Kimaraifa Zikomo Awards 2023 Toka Nchini Zambia.Hadi kutajwa kwenye orod . . .
Ikiwa ni siku chache zimepita tangu mlimbwende wa mitindo kutoka nchini marekani hailey Bieber kutangaza kuwa na ujauzito ambao wanatarajia kupata mtoto wao wa kwanza na . . .
Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz amezungumza namna Komasava ya Diamond na Hakuna Matata ya Marioo zinaisumbua Afrika.Amesema kuwa . . .
Mask Queen DJ Bella, mvunja Rekodi ya Dunia ya Guinness kwa mbio ndefu zaidi za tamasha la moja kwa moja, ametangaza mipango ya kutengeneza wimbo mkali utakaowashirikisha . . .
Mchekeshaji aliyegeuka kuwa mwanaharakati Eric Omondi ana shughuli nyingi kusaidia Wakenya walioathiriwa na mafuriko kupitia mpango wake wa 'Sisi Kwa Sisi'. Omondi a . . .
Britney Spears anahitaji usaidizi mkubwa kwa sasa -- na jibu linaweza kuwa katika uhifadhi mpya na dawa ... ndivyo asemavyo Dk. Charles Sophy.Kwa mujibu wa cha . . .
Headlines za Hitmaker wa ‘’Calm Down” Rema akisema sasa hivi Muziki wa Africa hauna tena ile ‘Big Three’ (Burna Boy, Davido na Wizkid) bali kuna ‘Big Four’ . . .
Wanamuziki kutoka nchini Nigeria, Davido pamoja na Wizkid wapo katika bifu zito, baada ya shabiki wa Wizkid katika mtandao wa X (zamani Twitter) kumuomba msanii huyo atoe . . .