logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Kitaifa Na Kimataifa

  • Pata Habari Zilizojili Pande Zote Duniani
Kitaifa
  • Na Asha Business
  • February 16, 2022

Wamiliki wa vyombo vya habari watakiwa kutoa mikataba ya ajira kwa waandishi

Serikali imewataka waajiri na wamiliki wa Vyombo vya habari nchini kuwaajiri waandishi wa habari kwa mikataba maalumu ambayo inampa mwandishi nafasi ya kuingia katika mifuko ya kijamii na kuweza . . .

Kitaifa
  • Na JZ The Brand
  • February 16, 2022

Waziri Makamba amjibu Msukuma ishu ya Umeme “Huo sio Ubunge, kupanda helkopta’

Waziri wa Nishati Januari Makamba amejibu baadhi ya hoja za wabunge kuhusu kukatika kwa umeme ambapo amesema suala la hilo limezungumzwa na wabunge, na amesema kuwa hakuna mtu kwenye wizara au TAN . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • February 16, 2022

Putin "Hatutaki vita Ulaya tuko tayari kwa mazungumzo"

Rais Vladimir Putin amemueleza Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz kuwa Urusi haitaki vita barani Ulaya. Viongozi hao wawili walikutana jana mjini Moscow ikiwa ni juhudi za hivi karibuni za kuepusha . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • February 16, 2022

Macron kujadili mustakabi wa wanajeshi wa Ufaransa Mali

Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron leo atakutana na washirika wake wa Ulaya kujadili juu ya ujumbe wa kijeshi nchini Mali. Maafisa wa serikali wamesema Macron atatangaza ikiwa anawaondoa wanajeshi w . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • February 16, 2022

Atiwa mbaroni kwa kutoa taarifa za uongo

Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limemkamata mfanyabiashara Maila Majula (29), mkazi wa Makongo juu kwa kutoa taarifa za uongo katika kituo cha Polisi Msimbazi kuwa kaibiwa gari. . . .

Kimataifa
  • Na JZ The Brand
  • February 15, 2022

Bennett kukutana na mfalme, mrithi wa ufalme wa Bahrain

Wakati hatima ya mazungumzo ya Mkataba wa Nyuklia wa Iran na mataifa makubwa duniani ikiwa haijuilikani, Waziri Mkuu wa Israel Naftali Bennett yuko ziarani nchini Bahrain kuimarisha mahusiano bain . . .

matukio
  • Na JZ The Brand
  • February 15, 2022

Ukweli wa mateso anayopitia Bambucha, asimulia kukatwa mguu, uigizaji

Wengi tunamfahamu kama Bambucha jina lake halisi ni Omary Said Babu (59) amewahi kuchez . . .

Teknolojia
  • Na JZ The Brand
  • February 15, 2022

Chombo kinachotarajiwa kugongana na mwezi chatambuliwa mmiliki wake

Wanaastronomia wanasema kwamba sehemu ya roketi iliotarajiwa kugongana na mwezi , mnamo mwezi Machi haikutoka kwa kampuni ya uchunguzi wa anga ya Elon Musk kama ilivyodhaniwa. Badala yake wanaamini . . .

Afrika
  • Na JZ The Brand
  • February 15, 2022

Kijana aliyepigwa picha akipika jangwani apata msaada

Mwandishi wa habari wa Ethiopia aliyepiga picha ya mvulana akipika jangwani peke yake ilyosambaa kwenye mitandao ya kijamii amezungumzia kisa cha picha hiyo yenye ujumbe mzito.Picha ya Boru Konso . . .

Afrika Mashariki
  • Na JZ The Brand
  • February 15, 2022

Kesi ya wakili wa Kenya kuanza katika mahakama ya ICC

Kesi ya wakili wa Kenya anayetuhumiwa kuwahonga mashahidi wa upande wa mashtaka wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Jinai (ICC) inaanza Jumanne huko The Hague.Paul Gicheru anakabiliwa na mashtak . . .

siasa
  • Na Asha Business
  • February 15, 2022

Baraza la madiwani kumfukuza mfanyakazi mtoro

Baraza la madiwani la halmashauri ya wilaya ya Mbinga limeazimia kumfukuza kazi mfanyakazi mmoja wa halmashauri hiyo kwa kosa la utoro kazini huku likiwapeleka kwenye kamati ya maadili wafanyakazi . . .

Elimu
  • Na Asha Business
  • February 15, 2022

Mgomo wa walimu waingia wiki ya pili

Mgomo wa walimu ambao umeathiri taasisi za elimu nchini Zimbabwe umeingia wiki yake ya pili jana Jumatatu.Serikali imewasimamisha kwa muda walimu wapatao 135,000 kwa kushindwa kuripoti kazini. Wizar . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • February 15, 2022

Waziri Mutahi Kagwe Katika Hatari ya Kufungwa Jela.

Waziri wa Afya, Mutahi Kagwe anakumbana na hatari ya kufungwa jela miezi sita kwa kudharau amri ya korti iliyomzuia kuruhusu jeshi kusimamia Mamlaka ya Usambazaji Dawa Nchini (KEMSA).Katika malalamish . . .

AFYA
  • Na JZ The Brand
  • February 14, 2022

WAGONJWA 26 WAPANDIKIZWA FIGO HOSPITALI YA BENJAMIN MKAPA

Hospitali ya Benjamin Mkapa imefanikiwa kupandikiza figo wagonjwa 26 kuanzia machi 22, 2018 kutoka mikoa mbalimbali nchini na wote wanaendelea vizuri.Hayo yamebainishwa leo na Mkuu wa idara ya . . .

AFYA
  • Na JZ The Brand
  • February 14, 2022

Wanasayansi kutengeneza mtoto kwenye maabara

Wanasayansi wanaendelea kutafiti kisayansi kuhusu njia mpya ya uzazi itakayotumika kutengeneza mtoto maabara bila kufuata njia za kawaida za uzazi zinazohusisha ubebaji wa mimba na kuzaa.Njia hii . . .

Hali ya hewa
  • Na JZ The Brand
  • February 14, 2022

Umoja wa Mataifa kukamilisha ripoti kuhusu athari za ongezeko la joto

Wanasayansi na maafisa wa serikali wanakutana leo kukamilisha ripoti muhimu ya Umoja wa Mataifa kuhusu jinsi ongezeko la joto duniani linavyoyavuruga maisha ya watu, mazingira yao ya asili na saya . . .

matukio
  • Na JZ The Brand
  • February 14, 2022

Wanajeshi wa Mali wauawa na wapiganaji wa jihadi

Wanajeshi wawili wa Mali wameuawa katika shambulizi linalodaiwa kufanywa na wapiganaji wa jihadi.Shambulio hilo limetokea kwenye kituo cha Niafunké katikati mwa Mali Jumapili asubuhi.Watano kati ya . . .

Kimataifa
  • Na JZ The Brand
  • February 14, 2022

Hoteli ya kwanza ya wapenzi wa jinsia moja yafunguliwa Cuba

Waandishi wa habari walipowasili kwa ziara iliyoandaliwa na serikali katika hoteli ya kifahari katika eneo la mapumziko la Cuba la Cayo Guillermo, walilakiwa na kikundi cha densi kilichovalia nguo z . . .

Kitaifa
  • Na JZ The Brand
  • February 14, 2022

WAZIRI WA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA WA UAE ATEMBELEA BANDA LA TANZANIA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa Nchi ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) Mhe.Sheikh Abdullah bin Zayed Al Nahyan tarehe 13 Februari, 2022 ametembelea Banda l . . .

Uwekezaji
  • Na JZ The Brand
  • February 14, 2022

RC PWANI AZINDUA ONE STOP CENTER

MKUU wa Mkoa wa Pwani Alhaji Abubakar Kunenge amezindua Kituo Cha uwezeshaji wa huduma za wawekezaji   kituo cha pamoja (One Stop Center). RC Kunenge  alisema kuwa Kitengo hicho ki . . .

Kimataifa
  • Na JZ The Brand
  • February 13, 2022

Wazazi wataka mbegu za mtoto wao aliyekufa

Familia moja nchini India imewasilisha ombi la kushangaza katika Mahakama Kuu ya Delhi, ikitaka Hospitali ya Sir Gangaram kuwakabidhi mbegu za kiume za mtoto wao aliyekufa.Lakini jinsi ya kuto . . .

Kitaifa
  • Na JZ The Brand
  • February 13, 2022

Ng'ombe 25,000 wafa Kiteto kwa ukame

Zaidi ya ng’ombe 25,000 wamekufa katika Wilaya ya Kiteto mkoani Manyara kutokana na ukosefu wa maji na malisho hali iliyokumba baadhi ya maeneo hapa nchini. Akizungumza Februari 12, 2022 . . .

Kitaifa
  • Na JZ The Brand
  • February 13, 2022

KIKAO KAZI CHA MAJAJI WAFAWIDHI CHAHITIMISHWA, JAJI MKUU ASISITIZA UTEKELEZAJI THABITI

Jaji Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Hamis Juma amefunga kikao kazi cha Majaji Wafawidhi mwishoni mwa wiki iliyopita tarehe 11 Februari, 2022 huku akitoa rai kwa Majaji hao kutekeleza na kueneza . . .

siasa
  • Na Asha Business
  • February 11, 2022

Naibu Rais William Ruto amewaka moto

Naibu Rais William Ruto amewaka moto baada ya Mwakilishi wa Wanawake kaunti ya Murang'a Sabina Chege kusema kwamba kiongozi huyo anafahamu vyema jinsi Jubilee iliingia mahakamaniAkizungumza wakati wa . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • February 11, 2022

Uganda yazingatia kuwafunga jela wale wanaokataa chanjo ya COVID-19

Mashirika ya kutetea haki za binadamu nchini Uganda yanakosoa sheria inayopendekezwa ambayo itawaadhibu watu wanaokataa chanjo wakati wa mlipuko wa maradhi wa hadi miezi sita jela.Wiki iliyopita, w . . .

siasa
  • Na Asha Business
  • February 11, 2022

Baraza la mawaziri wa EAC laidhinisha DR Congo kujiunga na Jumuiya ya Afrika Mashariki

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) iko hatua moja karibu na kujiunga rasmi na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), baada ya baraza la mawaziri la eneo hilo kupitisha kujiunga kwake Mawaziri wa J . . .

Uwekezaji
  • Na JZ The Brand
  • February 11, 2022

Tanzania Yaunga Mkono Hifadhi Ya Ziwa Tanganyika

TANZANIA imeahidi kuunga mkono utekelezaji wa Awamu ya Pili ya Programu ya Kikanda ya Hifadhi ya Mazingiraya Bonde la Ziwa Tanganyika kutokana na umuhimu wa program hiyo kwa wananchi wa nchi nne . . .

Afrika Mashariki
  • Na JZ The Brand
  • February 11, 2022

Baraza la mawaziri wa EAC laidhinisha DR Congo kujiunga na Jumuiya ya Afrika Mashariki

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) iko hatua moja karibu na kujiunga rasmi na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), baada ya baraza la mawaziri la eneo hilo kupitisha kujiunga kwake Mawaziri wa J . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • February 11, 2022

Maboresho Kwenye Visima Vya Gesi Songosongo Yakamilika

. . .

matukio
  • Na Asha Business
  • February 11, 2022

Marekani yakemea jaribio la shambulizi kwenye uwanja wa ndege wa Saudi Arabia

Mshauri mkuu usalama wa kitaifa wa Marekani Jake Sullivan ameshutumu jaribio la shambulizi la drone la Alhamisi lililotekelezwa na waasi wa Houthi wanoungwa mkono na Yemen . Tukio hilo li . . .

Kurasa 122 ya 129

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho

Habari Zaidi

  • Mbappé Avunja Ukimya wa Miaka 12 Real Madrid, Aifikia Rekodi ya Ronaldo

    • 13 masaa yaliopita
  • SIMBACHAWENE AVIOMBA VYOMBO VYA HABARI KUFANYA UTAFITI JUU YA RUSHWA

    • jana
  • UN yaomba ufadhili wa dharura kuhudumia wakimbizi Burundi

    • 2 siku zilizopita

Habari Category

  • Habari Zote
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
  • Habari Ndani Na Nje
  • Video
  • Uchumi Na Biashara
  • Magazeti
  • Makala

Wasiliana Nasi

JEMBE NI JEMBE GROUP ,
P. O. Box 1334,
PLOT NO.111/BLOCK "A"
HOUSE No:43 MAKONGORO STREET,
ILEMELA MWANZA - TANZANIA

info@jembenijembe.com

+ 255-786-385-475 ,
+ 255-716-385-475.

  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS
  • STAFF LOGIN

POWERED BY

© Jembe Ni Jembe Companies.

Created And Maintained By XFoundationCode