logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Kitaifa Na Kimataifa

  • Pata Habari Zilizojili Pande Zote Duniani
Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • December 12, 2025

Ruto aongoza sherehe za Jamhuri Dei

RAIS William Ruto ameongoza sherehe za Jamhuri Dei nchi ikiadhimisha miaka 62 tangu ilipopata uhuru.Sherehe hizo zinazoendelea katika uwanja wa Nyayo Stadium, Nairobi pia zilitumika kumkumbuka Hayati . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • December 12, 2025

Wananchi Dar Walia na Tatizo la Maji

Wananchi wa Dar es Salaam wameendelea kuonesha malalamiko yao kutokana na ukosefu wa maji safi katika maeneo mbalimbali ya jiji, hali ambayo imekuwa kikwazo kikubwa kwa maisha ya kila siku. Tatizo hil . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • December 12, 2025

Mauaji ya kimbari nchini Rwanda: Benki ya Ufaransa yakabiliwa na mashitaka

Nchini Ufaransa, muungano wa vyama vya kiraia kwa ajili ya Rwanda (CPCR) umewasilisha mahakamni malalamiko dhidi ya Benki ya Ufaransa, ukiishutumu kwa kushiriki katika mauaji ya kimbari na uhalifu dhi . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • December 12, 2025

Waziri Ulega "sitoongeza hata sekunde ujenzi barabara ya Mkuyuni

Itakumbukwa Mnamo Disemba 5, mwaka huu 2025 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt, Mwigulu Nchemba alifanya ziara jijiji Mwanza kuzitembelea familia zilizopata madhara ya vurugu za uc . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • December 12, 2025

Lounge yafungiwa kwa kutiririsha kinyesi ovyo

Mkuu wa mkoa wa Manyara Queen Sendiga amefanya ziara ya kushtukiza kwenye bar iitwayo Barazani inayotiririsha maji machafu aina ya kinyesi cha binadamu na kumwamuru Mkuu wa wilaya ya Babati na OCD kui . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • December 12, 2025

Umoja wa Mataifa kuzikutanisha pande hasimu nchini Sudan

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ameliambia shirika la Habari la Al Arabiya la Saudi Arabia kuhusu mkutano huo, ingawa hakufichua tarehe ya mazungumzo hayo.Katika hatua hiyo maafisa wa . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • December 12, 2025

Trump achoshwa na mikutano isiyoleta mwanga wa amani Ukraine

Msemaji wa Ikulu ya Marekani Karoline Leavitt amesema Donald Trump "amechoshwa na mikutano ya mara kwa mara" ambayo hadi sasa haijatoa mwanga wa kufikiwa kwa makubaliano ya kuvimaliza vita kati ya Uru . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • December 12, 2025

Ukraine yashinikiza kuwa na jeshi imara la askari 800,000

Ukraine inasisitiza kuwa na nguvu ya askari 800,000 katika jeshi lake chini ya pendekezo lililoboreshwa la mpango wa amani lililowasilishwa kwa Marekani Volodymyr Zelensky amesema kuwa rasimu ya sasa . . .

matukio
  • Na Jembe Digital
  • December 12, 2025

Kiongozi wa wanamgambo Darfur afungwa miaka 20 na ICC

Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) imemhukumu kiongozi wa wanamgambo wa Janjaweed nchini Sudan Ali Kushayb kifungo cha miaka 20 jela kwa uhalifu wa kivita na uhalifu dhidi ya ubinadamu. Uhalifu huu . . .

matukio
  • Na Jembe Digital
  • December 12, 2025

Mazishi ya Jenista Mhagama Kufanyika Desemba 16, Mbinga

Aliyewahi kuwa Waziri wa Afya wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Peramiho, Jenista Joakim Mhagama, aliyefariki dunia Desemba 11 mwaka huu  jijini Dodoma, anatarajiwa kuzikw . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • December 11, 2025

Polepole atimiza siku 65, Mdude 222 bila kuonekana

Ikiwa tunaeleka ukingoni mwa mwaka 2025, leo zimetimia siku 223 tangu kutekwa kwa kada wa Chama cha Demokrasia na Maendelo (CHADEMA) Mdude Nyagali na watu wasiojulikana usiku wa Mei 2 mwaka huu akiwa . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • December 11, 2025

Trump Aendeleza Mvutano na Ilhan Omar, Atupa Madai Mapya Yenye Utata

Rais wa Marekani wa zamani, Donald Trump, ameendelea kumkosoa Mbunge wa Bunge la Marekani, Ilhan Omar, ambaye ni raia wa Marekani mwenye asili ya Somalia.Katika hotuba yake ya karibuni, Trump alirudia . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • December 11, 2025

Donald Trump atangaza kukamatwa kwa meli ya mafuta kwenye pwani ya Venezuela

Rais wa Marekani Donald Trump siku ya Jumatano, Desemba 10, ametangaza kwamba Marekani imekamata meli ya mafuta "kubwa sana" kwenye pwani ya Venezuela, na hivyo kuongeza mvutano na Caracas. Venezuela . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • December 11, 2025

Maria Corina Machado hatahudhuria sherehe ya Tuzo ya Amani ya Nobel

Kufuatia kufutwa kwa mkutano wa waandishi wa habari wa Nobel Desemba 9 mashaka yameongezeka kuhusu ushiriki wa Maria Corina Machado katika sherehe ya Tuzo ya Nobel iliyopangwa kuanza saa 7:00 (7:00 sa . . .

Afrika Mashariki
  • Na Jembe Digital
  • December 11, 2025

M23 wauteka mji wa kimkakati wa Uvira mashariki mwa Kongo

Baadhi ya vyombo vya habari vimeonyesha waasi wa M23 wakiingia Uvira na kudhibiti maeneo muhimu ya mji huo ikiwemo ofisi za serikali na maeneo ya mpakani.Kundi la waasi la M23 linaloungwa mkono na Rwa . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • December 11, 2025

Hamas yashtumiwa kwa uhalifu dhidi ya ubinadamu

Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limetoa ripoti yake inayolishutumu kundi la Hamas na makundi mengine ya wapiganaji wa Kipalestina kwa kufanya uhalifu dhidi ya ubinadamu.Ka . . .

matukio
  • Na Jembe Digital
  • December 11, 2025

Wimbi jipya la wakimbizi wa Kongo waingia nchini Burundi

Waziri wa Mambo ya Nje wa Burundi Edouard Bizimana amesema zaidi ya Wakongomani 40,000 wamekimbia mapigano yanayoendelea mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na kuingia Burundi katika kipind . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • December 11, 2025

Waziri Ulega awasili Mwanza kutekeleza agizo la PM ukaguzi wa madaraja

Waziri wa Ujenzi Mhe. Abdallah Ulega (MB) leo Desemba 11 mwaka huu amefika katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza na kufanya mazungumzo mafupi na Mhe. Mtanda na kubainisha kuwa yupo kwenye ziara ya si . . .

matukio
  • Na Jembe Digital
  • December 11, 2025

Jenista Mhagama afariki dunia

Mbunge wa Peramiho Jenista Joakim Mhagama amefariki dunia leo 11 Desemba mwaka huu jijini Dodoma. Taarifa hiyo imetolewa na Spika wa Bunge la Tanzania Mussa Azzan Zungu ambaye ameeleza kuwa Bunge lime . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • December 8, 2025

Syria yaadhimisha mwaka mmoja tangu Assad alipoangushwa

Syria Jumatatu inaadhimisha mwaka mmoja tangu kuangushwa kwa mtawala wa kidikteta Bashar al Assad, wakati taifa hilo lililoganwanyika likapambana kurejesha utulivu na kujijenga upya baada ya vita vya . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • December 8, 2025

ECOWAS yatuma wanajeshi Benin kufuatia jaribio la mapinduzi

Jumuiya ya Kiuchumi ya Mataifa ya Afrika Magharibi (ECOWAS)siku ya Jumapili jioni imetangaza kwamba imepeleka wanajeshi nchini Benin kufuatia jaribio la mapinduzi lililozuiwa na mamlaka mapema siku hi . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • December 8, 2025

Kampuni ya Noble Helium kutoa ajira 50 kupitia utafiti wa Helium kinambo

Kampuni ya Noble Helium kutoka Australia imetangaza mpango wa kuajiri zaidi ya vijana 50 kupitia utafiti mpya wa Helium unaotarajiwa kuanza mwezi Desemba hadi Februari katika kijiji cha Kinambo, Wilay . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • December 8, 2025

Serikali yazuia maandamano, Waziri Simbachawene aonya umma

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi George Simbachawene ametoa angalizo kali kwa wananchi kutoshiriki kile kinachoelezwa kama “maandamano ya amani yasiyo na mipaka wala mwisho” yanayohamasishwa mitan . . .

matukio
  • Na Jembe Digital
  • December 8, 2025

Mchungaji na waumini 11 watekwa nyara katika kanisa

 Watu 12 akiwemo mchungaji wametekwa nyara  Novemba 30  mwaka huu wakati wa ibada ya Jumapili katika kanisa la vijijini katikati mwa Nigeria ambapo ni tukio la hivi karibuni k . . .

matukio
  • Na Jembe Digital
  • December 8, 2025

Kundi la RSF Sudan lashutumiwa kurusha droni na kuua watoto 33 shule ya chekechea

WATU wasiopungua 50 wakiwemo watoto 33 wauawa katika shambulizi la droni katika eneo la Kordofan Kusini, Kalogi ambapo shambulizi hilo linasemekana kulenga shule ya chekechea.Ingawa kundi la wapiganaj . . .

matukio
  • Na Jembe Digital
  • December 8, 2025

Mapigano makali yaendelea kushuhudiwa huko Uvira

Mapigano makali yameendelea kushuhudiwa huko Uvira mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ambapo waasi wa M23 wanaoungwa mkono na Rwanda kwa kukabiliana na jeshi la Kongo linaloungwa mkono na . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • December 8, 2025

Nigeria yawezesha kuachiwa huru wanafunzi 100 waliotekwa

Serikali ya Nigeria imewezesha mpango wa kuachiliwa huru kwa wanafunzi 100 waliotekwa nyara na watu wenye silaha katika shule ya Kikatoliki mwezi uliopita. Hayo yameelezwa siku ya Jumapili na cha . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • December 8, 2025

Mamlaka ya Benin yazima jaribio la mapinduzi

Mamlaka ya Benin imetangaza Jumapili kuzima jaribio la mapinduzi ya kijeshi lililolenga kumuondoa madarakani Rais Patrice Talon Umoja wa Afrika umelaani jaribio hilo huku Jumuiya ya ECOWAS ikituma msa . . .

AFYA
  • Na Jembe Digital
  • December 6, 2025

Myenzi atoa wito wa uwazi,uwajibikaji na utoaji huduma bora kwa watumishi wa afya

Desemba 5 mwaka huu mkoani Geita Katika muendelezo wa ziara yake ya kukutana na watumishi wa sekta ya afya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Geita, Ndugu Yefred Myenzi, amefanya kikao maalum na . . .

matukio
  • Na Jembe Digital
  • December 6, 2025

Watuhumiwa wanne wakamatwa na madini ya Vito Mahenge

Watu wanne wamekamatwa na madini ya vito katika mtaa wa Togo, Wilaya ya Ulanga mkoani Morogoro, kufuatia operesheni maalum iliyofanywa na Ofisi ya Afisa Madini Mkazi Mahenge kwa kushirikiana na Jeshi . . .

Kurasa 3 ya 129

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho

Habari Zaidi

  • Mbappé Avunja Ukimya wa Miaka 12 Real Madrid, Aifikia Rekodi ya Ronaldo

    • 6 masaa yaliopita
  • SIMBACHAWENE AVIOMBA VYOMBO VYA HABARI KUFANYA UTAFITI JUU YA RUSHWA

    • 24 masaa yaliopita
  • UN yaomba ufadhili wa dharura kuhudumia wakimbizi Burundi

    • jana

Habari Category

  • Habari Zote
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
  • Habari Ndani Na Nje
  • Video
  • Uchumi Na Biashara
  • Magazeti
  • Makala

Wasiliana Nasi

JEMBE NI JEMBE GROUP ,
P. O. Box 1334,
PLOT NO.111/BLOCK "A"
HOUSE No:43 MAKONGORO STREET,
ILEMELA MWANZA - TANZANIA

info@jembenijembe.com

+ 255-786-385-475 ,
+ 255-716-385-475.

  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS
  • STAFF LOGIN

POWERED BY

© Jembe Ni Jembe Companies.

Created And Maintained By XFoundationCode