Venezuela imetuma malalamiko yake rasmi kwenye Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa juu ya kile inachokiita "wizi" wa Marekani iliyoiteka meli yake ya mafuta kwenye Bahari ya Karibiani wiki iliyopita . . .
Rais Alexander Lukashenko wa Belarus ametowa wito wa kuchukuliwa hatua za haraka kukomesha vita nchini Ukraine wakati huu Marekani ikiendelea na juhudi za kidiplomasia kuhusu mzozo huo uliodumu kwa mi . . .
Imefahamika kuwa kujiondowa kwa kundi la waasi wa M23 mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kutoka mji muhimu wa Uvira kumetokana na agizo la Washington.katika taarifa iliyotelawa nchini humo . . .
Mahakama ya Uhalifu wa Kiuchumi na Ugaidi nchini Benin imewashitaki watu wapatao 30 ambao wengi wao wakiwa ni wanajeshi kwa jaribio la mapinduzi lililoshindwa mapema mwezi juu.Katika taarifa iliyotole . . .
Afisa Mnadhimu wa kitengo cha usalama barabarani Makao Makuu ya Polisi Dar-es- Salaam- SACP Butusyo Akim Mwambelo amewataka waendesha vyombo vya moto kuzingatia sheria wakati wanapoendesha . . .
Nchini Afrika Kusini kila ifikapo Disemba 16 huwa ni maadhimisho ya Siku ya Maridhiano kufuatia juhudi za upatanisho nchini humo zilizolenga kuleta uponyaji kutokana na madonda yaliyochochewa na . . .
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya mkoani Mtwara imefanikiwa kuteketeza kilo 73 za dawa za kulevya aina ya bangi, baada ya kesi zake kukamilika mahakamani na mahakama kutoa uamuzi wa . . .
Bunge la Zambia limepitisha jana kwa wingi wa kura mswaada wa kurekebisha vifungu vya katiba vinavyohusiana na uchaguzi ambavyo upinzani unadai vitamsaidia Rais Hakainde Hichilema katika uchaguzi wa m . . .
MWENYEKITI wa Kamati ya Mambo ya Nje ya Bunge la Wawakilishi la Marekani, na Mbunge machachari wa Chama cha Republican katika Jimbo la Florida, Brian Mast, amepokea mwaliko wa kufanya ziara rasmi nchi . . .
Naibu Msajili wa Mahakama Kuu ya Zanzibar, Kanda ya Pemba, Chausiku Kuya, ameahirisha kesi ya madai iliyofunguliwa na waliokuwa wagombea wanane wa Uwakilishi kupitia chama cha ACT Wazalendo Kisiwani P . . .
WASHUKIWA wawili wa wizi wanauguza majeraha ya risasi baada ya polisi kutibua njama zao eneo la Likoni, Kaunti ya Mombasa.Walikuwa kwenye kundi la wezi waliokuwa wakipora duka usiku wa kuamkia jana.Tu . . .
Waziri Mkuu wa India Narendra Modi anafanya ziara ya Kiserikali nchini Ethiopia leo Jumanne hii, Desemba 16 wakati India ikijaribu kuongeza ushawishi wake katika bara la Afrika.New Delhi imebaini kwam . . .
Katika kuhamasisha matumizi ya msamaha wa riba na adhabu unaoelekea kukoma Desemba 31 mwaka huu Mamlaka ya Mapato Mkoa wa Mwanza imeandaa kipindi cha radio ili kuwaelimisha na kuongeza hamasa kwa wanu . . .
Watumishi wawili wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia, ambao ni Mkuu wa Idara ya Fedha na Afisa Utumishi na Rasilimali Watu, wamesimamishwa kazi kufuatia tuhuma za usimamizi dhaifu wa fedha za miradi ya . . .
Rais wa Kenya William Ruto amemteua Truphena Muthoni kuwa balozi wa kampeni ya taifa ya kupanda miti, kufuatia jitihada zake za kipekee katika kulinda na kuhamasisha uhifadhi wa mazingira.Akizungumza . . .
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza kupitia Kikosi cha Usalama Barabarani limeendelea na zoezi la kutoa elimu kwa madereva na abiria sambamba na kufanya ukaguzi wa magari hususan mabasi ya masafa marefu ya . . .
Msemaji wa AFC/M23 Lawrence Kanyuka amewataka wakongomani kurejea nyumbani akitaja kuwa kwa sasa hali ya usalama ni shwari.Msemaji wa kundi hilo linaloungwa mkono na Rwanda amesema: "Kila kitu kinaend . . .
Mshirika wa karibu wa rais aliyepinduliwa nchini Guinea Bissau, Umar Sissoco Embalo ametiwa nguvuni nchini Ureno akiwa na kiasi cha fedha taslimu euro milioni tano.Hata hivyo Mtu huyo alishikiliwa kwe . . .
Rais Donald Trump wa Marekani amefunguwa kesi mahakamani akidai fidia ya dola bilioni 10 kutoka Shirika la Utangazaji la Uingereza, BBC, akilituhumu kumchafulia jina.Kesi hiyo inatokana na vipande vya . . .
Rais wa Marekani Donald Trump ni kiongozi wa taifa lenye nguvu kubwa zaidi kisiasa, kiuchumi na kijeshi duniani hivyo basi katika nafasi hiyo nyeti, usalama wake hupewa kipaumbele cha juu ka . . .
Watumishi wawili wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia ambao ni Mkuu wa Idara ya Fedha na Afisa Utumishi na Rasilimali Watu wamesimamishwa kazi kufuatia tuhuma za usimamizi dhaifu wa fedha za miradi . . .
Mbunge wa Jimbo la Geita Mjini Eng. Chacha Wambura amesema mafunzo ya madiwani wa Mkoa wa Geita ni muhimu katika kuwawezesha viongozi kushirikiana vyema na serikali na halmashauri ili kuhakikisha maen . . .
Elon Musk mmiliki wa jukwaa la X (zamani Twitter) ametambulisha rasmi XChat mfumo mpya wa mawasiliano ulioundwa kuboresha faragha na kuongeza kasi ya uhuru wa mazungumzo ya kidijitali.Hivyo basi . . .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. Samia Suluhu Hassan amewasili katika Shule ya Kijeshi ya Ulinzi wa Anga (SKUA) mkoani Tanga leo Desemba 15 mwaka huu kwa aj . . .
Nabli wa Ghana Nuhu Ebo anadaiwa kukamatwa kwa kosa la kuzua taharuki kwa kusambaza habari kuwa Mungu amemfunulia maono kwamba ataiagamiza Dunia kwa maji tena ifikapo Desemba 25 mwaka huu.Aidha Nuhu . . .
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba Leo Desemba 15 mwaka huu amewasili Mjini Songea ambako atashiriki katika Ibada ya kutoa heshima za mwisho kwa marehemu Jenista Mhagama aliyekuwa Mbunge wa Peramisho n . . .
Naibu Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Mhe. Wanu Hafidh Ameir amekagua karakana ya kufundishia na kujifunzia iliyojengwa katika Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT) Kampasi ya Mwanza ambayo . . .
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Bukoba mkoani Kagera leo tarehe 14 Desemba 2025. Makamu wa Rais anatarajiwa kuwa . . .
Waziri Mkuu Dk. Mwigulu Nchemba ametoa taarifa kuhusu hali ya ukame nchini, huku akiwataka Watanzania kutunza na kutumia kwa uangalifu akiba ya chakula waliyonayo kutokana na kuchelewa kwa msimu wa mv . . .
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres ametuma ujumbe kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Desemba 14, 2025, wakati alipokutana na Waziri wa Mambo ya N . . .