logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Kitaifa Na Kimataifa

  • Pata Habari Zilizojili Pande Zote Duniani
Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • January 27, 2026

Rais Samia Aadhimisha Siku ya Kuzaliwa kwa Kupanda Miti Zanzibar

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, amesema amechagua kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa kwa kupanda miti kama sehemu ya kutimiza wajibu wake wa kulinda na kuhifadhi sayar . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • January 27, 2026

Watu bilioni 3.8 kukumbana na joto kali ifikapo 2050

Wanasayasni wameonya leo kwamba karibu watu bilioni 3.8 duniani kote huenda wakakabiliwa na joto kali zaidi ifikapo mwaka 2050 huku nchi za ukanda wa Tropiki zikitarajiwa kuathirika zaidi.Kwa mujibu w . . .

matukio
  • Na Jembe Digital
  • January 27, 2026

Utata Wazuka Juu ya Kifo cha Diwani Nyamugali, ACT-Wazalendo na Polisi Watofautiana

Utata umeibuka kufuatia kifo cha Diwani wa Kata ya Nyamugali Halmashauri ya Wilaya ya Buhigwe Majaliwa Abbas Hamis baada ya chama chake cha ACT-Wazalendo kutilia shaka chanzo cha kifo h . . .

matukio
  • Na Jembe Digital
  • January 27, 2026

Jeshi la Polisi Lachunguza Kifo cha Mwanaume Ndani ya Nyumba ya Kulala Wageni Morogoro

Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro linaendelea na uchunguzi wa tukio la kifo cha Gidion Ebenezeri Mbwambo (34) kilichotokea leo Januari 27 mwaka huu katika nyumba ya kulala wageni maarufu kwa jina la Ki . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • January 27, 2026

Venezuela yawaachia huru "wafungwa wa kisiasa"

Shirika kubwa zaidi la kutetea haki za wafungwa nchini Venezuela limesema kuwa makumi ya wafungwa wameachiwa huru mwishoni wa juma lililopita.Tangazo hilo limetolewa katika wakati Marekani inaendelea . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • January 27, 2026

Trump ajaribu ´kutuliza joto´ Minneapolis

Rais Donald Trump wa Marekani amesema amemtuma Afisa Mkuu wa Uhamiaji na Ulinzi wa Mipaka ya nchi hiyo kwenda kusimamia oparesheni za kuwasaka wahamiaji wasio na vibali kwenye mji wa Minneapolis.Uamuz . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • January 27, 2026

Paul Mackenzie ameshtakiwa kwa kuhusishwa na vifo vipya 52

Nchini Kenya kumekuwa na mabadiliko katika kesi ya kundi la kiimani la Shakahola. Paul Mackenzie, mchungaji aliyejitangaza, atashtakiwa kwa vifo vipya 52. Mchungaji huyo aliyejitangaza yuko kizuizini . . .

matukio
  • Na Jembe Digital
  • January 26, 2026

Jeshi Uganda Laamri Bobi Wine Akamatwe Hai au Amefariki

Mkuu wa Majeshi ya Uganda Jenerali Muhoozi Kainerugaba ametangaza kutolewa kwa amri mpya kwa wanajeshi wa nchi hiyo kumkamata mwanasiasa wa upinzani, Robert Kyagulanyi maarufu Bobi Wine akiwa hai au a . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • January 26, 2026

Wanahabari Wazuiwa Kwenye Kikao cha Tume ya Uchunguzi

Tume Huru ya Uchunguzi wa vurugu za Oktoba 29 nchini Tanzania imezuia wanahabari kushiriki katika mahojiano yanayoendelea kati ya tume hiyo na waathirika wa matukio hayo ikieleza kuwa uchapishaji wa t . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • January 26, 2026

Bodi ya Nyama Yafunga Machinjio ya Muheza kwa Kuhatarisha Afya

Bodi ya Nyama Kanda ya Kaskazini imeyafunga machinjio ya Halmashauri ya Wilaya ya Muheza, mkoani Tanga, kwa muda usiojulikana kufuatia ukiukaji wa kanuni za afya na usalama wa walaji.Machinjio hayo ya . . .

matukio
  • Na Jembe Digital
  • January 26, 2026

Maseneta Wachunguza Ufisadi Kaunti za Pwani

Magavana wanne wa eneo la Pwani wamejikuta katika shinikizo kali baada ya Seneti kuanzisha uchunguzi kuhusu madai ya uozo wa kifedha, ufisadi na ukiukaji wa sheria hasa katika sekta nyeti za maji . . .

Elimu
  • Na Jembe Digital
  • January 26, 2026

Ajira Haramu: Jinsi Kaunti 41 Zilivyopuuza Sheria na Kujaza Mfumo kwa Wafanyakazi

Uchunguzi wa kina wa ripoti za Mkaguzi wa Hesabu za Serikali umebaini mtandao mpana wa ukiukaji wa sheria za ajira katika serikali za kaunti ambapo wafanyakazi 27,284 waliajiriwa kinyume cha sheria ka . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • January 26, 2026

UN Yaonya Hatari ya Ukatili Mkubwa Dhidi ya Raia Sudan Kusini

Wataalamu huru wa Umoja wa Mataifa wameonya kuwa kuongezeka kwa vurugu nchini Sudan Kusini kunaongeza hatari ya ukatili mkubwa dhidi ya raia kufuatia mapigano mapya na matamko ya uchochezi kutoka kwa . . .

matukio
  • Na Jembe Digital
  • January 26, 2026

ADF imewaua watu 25 jimbo la Ituri

Watu 25 wameuawa mashariki ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo jana Jumapili baada ya wanamgambo wa kundi lenye mafungamano na lile linalojiita Dola la Kiislamu kufanya shambulizi kwenye jimbo la Ituri . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • January 26, 2026

Ulaya na India kutia saini mkataba mkubwa wa biashara

Viongozi wakuu wa Umoja wa Ulaya wako nchini India kwa ziara itakayoshuhudia kutiwa saini mkataba wa biashara huria baina ya pande hizo mbili ambao mashauriano yake yamefanyika kwa karibu miaka 20.Rai . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • January 26, 2026

Waziri Mkuu Asafiri kwa SGR Kuhudhuria Mkutano wa TAKUKURU Morogoro

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 26 mwaka huu ameondoka jijini Dar es Salaam kuelekea mkoani Morogoro kwa kutumia Treni ya Reli ya Kiwango cha Kimataifa . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • January 26, 2026

Siri ya Gari la Maajabu Linalomfanya Papa Aonekane Kwa Karibu na Kulindwa

Gari la Papa (Popemobile) ni usafiri maalum uliotengenezwa kwa ajili ya kiongozi mkuu wa Kanisa Katoliki duniani anapokuwa kwenye ziara za hadhara. Lengo kuu la gari hili ni kumfanya Papa aonekane kwa . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • January 26, 2026

Watu 30,000 waliuawa ndani ya siku mbili za maandamano Iran

Jarida la Time la nchini Marekani limesema idadi ya watu waliouawa katika siku mbili pekee wakati wa maandamano ya wiki kadhaa nchini Iran inaweza kufikia watu 30,000.Jarida hilo limeandika kuwa vikos . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • January 26, 2026

Makamu rais wa zamani wa Kenya adai jaribio la kumuua katika shambulio la Kanisa

Mwanachama maarufu wa upinzani nchini Kenya Rigathi Gachagua amedai kulikuwa na jaribio la kumuua wakati wa ibada ya siku ya Jumapili kanisani.Gachagua, alitimuliwa kwenye wadhifa wake kama makamu wa . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • January 23, 2026

Waziri Mkuu Akagua Kituo cha Uokozi Ukanda wa Ziwa Victoria

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba (MB) mapema leo  Januari 23 mwaka huu ametembelea na kukagua mradi wa ujenzi wa Kituo cha Kuratibu Ufuatiliaji na Uokozi k . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • January 23, 2026

Waziri Mkuu Aagiza Mradi wa Maji Mwanza Ukamilike Haraka

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Januari 23 mwaka huu ameweka jiwe la msingi katika mradi wa ujenzi wa kituo cha kusukuma maji na matenki ya kuhifadhia ma . . .

siasa
  • Na Jembe Digital
  • January 23, 2026

Bobi Wine Akataa Matokeo ya Uchaguzi Uganda

Wiki moja baada ya uchaguzi wa urais nchini Uganda ambao Rais Yoweri Museveni alitangazwa kuwa mshindi ambapo  kiongozi wa upinzani Bobi Wine amesema hatambui matokeo hayo huku akidai yaligubikwa . . .

siasa
  • Na Jembe Digital
  • January 23, 2026

CHADEMA Yalalamikia Kufungiwa Namba ya Michango

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetoa taarifa kuwa namba ya simu ya Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi wa Chama hicho Brenda Rupia iliyokuwa ikitumika kupokea michango kwa ajili ya maad . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • January 23, 2026

JKT Watangaza Mafunzo ya Kujitolea 2026, Usaili Kuanza Januari 26

Mkuu wa JKT Meja Jenerali Rajabu Mabele ametoa wito wa kujiunga na mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa kwa kujitolea mwaka 2026.Akimwakilisha Mkuu wa JKT Mkuu wa Tawi la Utawala JKT Brigedia Jenerali Ha . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • January 22, 2026

A new identity,A new landmark

From THE CASK to THE BRIDGE; built on vision, connection, and ambition. This is premium nightlife, redefined. #TheBridgeTz#10YrsJembefm  #Familiamoja #AhsantekwaTime . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • January 22, 2026

Utafiti wahofia glakoma itachangia upofu wa mamilioni kufikia 2060

UTAFITI uliofanywa na Taasisi ya Ophthalmology, Uingereza, unaonyesha kuwa kufikia mwaka wa 2060, zaidi ya watu milioni 1.6 wenye umri wa miaka 40 na kuendelea wanaweza kuathiriwa na ugonjwa wa glakom . . .

matukio
  • Na Jembe Digital
  • January 22, 2026

UGANDA: Mahakama yaahirisha uamuzi wa dhamana ya mwanaharakati Sarah Bireete baada ya uchaguzi

Ikiwa ni Wiki moja baada ya uchaguzi nchini Uganda ambapo  kesi ya mwanasheria na mwanaharakati wa haki za binadamu Sarah Bireete bado inaendelea huku mahakama ikiahirisha uamuzi wake kuhusu dham . . .

matukio
  • Na Jembe Digital
  • January 22, 2026

Mitaa ya Italia Yakumbwa na Mafuriko Ghafla Kama ya Sunami – Video

Watu nchini Italia walilazimika kukimbia kuokoa maisha yao baada ya mawimbi makubwa ya bahari yanayofanana na tsunami kuvamia mitaa ya kisiwa cha Sicily ndani ya sekunde chache tu.Katika picha za kush . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • January 22, 2026

Trump Afungua Njia ya Makubaliano Kuhusu Greenland

Rais wa Marekani Donald Trump amesema kuwa serikali yake inachunguza uwezekano wa kufikia makubaliano kuhusu Greenland kufuatia mazungumzo aliyofanya na viongozi wa Jumuiya ya Kujihami ya Atlantiki ya . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • January 22, 2026

Marekani yaanza kuwahamisha wafungwa wa IS kutoka Syria

                         Jeshi la Marekani limesema kuwa limewahamisha wafungwa 150 wa kundi linalojiita Dola la Kiislamu,    . . .

Kurasa 3 ya 138

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho

Habari Zaidi

  • Nchemba Awaagiza Viongozi Kutatua Kero za Wananchi

    • jana
  • Spika Zungu: Hakuna Udini Kwenye Miradi ya Utalii

    • 2 siku zilizopita
  • Ukraine na Urusi zimefanya ubadilishanaji wa wafungwa

    • 2 siku zilizopita

Habari Category

  • Habari Zote
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
  • Habari Ndani Na Nje
  • Video
  • Uchumi Na Biashara
  • Magazeti
  • Makala

Wasiliana Nasi

JEMBE NI JEMBE GROUP ,
P. O. Box 1334,
PLOT NO.111/BLOCK "A"
HOUSE No:43 MAKONGORO STREET,
ILEMELA MWANZA - TANZANIA

info@jembenijembe.com

+ 255-786-385-475 ,
+ 255-716-385-475.

  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS
  • STAFF LOGIN

POWERED BY

© Jembe Ni Jembe Companies.

Created And Maintained By XFoundationCode