Mtu mmoja anayefahamika kwa jina la Robert Lukumay Mkazi wa kijiji cha Olgililai katika kata Ya kiutu Wilayani Arumeru Mkoani Arusha anadaiwa kuonekana baada ya kufariki na kuzikwa May 31,2024 nakuzik . . .
Tume ya Umoja wa Mataifa nchini DRC, MONUSCO, inafunga rasmi ofisi yake leo Jumanne, Juni 25, huko Bukavu katika mkoa wa Kivu Kusini, mashariki mwa nchi.Bi Bintou Keita, mkuu wa ujumbe wa Umoja w . . .
Mali imewafunga jela wapinzani 10 wa serikali ya kijeshi, wakiwemo viongozi wa upinzani kwa kuomba nchi kurejeshwa chini ya utawala wa kiraia, mawakili wao waliiambia AFP Jumatatu.Mawakili wamesema wa . . .
Kiambu - Aliyekuwa Jaji Mkuu Willy Mutunga ameungana na wanaharakati kutetea haki za waandamanaji waliotekwa nyara. Rais huyo wa zamani wa Idara ya Mahakama alionyesha hasira yake kutokana na kuo . . .
Maelfu ya wanawake waliingia barabarani katika miji ya Ufaransa, Jumapili kupinga maandamano ya kiongozi wa mrengo wa kulia Marine Le Pen, huku kura za maoni zikionyesha kuwa chama hicho kinaweza kush . . .
Ikiwa Tanga ndiyo kinara wa waraibu wa dawa za kulevya kwa hapa nchini serikali wilayani humo imesema ipo macho kuwachukulia hatua wale wote ambao wanajihusisha na uingizaji wa dawa za kulevya na kuia . . .
Mkataba mpya wa kujihami kati ya Russia na Korea Kaskazini unadhihirisha kuimarika kwa mshikamano kati ya mataifa ya kimabavu na inasisitiza umuhimu wa mataifa ya kidemokrasia kuonyesha umoja katika v . . .
Wakufunzi kadhaa wa jeshi la Russia waliwasili nchini Burkina Faso kufuatia shambulio la wanajihadi kaskazini mwa nchi hiyo, vyanzo vilisema Jumanne.Baada ya kuchukua madaraka mwezi Septemba mwaka 202 . . .
Watu kadhaa wamekusanyika mbele ya Bunge la Kenya leo Jumanne kupinga rasimu ya bajeti ya mwaka 2024-2025 ambayo inatoa kodi mpya, huku polisi wakitumia gesi ya kutoa machozi na kukamata angalau watu . . .
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa Watanzania kuendelea kudumisha amani, upendo, umoja, mshikamano, kuhurumiana sambamba na kujiepusha na vitendo vinavyoashiria vurugu, uonevu na uvunji . . .
Rais wa Russia Vladimir Putin anatarajiwa kuwasili mjini Pyongyang leo Jumanne katika ziara nadra ambayo inaweza kupelekea kusainiwa “mkataba wa ushirikiano wa kimkakati,” kulingana na maafisa wa . . .
Jeshi la Israel linafanya mashambulizi makali kusini mwa Ukanda wa Gaza baada ya vifo vya wanajeshi wanane wa Israel katika mlipuko wa gari la kubeba wanajeshi huko Rafah siku ya Jumamosi Juni 15. Hil . . .
Mahakama ya Hakimu Mkazi wilaya ya Lindi imemhukumu Mohamed Said Selemani mwenye umri wa miaka 62 mkazi wa kijiji cha Ng'apa wilaya ya Lindi, kutumikia kifungo cha maisha jela kwa kosa la kumlawiti mt . . .
cha kwanza cha Bunge kitafunguliwa mjini Cape Town leo Ijumaa, Juni 14, karibu saa 4 asubuhi, tangu uchaguzi wa wabunge mwezi uliopita, ambao ulishuhudia ANC, chama kilichokuwa madarakani tangu kumali . . .
Rais Joe Biden, wa Marekani, na Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskyy, wanatazamiwa kutia saini makubaliano ya muda mrefu ya ulinzi na usalama Alhamisi katika mkutano wa nchi saba tajiri nchini Italia. . . .
Spika wa Bunge Dk Tulia Ackson amesema hayo leo Alhamisi Juni 13, 2024 kabla ya kuanza kwa kikao cha 47 cha mkutano wa Bunge la bajeti huku akisema taarifa zaidi zitatolewa baadaye. . . .
Hamas imejibu pendekezo linaloungwa mkono na Marekani la kusitisha mapigano Gaza kupitia wapatanishi wa Qatar na Misri.Qatar na Misri wanaangazia majibu hayo na kuthibitisha kuendelea na upatanishi na . . .
Shirika hilo limesema idadi hiyo ni sawa na asilimia 60 ya wototo wote wa umri huo duniani kote wanaopitia mateso ikiwa pamoja na kudhalilishwa kwa kutolewa lugha zisizo na staha.Makadirio mapya ya&nb . . .
Shughuli za kutafuta na za uokoaji zitaendelea hadi ndege iliyopotea iliyokuwa inambeba makamu rais wa Malawi Saulos Klaus Chilima, ipatikane, rais wa taifa hilo la Kusini mwa Afrika alisema Jumatatu. . . .
Rais Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Dk Yahaya Nawanda, taarifa ya Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais - Ikulu imesema. . . .
Korea Kaskazini imetuma tena mamia ya puto za taka kuelekea Korea Kusini na kuonya Jumatatu italipiza kisasi ikiwa Seoul itaendelea na "vita vyake vya kisaikolojia." . . .
Mkuu wa shirika la kimataifa waandishi habari wasiokuwa na mipaka - RSF Christophe Deloire amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 53. Deloire aliugua ugonjwa wa saratani.Katika salamu zake za rambiram . . .
Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar, Mhe. Mudrik Ramadhan Soraga (katikati) akimuelezea jambo, Kaimu Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Kaskazini, Daniel Mainoya, jinsi Tigo na SMZ wanaweza kushirikia . . .
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amewahotubia wabunge nchini Ufaransa na kutaka mataifa ya Magharibi kuipa msaada zaidi ili kushinda uvamizi wa Urusi kwenye nchi yake.Kiongozi huyo wa Ukraine&n . . .
Wananchi wa Kijiji na Tarafa ya Kintinku Wilayani Manyoni Mkoani Singida wamefurahishwa baada ya kuona maji yakitoka bombani.Wamesema kuwa Vijiji vingi katika Tarafa hiyo iliyopo ukanda wa bonde la uf . . .
Ukuaji wa uchumi wa Kenya utapungua hadi asilimia tano mwaka huu baada ya kuimarika sana mwaka 2023, Benki ya Dunia ilisema Jumatano.Taifa hilo lenye uchumi imara katika ukanda wa Afrika Mashariki lim . . .
Rais wa Russia Vladimir Putin Jumatano alitoa wito kwa Moscow “kujenga” uhusiano na serikali ya Taliban, wakati ujumbe wa Taliban ukiitembelea Russia.“Siku zote tumekuwa tukiamini kwamba tunahit . . .
Katibu Mkuu wa NATO Jens Stoltenberg akihutubia mkutano na waandishi wa habari mwishoni mwa mkutano usio rasmi wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa NATO huko Prague, Jamhuri ya Czech Mei 31, 2024.Katika mah . . .
Balozi wa Tanzania nchini Korea (Jamhuri ya Korea), Balozi Togolani Mavura amekanusha taarifa iliyosambaa kuwa Tanzania imepokea mkopo toka Jamhuri ya Korea na kutoa sehemu ya bahari na madini.Kupitia . . .
Korea Kusini inapanga kuita kikao cha wazi cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa katikati ya mwezi Juni kwa ajili ya kujadili ukiukaji wa haki za binadamu huko Korea Kaskazini.Haya yamesemwa na ba . . .