logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Kitaifa Na Kimataifa

  • Pata Habari Zilizojili Pande Zote Duniani
matukio
  • Na Asha Business
  • July 2, 2024

Mwamba Aliyefariki na Kuzikwa Aonekana Akikatiza Mitaa ya Arusha

Mtu mmoja anayefahamika kwa jina la Robert Lukumay Mkazi wa kijiji cha Olgililai katika kata Ya kiutu Wilayani Arumeru Mkoani Arusha anadaiwa kuonekana baada ya kufariki na kuzikwa May 31,2024 nakuzik . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • June 25, 2024

DRC: MONUSCO kufunga rasmi ofisi yake mjini Bukavu

Tume ya Umoja wa Mataifa nchini DRC, MONUSCO, inafunga rasmi ofisi yake leo Jumanne, Juni 25, huko Bukavu katika mkoa wa Kivu Kusini, mashariki mwa nchi.Bi Bintou Keita, mkuu wa ujumbe wa Umoja w . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • June 25, 2024

Wanasiasa 10 wa upinzani nchini Mali wafungwa jela kwa kuomba kurejeshwa kwa utawala wa kiraia

Mali imewafunga jela wapinzani 10 wa serikali ya kijeshi, wakiwemo viongozi wa upinzani kwa kuomba nchi kurejeshwa chini ya utawala wa kiraia, mawakili wao waliiambia AFP Jumatatu.Mawakili wamesema wa . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • June 24, 2024

Aliyekuwa Jaji Mkuu Mutunga na Wanaharakati Wavamia DCI Kufuatia Kamatakamata ya Waandamanaji Read more: https://kiswahili.tuko.co.ke/kenya/553024-aliyekuwa-jaji-mkuu-mutunga-na-wanaharakati-wavamia-dci-kufuatia-kamatakamata-ya-waandamanaji/

Kiambu - Aliyekuwa Jaji Mkuu Willy Mutunga ameungana na wanaharakati kutetea haki za waandamanaji waliotekwa nyara. Rais huyo wa zamani wa Idara ya Mahakama alionyesha hasira yake kutokana na kuo . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • June 24, 2024

Wanawake waandamana Ufaransa

Maelfu ya wanawake waliingia barabarani katika miji ya Ufaransa, Jumapili kupinga maandamano ya kiongozi wa mrengo wa kulia Marine Le Pen, huku kura za maoni zikionyesha kuwa chama hicho kinaweza kush . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • June 21, 2024

Walioacha dawa za kulevya wafanye ujasiriamali

Ikiwa Tanga ndiyo kinara wa waraibu wa dawa za kulevya kwa hapa nchini serikali wilayani humo imesema ipo macho kuwachukulia hatua wale wote ambao wanajihusisha na uingizaji wa dawa za kulevya na kuia . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • June 20, 2024

Katibu mkuu wa NATO ahimiza umoja wa nchi wanachama kukabiliana na tishio la Russia na Korea Kaskazini

Mkataba mpya wa kujihami kati ya Russia na Korea Kaskazini unadhihirisha kuimarika kwa mshikamano kati ya mataifa ya kimabavu na inasisitiza umuhimu wa mataifa ya kidemokrasia kuonyesha umoja katika v . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • June 19, 2024

Wakufunzi wa kijeshi wa Russia wawasili Burkina Faso

Wakufunzi kadhaa wa jeshi la Russia waliwasili nchini Burkina Faso kufuatia shambulio la wanajihadi kaskazini mwa nchi hiyo, vyanzo vilisema Jumanne.Baada ya kuchukua madaraka mwezi Septemba mwaka 202 . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • June 18, 2024

Watu waandamana mbele ya Bunge la Kenya kupinga ushuru mpya

Watu kadhaa wamekusanyika mbele ya Bunge la Kenya leo Jumanne kupinga rasimu ya bajeti ya mwaka 2024-2025 ambayo inatoa kodi mpya, huku polisi wakitumia gesi ya kutoa machozi na kukamata angalau watu . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • June 18, 2024

Majaliwa "Tuendelee kudumisha amani yetu"

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa  Watanzania kuendelea kudumisha amani, upendo, umoja, mshikamano, kuhurumiana sambamba na kujiepusha na vitendo vinavyoashiria vurugu, uonevu na uvunji . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • June 18, 2024

Putin afanya ziara yake ya kwanza Korea Kaskazini baada ya miaka 24

Rais wa Russia Vladimir Putin anatarajiwa kuwasili mjini Pyongyang leo Jumanne katika ziara nadra ambayo inaweza kupelekea kusainiwa “mkataba wa ushirikiano wa kimkakati,” kulingana na maafisa wa . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • June 16, 2024

Jeshi la Israel latangaza vifo vya wanajeshi wanane katika Ukanda wa Gaza

Jeshi la Israel linafanya mashambulizi makali kusini mwa Ukanda wa Gaza baada ya vifo vya wanajeshi wanane wa Israel katika mlipuko wa gari la kubeba wanajeshi huko Rafah siku ya Jumamosi Juni 15. Hil . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • June 14, 2024

Jela maisha kwa kulawiti mtoto

Mahakama ya Hakimu Mkazi wilaya ya Lindi imemhukumu Mohamed Said Selemani mwenye umri wa miaka 62 mkazi wa kijiji cha Ng'apa wilaya ya Lindi, kutumikia kifungo cha maisha jela kwa kosa la kumlawiti mt . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • June 14, 2024

Kuelekea kuchaguliwa tena kwa Ramaphosa

cha kwanza cha Bunge kitafunguliwa mjini Cape Town leo Ijumaa, Juni 14, karibu saa 4 asubuhi, tangu uchaguzi wa wabunge mwezi uliopita, ambao ulishuhudia ANC, chama kilichokuwa madarakani tangu kumali . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • June 13, 2024

Biden na Zelenskyy kukutana Italia

Rais Joe Biden, wa Marekani, na Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskyy, wanatazamiwa kutia saini makubaliano ya muda mrefu ya ulinzi na usalama Alhamisi katika mkutano wa nchi saba tajiri nchini Italia. . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • June 13, 2024

Mbunge afariki Dunia, Spika Tulia atangaza

Spika wa Bunge Dk Tulia Ackson amesema hayo leo Alhamisi Juni 13, 2024 kabla ya kuanza kwa kikao cha 47 cha mkutano wa Bunge la bajeti huku akisema taarifa zaidi zitatolewa baadaye. . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • June 12, 2024

Hamas yajibu pendekezo la kusimamisha mapigano Gaza

Hamas imejibu pendekezo linaloungwa mkono na Marekani la kusitisha mapigano Gaza kupitia wapatanishi wa Qatar na Misri.Qatar na Misri wanaangazia majibu hayo na kuthibitisha kuendelea na upatanishi na . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • June 11, 2024

Watoto milioni 400 wanakabiliwa na adhabu za vipigo

Shirika hilo limesema idadi hiyo ni sawa na asilimia 60 ya wototo wote wa umri huo duniani kote wanaopitia mateso ikiwa pamoja na kudhalilishwa kwa kutolewa lugha zisizo na staha.Makadirio mapya ya&nb . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • June 11, 2024

Shughuli ya kutafuta ndege iliyokuwa inambeba makamu rais wa Malawi inaendelea

Shughuli za kutafuta na za uokoaji zitaendelea hadi ndege iliyopotea iliyokuwa inambeba makamu rais wa Malawi Saulos Klaus Chilima, ipatikane, rais wa taifa hilo la Kusini mwa Afrika alisema Jumatatu. . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • June 11, 2024

Rais Samia atengua uteuzi wa Mkuu wa Mkoa Simiyu

Rais Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Dk Yahaya Nawanda, taarifa ya Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais - Ikulu imesema. . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • June 10, 2024

Pyongyang yatuma puto zaidi za takataka, yatishia Seoul kwa 'kulipiza kisasi'

Korea Kaskazini imetuma tena mamia ya puto za taka kuelekea Korea Kusini na kuonya Jumatatu italipiza kisasi ikiwa Seoul itaendelea na "vita vyake vya kisaikolojia." . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • June 9, 2024

Mkuu wa shirika la kimataifa waandishi habari wasiokuwa na mipaka - RSF Christophe Deloire amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 53. Deloire aliugua ugonjwa wa saratani

Mkuu wa shirika la kimataifa waandishi habari wasiokuwa na mipaka - RSF Christophe Deloire amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 53. Deloire aliugua ugonjwa wa saratani.Katika salamu zake za rambiram . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • June 9, 2024

Waziri Wa Utalii Zanzibar alivyoshuhudia mifumo ya malipo Banda La Tigo Arusha

Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar, Mhe. Mudrik Ramadhan Soraga (katikati) akimuelezea jambo, Kaimu Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Kaskazini, Daniel Mainoya, jinsi Tigo na SMZ wanaweza kushirikia . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • June 7, 2024

Rais Zelensky amewahotubia wabunge nchini Ufaransa akitoa wito wa silaha zaidi

Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amewahotubia wabunge nchini Ufaransa na kutaka mataifa ya Magharibi kuipa msaada zaidi ili kushinda uvamizi wa Urusi kwenye nchi yake.Kiongozi huyo wa Ukraine&n . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • June 7, 2024

Maji yatoka kwa mara ya kwanza Manyoni toka uhuru

Wananchi wa Kijiji na Tarafa ya Kintinku Wilayani Manyoni Mkoani Singida wamefurahishwa baada ya kuona maji yakitoka bombani.Wamesema kuwa Vijiji vingi katika Tarafa hiyo iliyopo ukanda wa bonde la uf . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • June 6, 2024

Benki ya dunia inakadiri uchumi wa Kenya utapungua hadi asilimia 5 mwaka huu

Ukuaji wa uchumi wa Kenya utapungua hadi asilimia tano mwaka huu baada ya kuimarika sana mwaka 2023, Benki ya Dunia ilisema Jumatano.Taifa hilo lenye uchumi imara katika ukanda wa Afrika Mashariki lim . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • June 6, 2024

Putin asema Russia iko tayari kujenga uhusiano na serikali ya Taliban

Rais wa Russia Vladimir Putin Jumatano alitoa wito kwa Moscow “kujenga” uhusiano na serikali ya Taliban, wakati ujumbe wa Taliban ukiitembelea Russia.“Siku zote tumekuwa tukiamini kwamba tunahit . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • June 5, 2024

NATO yaikosoa China kwa kususia mkutano wa amani kwa Ukraine

Katibu Mkuu wa NATO Jens Stoltenberg akihutubia mkutano na waandishi wa habari mwishoni mwa mkutano usio rasmi wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa NATO huko Prague, Jamhuri ya Czech Mei 31, 2024.Katika mah . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • June 4, 2024

Tanzania haijatoa sehemu ya Bahari na Madini

Balozi wa Tanzania nchini Korea (Jamhuri ya Korea), Balozi Togolani Mavura amekanusha taarifa iliyosambaa kuwa Tanzania imepokea mkopo toka Jamhuri ya Korea na kutoa sehemu ya bahari na madini.Kupitia . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • June 4, 2024

Korea Kusini yaishutumu Korea Kaskazini kwa kukiuka haki

Korea Kusini inapanga kuita kikao cha wazi cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa katikati ya mwezi Juni kwa ajili ya kujadili ukiukaji wa haki za binadamu huko Korea Kaskazini.Haya yamesemwa na ba . . .

Kurasa 47 ya 130

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho

Habari Zaidi

  • Miaka kumi ya Jembefm

    • 15 masaa yaliopita
  • Madhara ya kichokonoo kwenye meno

    • 15 masaa yaliopita
  • Chaguzi za UDA kupima nguvu zake Mlima Kenya

    • 16 masaa yaliopita

Habari Category

  • Habari Zote
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
  • Habari Ndani Na Nje
  • Video
  • Uchumi Na Biashara
  • Magazeti
  • Makala

Wasiliana Nasi

JEMBE NI JEMBE GROUP ,
P. O. Box 1334,
PLOT NO.111/BLOCK "A"
HOUSE No:43 MAKONGORO STREET,
ILEMELA MWANZA - TANZANIA

info@jembenijembe.com

+ 255-786-385-475 ,
+ 255-716-385-475.

  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS
  • STAFF LOGIN

POWERED BY

© Jembe Ni Jembe Companies.

Created And Maintained By XFoundationCode