Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo amewaasa wachimbaji wadogo wa dhahabu kutumia teknolojia mbadala wa miti katika shughuli zao.Dkt. Jafo ametoa kau . . .
Russia na Ukraine zimebadilishana zaidi ya wanajeshi 200 katika mabadilishano ya hivi karibuni ya wafungwa, maafisa wamesema Jumatatu.Wizara ya ulinzi ya Russia imesema wanajeshi wake 196 waliachiliwa . . .
Bunge la Algeria Jumatatu lilikaribia kupitisha sheria inayominya zaidi uhuru wa vyombo vya habari katika nchi hiyo ya Afrika kaskazini kwa kuweka sheria kali za umiliki wa vyombo vya habari na kuwazu . . .
Serikali ya Kenya imekiri kwamba inakabiliwa na uhaba wa pesa ambao umechelewesha malipo ya mishahara ya maelfu ya wafanyikazi wa umma.Inasema ilibidi kufanya maamuzi magumu iwapo italipa mishahara au . . .
Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed ameapa kuvivunja vikosi vya kikanda vilivyoanzishwa na baadhi ya majimbo, akionya kwamba hatua za utekelezaji wa sheria zitachukuliwa dhidi ya upinzani wowote utaokw . . .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameivunja Bodi ya Shirikila la Reli (TRC) na kutengua uteuzi wa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ndege za Serikali (TGFA) Mhandisi John Mzulule.Ta . . .
Mkurugenzi wa Mashitaka na maafisa wake walikiuka taratibu za makubaliano ya kukiri kosa katika kukamata, kuendesha mashitaka, na kushughulikia kesi.Uchunguzi ufanyike kwani ukiukwaji huo unaonesha uk . . .
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango na Mkewe Mama Mbonimpaye Mpango wameungana na waumini wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mtakatifu Mwenyeheri Maria Theresa L . . .
Kinara wa upinzani nchini Kenya, Raila Odinga ameonesha nia ya kukubaliana na masharti ya Rais William Ruto juu ya mazungumzo ya Bungeni, kwa kuunga mkono matakwa yake ya awali ya kuundwa kwa timu saw . . .
Makamu wa Rais wa Zimbabwe, Constantino Chiwenga amesema wanakusudia kuanzisha sheria itakayoyafanya mataifa ya nje kutowaajiri wafanyakazi wake wa afya, ikilenga kuzuia upungufu wa wataalamu wa sekta . . .
Mahakama nchini Uganda siku ya Alhamisi imemfungulia mashtaka waziri wa serikali Mary Goretti Kitutu pamoja na kaka yake kwa kuilaghai serikali katika kesi ya nadra kwa mtumishi wa umma wa ngazi ya ju . . .
Kupitia ukagauzi uliofanywa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa mwaka 2021/2022 imebainika kuwa Vyura 500 bado wapo #Marekani licha ya kumalizika kwa mkataba wa matunzoSerikali . . .
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Dkt. Selemani Jafo ametoa siku 30 kwa Mameneja wa Kanda zote wa NEMC kuendesha kampeni za kuondosha mifuko ya plastiki isiyoruhusi . . .
Mahakama Nchini #GuineaBissau imetoa adhabu hiyo baada ya kubaini kuwa Madaktari walihusika na matendo hayo dhidi ya M'Mah Sylla, aliyebakwa akiwa Hospitali na kuhamishiwa kutibiwa Nchini Tunisia Mwak . . .
Mkurugenzi wa Mashtaka nchini Uganda ameidhinisha mashtaka ya ufisadi dhidi ya Waziri wa Masuala ya Karamoja Mary Goretti Kitutu kuhusu jukumu lake katika kashfa ya mabati eneo la kaskazini-mashariki. . . .
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limetoa tahadhari kwa watu ambao wamekuwa wakijihusisha na vitendo vya uhalifu katika msimu wa sikukuu huku akihimiza zaidi wazazi na walezi kuwa makini z . . .
Ofisi ya kibinadamu ya Umoja wa Mataifa imesema Jumatano kwamba takriban watu 21 wakiwemo watoto 6 wamekufa kutokana na mafuriko nchini Somalia ndani ya wiki moja iliyopita.Kwa mujibu wa shirika la ha . . .
AIS wa zamani wa Amerika, Donald Trump, amejitetea akidai kuwa hatua ya kumshtaki inalenga kuhujumu azma yake ya kuwania kiti cha urais mwaka 2024.Rais huyo wa zamani alifikishwa mahakamani kwa mashta . . .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi kama ifuatavYo:-Amemteua Bw. Andrew Wilson Massawe kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Taasisi ya Utafiti wa Kil . . .
Chombo cha habari cha serikali ya Iran kimesema kwamba wasichana 20 wa shule wamelazwa hospitali Jumanne, ikiwa tukio la karibuni la wimbi la mashambuizi ya ajabu ya kuwekewa sumu, na kuwa . . .
Shada la Mauwa aliloweka Makamu wa Rais wa Marekani, Mhe. Kamala Harris kwenye onesho maalum la kuwakumbuka wahanga wa Bomu la Ubalozi wa Marekani mwaka 1998 lililopo Makumbusho na Nyumba ya Utamaduni . . .
Ikiwa ni hatua ya kuidhibiti Marekani na Ulaya kweye mchakato wa uuzaji na uzalishaji wa mafuta, Urusi imefanikiwa kuzishawishi nchi wazalishaji wa Mafuta duniani kupunguza uzalishaji wa mafuta kwa le . . .
Wanafunzi wawili wameaga dunia katika shule ya upili ya wasichana ya Mukumu katika Kaunti ya Kakamega Nchini Kenya kufuatia mlipuko wa ugonjwa wa kuendesha shuleni humo. Takriban wanafunzi 246 wa . . .
Serikali ya Italia yapania kuanzisha sheria ya kuwatoza faini raia wake watakaotumia maneno ya Kiingereza au lugha nyingine yoyote ya kigeni katika mawasiliano au nyaraka rasmi. Sheria hiyo mpya . . .
Wiki kadhaa baada ya kimbunga Freddy kugonga Msumbiji kwa mara ya pili, taifa hilo ambalo bado limefurika, linashuhudia ongezeko kubwa la maambukizi ya kipindupindu kutokana na hali hiyo.Kwa mujibu wa . . .
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, Camillus Wambura, ametuma timu ya Maafisa kutoka Polisi Makao Makuu Dodoma kwenda Kata ya Mganza, Wilaya ya Chato, Mkoa wa Geita kufuatilia tukio la kuchomwa moto kwa K . . .
Darzeni ya waandamanaji wamekamatwa na polisi katika mji mkuu wa Dakar nchini Senegal, wafuasi wa upinzani wakishutumu mashtaka dhidi ya kiongozi wa upinzani, wanayosema yana lengo la kumzuia kugombea . . .
Bunge la Uturuki Alhamisi limeidhinisha mswaada wa sheria ili kuiruhusu Finland kujiunga na NATO, na hivyo kuondoa pingamizi zote kwa Helsinki kujiunga na muungano wa ulinzi wa mataifa ya Magharibi wa . . .
Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris hii leo Machi 31, 2023 anakamilisha ziara yake ya kikazi nchini hapa ambapo anatarajia kuelekea Zambia na kuhitimisha ziara yake akiwa Barani Afrika.Akiwa nch . . .
WAZIRI wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mheshimiwa Innocent Bashungwa (Mb) amezindua Bodi ya Shirika la Mzinga lililopo Mkoani Morogoro, Shughuli hiyo iliyofanyika Magadu Mess ilihudhuriwa pia na . . .