logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Matukio

  • Pata Habari za Matukio Mbalimbali
Mauaji
  • Na Asha Business
  • March 31, 2022

Urusi yatangaza kusitisha mapigano Mariupol

Urusi imesema imetangaza kusitisha kwa muda mapigano kwenye mji wa Mariupol ili kuruhusu raia kuondoka kwenye eneo hilo. Kamanda wa Urusi, Meja Jenerali Mikhail Mizintsev amesema mapigano yatasiti . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • March 31, 2022

Mme, Mke washikiliwa na polisi madai ya kuua mtoto wao

askari  Erinest(46) na mkewe Jeska Balitazali (39) wote wakazi wa Sengerema wanashikiliwa na  Jeshi la polisi Mkoa wa Mwanza kwa tuhuma za mauaji ya mtoto wao Aneth John(8) mwanafunzi wa . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • March 30, 2022

Urusi Yapunguza shughuli za kijeshi Ukraine

Maafisa wa Ukraine wamesema leo kuwa wanajeshi wa Urusi wameuripua mji wa kaskazini wa Chernihiv licha ya ahadi za awali za Moscow kuwa inapunguza pakubwa baadhi ya shughuli zake za kijeshi nchini . . .

Afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • March 30, 2022

Kenya yaruhusu Utoaji mimba

Mahakam Kuu ya nchini Kenya imetambua utoaji mimba kuwa ni Haki ya Msingi inayotambuliwa na Katiba ya Kenya Mahakama hiyo imesema kuwakamata wanaotoa mimba ni kinyume cha Sheria kwa kuwa ana . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • March 30, 2022

Saudi Arabia na washirika wake watangaza sitisho la mapigano Yemen

Muungano wa ushirika unaoongozwa na Saudi Arabia ambao unaunga mkono serikali ya Yemen katika vita dhidi ya Wahuthi umetangaza Jumanne sitisho la mapigano kuanzia leo Jumatano asubuhi na mazungu . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • March 30, 2022

Zelensky ana mashaka na ahadi ya Urusi kupunguza mashambulizi

Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky amesema mazungumzo ya amani kati ya wapatanishi wa nchi yake na Urusi yameonesha mwelekeo mzuri, ingawa ameonya kuwa Urusi haiwezi kuaminiwa. Baada ya mazungumz . . .

Dini
  • Na Asha Business
  • March 30, 2022

Pasta wa Kike Azua Gumzo Akisema Warembo Wanaoomba "Fare" ni Maskini

Mchungaji mmoja amewashauri wanaume kutooa wasichana wavivu. Mahubiri yake yalikuwa yanawalenga warembo ambao huomba nauli wakienda deti.Pasta wa Kike Azua Gumzo Akisema Warembo Wanaomba "Fare" ni Mas . . .

Afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • March 29, 2022

Jeshi la DRC ladai kuwakamata wanajeshi wawili wa Rwanda

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inathibitisha na kushikilia kuwa Rwanda inaunga mkono waasi wa M23, vuguvugu ambalo lilishindwa miaka kumi iliyopita lakini limeibuka tena katika miezi ya hivi kar . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • March 29, 2022

AJALI YAUA SITA TANGA

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Safia Jongo amesema watu sita wamefariki dunia na wengine kadhaa wamejeruhiwa baada ya gari aina ya fuso walilokuwa wakisafiria kuacha njia na kutumbukia kwenye . . .

siasa
  • Na Asha Business
  • March 29, 2022

Kisa cha mke wa Raila kuzomewa

Ida Odinga, mke wa Kiongozi wa Upinzani Kenya, Raila Odinga amekutana na fadhaa ya haja, baada ya kuzomewa alipokuwa anatoa hotuba kwenye kongamano la Jumuiya ya Wanawake Wakatoliki Kenya (CWA), D . . .

Afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • March 29, 2022

Kenya Kupokea KSh450M Zilizoibwa na Wakenya 2 na Kufichwa Ughaibuni

Kenya na Jersey zimetia saini mkataba utakaowezesha zaidi ya KSh 450 milioni zilizoibwa na kufichwa kwenye akaunti za nje ya nchi kurejeshwa.Pesa hizo zilifichwa kwenye akaunti za nje ya nchi na maafi . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • March 29, 2022

Will Smith amuomba radhi mchekeshaji Chris Rock

Usiku wa kuamkia Jumatatu zilifanyika utoaji wa tuzo za Oscar katika ukumbi wa Dolby Theatre huko nchini Marekani. Miongoni mwa stori zilizochukua vichwa vya habari ni baada ya Muigizaji Will Smith . . .

Elimu
  • Na Asha Business
  • March 29, 2022

Elimu ni bahari, Mzee wa miaka 101 ahitimu stashahada

Mzee mwenye umri wa miaka 101, hatimaye ana amani baada ya kuhitimu kutoka shule ya upili, ambayo ni ndoto kwake kutimia. Merrill Pittman Cooper alilazimika kuacha shule kwa sababu mama yake msimbe al . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • March 29, 2022

Juhudi Zinafanywa kuandikisha mamluki wa Wagner kwenda Ukraine, Africom inasema

Taasisi ya Russia ya mamluki ya Wagner Group imejaribu kuandikisha baadhi ya vitengo vyake vilivyopo barani Afrika kwenda kupigana pamoja na Russia nchini Ukraine, afisa wa juu ya jeshi la Marek . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • March 29, 2022

Umoja wa Mataifa wachunguza ripoti za makaburi ya watu wengi Libya

Wachunguzi wa Umoja wa Mataifa wamesema wanajaribu kuthibitisha taarifa za kuwepo makaburi ya watu wengi katika vituo vya kuwasafirisha wahamiaji nchini Libya. Umoja huo pia umesema umepokea taari . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • March 28, 2022

Mapigano yazuka baina ya jeshi la Kongo na waasi wa M23

Kumeshuhudiwa mapambano makali asubuhi ya leo jumatatu katika vijiji kadhaa vya mkoa wa Rutshuru jimboni Kivu ya Kaskazini baina ya jeshi na waasi wa M23.Maelfu ya wakimbizi kutoka katika baadhi y . . .

Mtandaoni
  • Na Asha Business
  • March 28, 2022

Mrembo Mkenya Hataki kuwa Mama Akidai Watoto ni Mzigo.

Mwanamke mmoja Mkenya amejitokeza na kusema kwamba hataki kupata mtoto wakati wowote maishani mwake. Ebbie Weyime, 34, alisema yeye ni mwanamke wa Kiafrika anayefurahia maisha yake bila kuwa na mtoto . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • March 28, 2022

IS yakiri kufanya mashambulizi Israel

Kundi linalojiita Dola la Kiislamu, IS limekiri kuhusika na shambulizi nchini Israel ambalo limewaua wanajeshi wawili na kuwajeruhi wengine 10. Hayo ni kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo na IS . . .

Siasa
  • Na Asha Business
  • March 28, 2022

Kiongozi wa kilichokuwa chama tawala Burkina Faso akamatwa

Kiongozi wa kilichokuwa chama tawala nchini Burkina Faso, Alassane Bala Sakande amekamatwa baada ya kukosoa mazingira ya kushikiliwa rais wa zamani wa nchi hiyo, Roch Marc Christian Kabore. Mawaki . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • March 27, 2022

Abiria wote waliopata ajali ya ndege China wathibitishwa kufa

Abiria wote 132 waliokuwa wamepanda ndege chapa MU5735 mashariki mwa China wamethibitishwa kufa baada ya ndege hiyo kuanguka.Mamlaka ya anga ya China CAAC imethibitisha taarifa hizo. Naibu mkurugenz . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • March 27, 2022

Waandishi wa habari 12 wauawa kwenye vita nchini Ukraine.

Waandishi wa habari 12 wamekufa nchini Ukraine tangu kuzuka kwa vita nchini humo mwezi mmoja uliopita taarifa hii ikiwa ni kulingana na mwanasheria mkuu Iryna Venediktova. Ameandika kupitia ukuras . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • March 25, 2022

Mashambulizi mawili kwa mpigo yauwa watu 48 Somalia

Kiongozi wa jimbo la Hirshabelle, Ali Gudlawe Hussein, amesema idadi ya waliokufa kutokana na mashambulizi mawili yalitokea katika karibu kipindi kimoja huko katikati ya Somalia imeongezeka na kuf . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • March 25, 2022

Watu 12 wameuawa Ituri nchini DRC

Watu 12, akiwemo mwanajeshi mmoja, na raia 11 wazee, waliuawa katika shambulizi la waasi kwenye jimbo la Ituri, kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya kidemokrasi ya Congo vyanzo vya hospitali na ma . . .

Jamii
  • Na Asha Business
  • March 24, 2022

MWENYEKITI UWT MWANZA AMEZA NYOKA!!

Ni katika Maadhimisho ya Siku ya Upandaji Miti Kitaifa sambamba na Siku ya Misitu Duniani iliyofanyika Wilayani Magu mkoani Mwanza. . . .

Kurasa 52 ya 56

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Unaweza Kupenda Hizi
Michezo
news
  • 6 masaa yaliopita

Mbappé Avunja Ukimya wa Miaka 12 Real Madrid, Aifikia Rekodi ya Ronaldo

Habari
news
  • jana

SIMBACHAWENE AVIOMBA VYOMBO VYA HABARI KUFANYA UTAFITI JUU YA RUSHWA

Habari
news
  • jana

UN yaomba ufadhili wa dharura kuhudumia wakimbizi Burundi

Habari
news
  • jana

UTPC, C-Sema na Elimika Waanzisha Mwongozo wa Uandishi wa Habari za Ukeketaji Kukomesha Ukatili ifikapo 2030

Michezo
news
  • jana

CAF Yatangaza Zawadi za Fedha za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025

Makala
news
  • jana

Je unafahamu faida za Kunywa Juisi ya Karoti Kila Wiki

Michezo
news
  • jana

Simba Yamteua Steve Barker Kuwa Kocha Mkuu Mpya

Matawi Yetu
  • Jembe Group
  • Jembe Development
  • Jembe Beach
  • Jembe Digital
  • Jembe DJ
  • Jembe Stage And Sound
  • Jembe Events
  • Jembe Ni Jembe Team

Habari Zaidi

  • Mbappé Avunja Ukimya wa Miaka 12 Real Madrid, Aifikia Rekodi ya Ronaldo

    • 6 masaa yaliopita
  • SIMBACHAWENE AVIOMBA VYOMBO VYA HABARI KUFANYA UTAFITI JUU YA RUSHWA

    • jana
  • UN yaomba ufadhili wa dharura kuhudumia wakimbizi Burundi

    • jana

Habari Category

  • Habari Zote
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
  • Habari Ndani Na Nje
  • Video
  • Uchumi Na Biashara
  • Magazeti
  • Makala

Wasiliana Nasi

JEMBE NI JEMBE GROUP ,
P. O. Box 1334,
PLOT NO.111/BLOCK "A"
HOUSE No:43 MAKONGORO STREET,
ILEMELA MWANZA - TANZANIA

info@jembenijembe.com

+ 255-786-385-475 ,
+ 255-716-385-475.

  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS
  • STAFF LOGIN

POWERED BY

© Jembe Ni Jembe Companies.

Created And Maintained By XFoundationCode