Kyiv, Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky ametoa wito kwa watu duniani kote kuandamana barabarani kama hatua ya kupinga uvamizi wa Urusi nchini Ukraine. Katika ujumbe alioutoa kuelekea mkesha wa ku . . .
Wuzhou,Afisa wa mamlaka ya usafiri wa anga ya China amesema wachunguzi wamepata kile wanachoamini ni kijisanduku cheusi, kifaa cha kunasa sauti kwenye chumba cha marubani kwenye ndege ya abiria ya . . .
Mahakama ya Rufani Tanzania, Masjala ya Iringa imeondoa kesi iliyokuwa inamkabili aliyekuwa Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania (TSNP).Nondo alikuwa anashtakiwa kwa makosa mawili, moja ni . . .
Ketanji Brown Jackson, aliyeteuliwa na Rais wa Marekani Joe Biden kuhudumu katika mahakama ya juu zaidi nchini Marekani, amejitetea juu ya kuwawakilisha wafungwa wa gereza la Guantamano Bay. Ketan . . .
Maelfu ya raia wa Ukraine wanajaribu kuukimbia mji wa Mariupol wakati Urusi ikiendeleza mashambulizi ya mabomu kwenye mji huo wa bandari. Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres, ameitole . . .
Wanajeshi wa Urusi bado wanajaribu kuizingira kyiv ambapo shambulio la bomu liliua takriban watu wanane usiku wa Jumapili hadi kuamkia Jumatatu. Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amese . . .
Mahakama ya Wilaya ya Mufindi, Mkoa wa Iringa, imemhukumu mkazi wa Kijiji cha Kitelewasi, Godi Waya (30) kifungo cha maisha baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kumlawiti mtoto wa miaka saba (jina . . .
Kesi ya mauaji ya mfanyabiashara wa madini, Mussa Hamis inayowakabili maofisa saba wa polisi mkoani Mtwara, imeahirishwa kutokana na kile kilichoelezwa kuwa upelelezi bado haujakamilika.Washitakiw . . .
Wanajeshi wa Urusi bado wanajaribu kuzingira mji mkuu wa Ukraine, kyiv, ambapo shambulio la bomu liliua takriban watu wanane usiku wa Jumapili kuamkia Jumatatu. Kulingana na msemaji wa Wizar . . .
Zaidi ya wanajeshi 10 wameuawa na watu wanaoshukiwa kuwa wanajihadi katika eneo la mashariki mwa Burkina Faso, duru za kijeshi zimesema.Ilifuatia shambulio la Jumapili dhidi ya kikosi cha askari wa . . .
Ndege ya shirika la ndege la China Eastern Airlines aina ya Boeing 737 iliyokuwa imebeba watu 132 imeanguka katika mkoa wa Guangxi, vyombo vya habari vya serikali ya China vinaripoti.Idadi ya wali . . .
Mamlaka katika mji wa bandari uliozingirwa nchini Ukraine, Mariupol imesema jeshi la Urusi limeishambulia shule ya sanaa ya mji huo, eneo ambalo lilikuwa likiwahifadhi takribani watu 400 waliopote . . .
uraha Samweli Ligate (26) mkazi wa kijiji cha Unyangala wilaya ya Makete mkoani Njombe amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la kumbaka mara mbili mtoto mwenye umri wa miaka 15 aliyekuwa . . .
Videoz nyingi zinasambaa mtandaoni na Instablog9ja zimeonyesha baadhi ya 'miujiza' yaliyofanywa na Ugochukwu Emmanuel Ekwem wiki chache zilizopita ili kuweka kando tamaa za kibinafsi na kutoa kipaumbe . . .
Mchungaji ambaye amekiri kuhusika na ujambazi wa hali ya juu nchini Kenya wakati wa ujana wake miaka ya 90. Rebecah alikuwa ameishi kijijini kwao kaunti ya Makueni hadi alipofikisha miaka 23 aka . . .
Mwandishi wa habari na mpiga picha wa kituo cha Fox News, Pierre Zakrzewski aliyekuwa na umri wa miaka 55, ambaye alikuwa na makazi yake jijini London, ameuawa katika shambulio la majeshi ya Uru . . .
Mahakama ya kijeshi nchini Sudan imemuhukumu kifungo cha miaka tisa gerezani mkuu wa majeshi wa zamani wa taifa hilo, Hashem Abdel-Muttalib Babakr na maafisa wengine watano miaka mitano kila mmoja . . .
Shahidi wa saba upande wa utetezi katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya, Watson Mwahomange (27) ameiomba Mahakama impatie ulinzi gerezani . . .
Mahakama Kuu Kanda ya Arusha imepanga Mei 6, 2022 kutoa hukumu ya rufaa iliyokatwa na aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wawili wanaopinga hukumu ya kifungo cha miaka 30 . . .
Watu wasiopungua 60 wamethibitishwa kufariki baada ya treni ya mizigo kutoka kwenye njia yake katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.Ajali hiyo ilitokea siku ya Ijumaa wakati treni hiyo, ambayo i . . .
Mamia ya wanajeshi kutoka kitengo cha anga namba 82 cha Marekani wamepelekwa katika milima ya msituni ya mashariki mwa Poland kilomita chache tu kutoka mpaka wa Ukraine. Hilo linawaweka karibu . . .
Ukraine imetangaza kuwaondoa wanajeshi wake 250 katika kikosi cha kulinda amani cha Umoja wa Mataifa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo MONUSCO ili kuilinda nchi yao dhidi ya uvamizi wa Urusi . . .
Mfugaji NarudashwaTitika mwenye umri wa miaka 45 mkazi wa kijiji cha Alaitore kilichopo ndani ya Mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro mkoani Arusha amefariki dunia baada ya kushambuliwa na mnyama aina . . .
Mamlaka nchini Ukraine zinasema ndege za Urusi zimezishambulia hospitali tatu usiku wa kuamkia Alkhamis (Machi 10) magharibi mwa mji mkuu, Kyiv, na kwenye mji wa bandari wa Mariupol, huku juhudi z . . .