logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Matukio

  • Pata Habari za Matukio Mbalimbali
Afya
  • Na Asha Business
  • March 9, 2022

Ngariba Wa Simanjiro wajisalimisha

Katibu Tawala Mkoa wa Manyara Caroline Mtapula amewataka mangariba katika Wilaya ya Simanjiro kuacha kukeketa watoto wa kike na kuwaozesha wakiwa katika umri mdogo kwani wanahaki ya kupata elimu, . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • March 9, 2022

Watu 60 wauawa katika shambulio kaskazini-magharibi mwa Nigeria

Nchini Nigeria, watu wenye silaha wamewauwa watu zaidi ya 60 wanaolinda usalama katika kijiji chao wilayani Zuru katika jimbo la Kebbi, Kaskazini Magharibi mwa nchi hiyo baad . . .

Kimataifa
  • Na JZ The Brand
  • March 8, 2022

Urusi yatoa masharti mazito kwa Ukraine ili imalize vita

Urusi imesema kuwa inaweza kusitisha operesheni na kuacha kuishambulia Ukraine wakati wowote endapo Ukraine itatimiza masharti ya Urusi Urusi imeyataja masharti hayo kuwa ni lazima Ukraine iitamb . . .

Kimataifa
  • Na JZ The Brand
  • March 8, 2022

Urusi yatangaza usitishaji mapigano Ukraine

Balozi wa Urusi katika Umoja wa Mataifa, Vassily Nebenzia, amesema nchi yake itasitisha mapigano kuanzia saa nne asubuhi ya leo kwa majira ya Moscow na kufunguwa njia salama kuwahamisha raia kutok . . .

Afrika mashariki
  • Na JZ The Brand
  • March 8, 2022

Moderna kujenga kituo cha kutengeneza chanjo Kenya

Kenya imetia saini mkataba na kampuni ya teknolojia ya kibayoteknolojia ya Marekani, Moderna Inc, kujenga kituo cha kutengeneza chanjo nchini. Kituo hicho ikiwa kinatarajiwa kutoa hadi dozi milio . . .

Kimataifa
  • Na JZ The Brand
  • March 4, 2022

Ris wa Ukraine Aomba kufanya Mazungumzo na Putin ili kumaliza Vita

Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky anasema njia ya ya kumaliza vita mara moja nchini Ukraine ni kufanya mazungumzo ya moja kwa moja na Rais Vladimir Putin."Hatutaki kuishambulia Urusi na hatupangi . . .

Kimataifa
  • Na JZ The Brand
  • March 4, 2022

Mkakati wa jeshi la Urusi na kile ilijifunza baada ya kuanguka kwa USSR.

Rais wa Urusi Vladimir Putin ameelezea uvamizi wa nchi yake dhidi ya Ukraine kama "operesheni maalum ya kijeshi". Lakini, tangu mwanzo, hii haikuwa oparesheni ya kijeshi iliyodhibitiwa na yenye . . .

Kimataifa
  • Na JZ The Brand
  • March 4, 2022

Mtambo wa Nishati ya Nyuklia Washambuliwa Ukraine

Kituo cha mtambo mkubwa wa nishati ya nyuklia barani Ulaya kilichoko Ukraine kimelengwa katika mashambulizi ya Urusi usiku wa kuamkia leo Ijumaa wakati Urusi na Ukraine zikikubaliana kutenga njia . . .

Jamii
  • Na JZ The Brand
  • March 1, 2022

Mganga anatafutwa kwa ubakaji

Polisi Mkoani Lindi wanamtafuta Juma Salumu maarufu ‘Juma kipanya’ ambaye ni mganga wa kienyeji mkazi wa Manispaa ya Lindi kwa tuhuma za kubaka na kumpa ujauzito mwanafunzi wa darasa la saba m . . .

Kimataifa
  • Na JZ The Brand
  • March 1, 2022

Makombora ya Urusi Yaua Wanajeshi 70 Ukraine

SERIKALI ya Ukraine wamethibitisha kuwa wanajeshi wasiopungua 70 waliuawa katika shambulio la makombora ya Urusi katika kambi yao ya kijeshi juzi Jumapili, Februari 27, 2022. Shambulio hilo lilit . . .

Kimataifa
  • Na JZ The Brand
  • March 1, 2022

Makombora ya Urusi Yaua Wanajeshi 70 Ukraine

SERIKALI ya Ukraine wamethibitisha kuwa wanajeshi wasiopungua 70 waliuawa katika shambulio la makombora ya Urusi katika kambi yao ya kijeshi juzi Jumapili, Februari 27, 2022. Shambulio hilo lilit . . .

Elimu
  • Na Asha Business
  • March 1, 2022

Mwanafunzi wa Udaktari Ajipandikiza Kifaa cha Bluetooth Sikioni Kuiba Mtihani.

Mwanafunzi wa mwaka wa mwisho wa udaktari anachunguzwa baada ya kudaiwa kufanya udanganyifu katika mtihani kwa kuweka kifaa cha Bluetooth kwenye sikio lake, kulingana na afisa wa chuo kikuu. Ripoti zi . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • February 27, 2022

Afariki kwa kusimamisha uume muda mrefu

Mwanafunzi mmoja wa mwaka wa kwanza katika chuo kikuu cha Maasai Mara nchini Kenya, ameripotiwa kufariki siku ya Alhamisi baada ya uume wake kudaiwa kusimama kwa muda mrefu. Taarifa za pol . . .

Afrika
  • Na JZ The Brand
  • February 21, 2022

Viongozi wa kidini Congo waunga mkono amani

Viongozi wa dini huko Kivu ya Kaskazini, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wameafikiana kuiunga mkono serikali katika juhudi za kusaka amani kwenye eneo hilo.Eneo hilo liliwekwa . . .

Top Story
  • Na JZ The Brand
  • February 21, 2022

Wakenya wasifia umahiri wa marubani waliofanikisha kutua salama kwa ndege wakati wa Dhoruba Eunice

Wakenya mtandaoni wamewasifu marubani wawili wanaofanya kazi katika shirika la ndege la Kenya Airways, ambao walitua ndege huku kukiwa na dhoruba ya Eunice barani Ulaya.Mmoja wa marubani, Ruth Kar . . .

Kimataifa
  • Na JZ The Brand
  • February 21, 2022

Mwanamke huko Florida ashtakiwa kwa mauaji ya mumewe kwa kumchoma kisu mara 140

Mwanamke mmoja katika jimbo la Florida nchini Marekani ameshtakiwa kwa mauaji baada ya polisi kusema kuwa alidaiwa kumdunga kisu mume wake zaidi ya mara 140.Joan Burke, 61, ambaye anazuiliwa bila d . . .

Afrika mashariki
  • Na JZ The Brand
  • February 18, 2022

Dereva auawa baada ya basi la shule kuvamiwa na majambazi Kenya

Dereva wa basi la shule ameuawa kwa kupigwa risasi baada ya majambazi kuvamia msafara wa mabasi matatu huko Marakwet katika eneo la Kerio Valley.Kulingana na komanda wa polisi kaunti ya Elgeyo Ma . . .

Mahakamani
  • Na Asha Business
  • February 18, 2022

Mahakama Kuamua Kama Mbowe na Wenzake Wana Kesi ya Kujibu Leo

Mahakama Kuu Divisheni ya Rushwa na Uhujumu Uchumi leo Februari 18, 2022 inatarajiwa kutoa uamuzi kama Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe pamoja na Washtakiwa wengine watatu wana Kesi ya Kujib . . .

Mahakamani
  • Na Asha Business
  • February 17, 2022

Mwanamke ‘Aliyejiteka’ Afungwa Miezi 8 Jela

Mahakama ya Makadara iliyopo Nairobi nchini Kenya, imemhukumu kifungo cha miezi nane gerezani mwanamke Mary Ambeza baada ya kumkuta na hatia ya kudanganya kwamba ametekwa nyara na watu wasiojulika . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • February 17, 2022

AUAWA KWA KUKATWA MAPANGA NA KAKA YAKE,

Mwanafunzi wa darasa la 7 shule ya msingi Mwenge manispaa ya Morogoro Faidhati Ibrahim Gadafi (13 )ameuawa kwa kukatwa na mapanga na kaka yake anayetambulika kwa jina la Shomari Malima mtoto wa . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • February 17, 2022

Mvua kubwa zasababisha vifo vya watu 94 huko Brazil

Watu 94 wamefariki dunia kufuatia mvua kubwa iliyonyesha kwenye mji wa mlimani wa Petropolis nchini Brazil. Mvua hizo zilizoanza kunyesha siku ya Jumanne zimesababisha maporomoko ya udongo yaliyof . . .

Mahakamani
  • Na Asha Business
  • February 16, 2022

Mwalimu Aliyebaka Wanafunzi 13, Kutunga Mimba 8 Ahukumiwa Kifungo cha Maisha Jela.

Mwalimu mmoja wa dini nchini Indonesia, amehukumiwa kifungo cha maisha gerezani kwa kuwabaka wanafunzi 13 wa kike.Herry Wirawan, ambaye alikuwa mmiliki na mwalimu wa dini ya Kiislamu katika shule hiyo . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • February 16, 2022

Rais wa zamani wa Honduras Juan akamatwa na polisi

Rais wa zamani wa Honduras Juan Orlando Hernandez amekamatwa na polisi nyumbani kwake kufuatia ombi la Marekani la kutaka kiongozi huyo apelekwa nchini humo kwa makosa yanayohusiana na biashara ya . . .

Kimataifa
  • Na JZ The Brand
  • February 15, 2022

Maelezo yaibuka kuhusu mauaji ya msichana kutoka Somalia aliyeuwa na mwanamme kutoka Iraq kwa sababu ya mapenzi

Maelezo zaidi yanaibuka kutokana na mauaji ya msichana wa Kisomali aitwaye Dahabo Omar huko Malaysia siku ya Jumapili.Kuna taarifa mbalimbali kwamba mkimbizi wa Iraqi nchini Malaysia aliyekuwa akifany . . .

Kurasa 54 ya 56

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Unaweza Kupenda Hizi
Michezo
news
  • 3 masaa yaliopita

Mbappé Avunja Ukimya wa Miaka 12 Real Madrid, Aifikia Rekodi ya Ronaldo

Habari
news
  • 21 masaa yaliopita

SIMBACHAWENE AVIOMBA VYOMBO VYA HABARI KUFANYA UTAFITI JUU YA RUSHWA

Habari
news
  • jana

UN yaomba ufadhili wa dharura kuhudumia wakimbizi Burundi

Habari
news
  • jana

UTPC, C-Sema na Elimika Waanzisha Mwongozo wa Uandishi wa Habari za Ukeketaji Kukomesha Ukatili ifikapo 2030

Michezo
news
  • jana

CAF Yatangaza Zawadi za Fedha za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025

Makala
news
  • jana

Je unafahamu faida za Kunywa Juisi ya Karoti Kila Wiki

Michezo
news
  • jana

Simba Yamteua Steve Barker Kuwa Kocha Mkuu Mpya

Matawi Yetu
  • Jembe Group
  • Jembe Development
  • Jembe Beach
  • Jembe Digital
  • Jembe DJ
  • Jembe Stage And Sound
  • Jembe Events
  • Jembe Ni Jembe Team

Habari Zaidi

  • Mbappé Avunja Ukimya wa Miaka 12 Real Madrid, Aifikia Rekodi ya Ronaldo

    • 3 masaa yaliopita
  • SIMBACHAWENE AVIOMBA VYOMBO VYA HABARI KUFANYA UTAFITI JUU YA RUSHWA

    • 21 masaa yaliopita
  • UN yaomba ufadhili wa dharura kuhudumia wakimbizi Burundi

    • jana

Habari Category

  • Habari Zote
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
  • Habari Ndani Na Nje
  • Video
  • Uchumi Na Biashara
  • Magazeti
  • Makala

Wasiliana Nasi

JEMBE NI JEMBE GROUP ,
P. O. Box 1334,
PLOT NO.111/BLOCK "A"
HOUSE No:43 MAKONGORO STREET,
ILEMELA MWANZA - TANZANIA

info@jembenijembe.com

+ 255-786-385-475 ,
+ 255-716-385-475.

  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS
  • STAFF LOGIN

POWERED BY

© Jembe Ni Jembe Companies.

Created And Maintained By XFoundationCode