Maafisa wa usalama wa Sudan wamewaua kwa risasi waandamanaji wawili walipokuwa wanajaribu kuwatawanya maelfu ya waadamanaji, kwa kutumia gesi ya kutoa machozi kwenye mji mkuu wa Khartoum pamoja . . .
Madai ya watuhumiwa kufariki dunia wakiwa mikononi mwa polisi au baada ya kipigo cha askari hao yameendelea kujitokeza safari hii yakiibuka katika mikoa ya Tabora na Morogoro.Katika matukio hayo . . .
Mwalimu wa shule amekamatwa nchini Nigeria kwa madai ya kumpiga mwanafunzi wa miezi 19 hadi kufa, polisi wanasema.Mwalimu huyo katika shule ya msingi ya Asaba, jimbo la Delta, alidaiwa kuacha alama . . .
Mkazi wa Mpanda Hotel Manispaa ya Mpanda Mkoa wa Katavi Wille Mwakapimba amekutwa akiwa amejinyonga chumbani kwa mpenzi wake Hawa Ayubu na kuacha ujumbe ulioandikwa kuwa alisikia ujumbe wa sauti . . .
Polisi mkoani Njombe wamemkamata Ndugu Daniel Mwilango Mtuhumiwa wa mauaji ya Nickson Myamba (48) aliyekuwa katibu wa baraza la walei kanisa la Roman Katoliki kigango cha Parokia ya Makambako ya . . .
humu duniani hapakosi vituko. Pasta mmoja wa kuhubiri mitaani amewashtua wengi na mahubiri yake tatanishi kuwa waume wanao wapachika mimba wake zao wanatenda dhambi.Vile vile pasta huyo amewaony . . .
Aliyekuwa Kiongozi wa Kanisa Katoliki na kujiuzulu mwaka 2013, Papa Benedict amekiri makosa yalitokea katika kushughulikia kesi za unyanyasaji wa kijinsia alipokuwa Askofu Mkuu wa Munich, na kuomb . . .
Wakaazi wa kijiji cha Malelei Kaunti ya Lamu sasa wanalazimika kulala kwa miti licha ya kuwa na nyumba zao.Wakaazi wa kijiji hicho ambacho kinapatikana katika wadi ya Witu wanalazim . . .
Mwanamume mmoja amekamatwa baada ya kamera za siri kupatikana katika vyumba vya wanawake vya kuoga Haijulikani kamera hizo zimekuwa katika vyumba hivyo kwa muda ga . . .
Watu 26 wamefariki dunia Jumatano baada radi kupiga katika waya inayobeba umeme mwingi katika vitongoji vya mji mkuu wa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Kinshasa, na kuangukia nyumba na soko s . . .
Taarifa za hivi punde zinaarifu kuwa watu wasiopungua 25 wamekufa katika mjini mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Kinshasa, baada ya waya wenye kiwango cha juu cha nguvu ya umeme kukatika n . . .
Watu wasiopungua 14 wamekufa na wengine 32 wamejeruhiwa na maporomoko ya udongo yaliyotokea usiku wa kuamkia kaskazini mwa mji mkuu wa Ecuador, Quito. Ofisi ya msaada wa dharura nchini Ecuador ndi . . .
Mwanafunzi wa Shule ya Gremon Education Center eneo la Bamburi, kaunti ya Mombasa anauguza majeraha mabaya katika Hospitali ya Rufaa ya Coast General baada ya kudaiwa kupewa kichapo cha mbwa na . . .
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linawashikilia watu wanne ambao:- 1.Robert Daud, miaka 42, mume wa mganga, mkazi wa katunguru, 2. Sylivester Renetus, Miaka 30, Mkazi wa katunguru, 3. Ryabakamba S . . .
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro amesema kamwe Jeshi hilo alitavumilia vitendo vya kujichukulia sheria mkononi vinayofanywa na baadhi ya watu wa jamii ya wakulima na kifugaji ambap . . .
Naibu Waziri Mkuu wa Uingereza Dominic Raab amesema waziri mkuu wa nchi hiyo, Boris Johnson, hawezi kutoa majibu kamili juu ya dhifa kadhaa zilizofanyika kwenye ofisi yake ya Mtaa wa Downing wakat . . .
Waandishi wawili wa habari wanaofanya kazi na kituo binafsi cha televisheni nchini Afghanistan wamekamatwa na maafisa wa kundi la Taliban kwenye mji mkuu Kabul kwa sababu ambazo hazijulikani. Wa . . .
Aliyewahi kushika taji la Miss USA Cheslie Kryst amefariki siku ya Jumapili akiwa na umri wa miaka 30 baada ya kuruka kutoka katika jengo refu huko Manhattan, New york.Polisi pamoja na familia . . .
Takriban magaidi 60 wameuwawa nchini Burkina Faso na vikosi vya ndani vikisaidiwa na vile vya Ufaransa vilivyo pelekwa nchini humo kwa mujibu wa taarifa ya jeshi la Ufaransa. Taarifa ya . . .
Mahakama ya kijeshi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imewahukumu adhabu ya kifo watuhumiwa 51 waliokabiliwa na kesi ya mauaji ya wataalamu wawili wa Umoja wa Mataifa waliouawa mwaka 2017.Id . . .
Waziri Ummy ametoa kauli hiyo jijini Tanga mara baada ya kutembelea kituo cha afya cha Makorora na kujionea hali ya utoaji huduma.“Naomba nisisitize hili si hapa tu bali ni nchi nzima, acheni ta . . .
Polisi wameanzisha uchunguzi katika kisa ambacho mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 55, amefariki katika chumba cha hoteli nchini Kenya, baada ya kufurahia burudani ya tendo la ndoa kati yake na mwan . . .
Watu watano wa familia moja wamekutwa wakiwa wameuawa nyumbani kwao eneo la Zanka wilayani Bahi mkoani Dodoma.Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Onesmo Lyanga amethibitisha kutokea kwa tukio hilo.Mkuu . . .