Polisi huko Siaya wanachunguza mazingira yaliyopeleka mwanafunzi kupatikana ameuawa karibu na ofisi za Shirika la Utangazaji la Kenya (KBC). Marehemu, mwanafunzi wa kidato cha tatu mwenye umri wa . . .
Ngugi wa Thiong’o Mwandishi gwiji wa fasihi kutoka Kenya ameripotiwa kufariki dunia Mei 28, 2025 akiwa na umri wa miaka 87 ambapo taarifa rasmi zinaeleza kuwa Mwandishi huyo mashuhuri amefarik . . .
Wanamgambo wanane wanaoliunga mkono Jeshi la Nigeria kwenye vita dhidi ya makundi ya siasa kali wameuawa baada ya gari yao kukanyaga bomu la kutegwa ardhini katika jimbo la kaskazini mashariki la Born . . .
MBUNGE wa Kajiado Magharibi, George Sunkuyia, amekamatwa na wapelelezi wa Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi (EACC) kwa kosa la kughushi cheti cha masomo cha Mtihani wa Kidato cha Nne (KCSE).Mbun . . .
MAJAMBAZI walivunja kanisa jingine katika kaunti ya Kirinyaga na kuiba mali ya thamani ya Sh120,000 usiku wa Jumapili Mei 25, 2025.Majambazi hao pia walikula sakramenti na kunywa divai ya kanisa katik . . .
Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia Wanawake na Makundi Maalumu amesema wizara yake imeshughulikia migogoro ya ndoa 97,234 katika kipindi cha Julai hadi kufikia Aprili 2025 kupitia Kitengo cha U . . .
Polisi Nchini Kenya wameanzisha uchunguzi kufuatia uvamizi katika kanisa la Kirinyaga ambapo wezi walivamia na kunywa divai ya madhabahuni huku wakishiriki kula mkate wa sakramenti pia kuo . . .
Nchini Kenya Mbunge wa Juja George Koimburi amekutwa ametupwa akiwa hai katikati ya shamba la kahawa katika kaunti ya Kiambu nchini humo baada ya kukamatwa na watu wasiojulikana nje ya kanisa ka . . .
Diwani wa Kiwere Felix Waya amefariki dunia ghafla jana Mei 23, 2025 baada ya kumaliza kuhutubia katika mkutano wa ziara ya CCM uliofanyika katika ukumbi wa Masai uliopo kwenye kata hiyo Wilaya ya Iri . . .
Serikali ya Marekani imekizuia Chuo Kikuu cha Harvard kuandikisha Wanafunzi wa Kigeni ambapo imaelezwa imechukua hatua hiyo kwa kuwa #Harvard inaiunga Mkono Palestina pamoja na kushirikiana na Chama c . . .
Vurugu zimeibuka na kudumu zaidi ya saa kumi katika chumba cha kuhifadhia maiti cha hospitali ya Mwea Mission iliyopo huko Karira, Kaunti ya Kirinyaga nchini Kenya ambapo wanawake wawili na watoto wao . . .
MWANAFUNZI ameshtaki Shule ya St Bakhita, Nairobi, akidai kuwa taasisi hiyo ilishindwa kumlinda baada ya kudaiwa kuadhibiwa na mwalimu mnamo Machi, jambo lililosababisha jeraha kwenye sikio lake.Kupit . . .
Katika hali isiyo ya kawaida Kaburi linalodhaniwa kuwa amezikwa binadamu limekutwa katika shamba la viazi mtaa wa Edeni B kata ya Momoka manispaa ya Sumbawanga Mkoani Rukwa hali ambayo imezua taharuki . . .
TAHARUKI imetanda katika makazi ya Gavana wa Trans Nzoia George Natembeya katika mtaa wa Milimani, Kitale baada kikosi cha maafisa wa kukabiliana na ufisadi EACC na DCI kuvamia nyumba yake Jumatatu as . . .
Mkuu wa Dawati la Jinsia na Watoto Dodoma Mratibu Msaidizi wa Polisi ASP Crister Kayombo amewataka waumini wa kanisa la Waadventista Wasabato Msangalalee Jijini Dodoma kusimamia misingi ya . . .
Jeshi la Israel limethibitisha kutekeleza shambulio katika kile limesema ni hospitali ambayo ilikuwa inatoa hifadhi kwa magaidi wakati wa oparesheni zake katika Ukanda wa Gaza.Hamas inasema wanahabari . . .
Inspekta Jenerali wa Polisi Douglas Kanja ametangaza kupatikana kwa bunduki iliyotumika kumpiga risasi na kumuua Mbunge wa Kasipul Charles Ong'ondo, katika barabara ya Ngong jijini Nairobi wikiiliyopi . . .
Ndege zisizokuwa na rubani kwa mara ya tano siku ya Alhamisi, zimeshambulia ngome za jeshi Mashariki na Kusini mwa nchi ya Sudan.Mashambulio hayo yanatekelezwa na wanamgambo wa RSF wanaoendelea kupamb . . .
Wanajeshi wa Sudani wamefanya shambulio la nadra la ndege zisizo na rubani katika mji wa mashariki wa Kassala, karibu na mpaka wa Eritrea, chanzo katika serikali pinzani, inayoshirikiana na jeshi, kim . . .
Familia ya mwanamume aliyedaiwa kuzikwa kisiri na mkewe huko Voi, kaunti ya Taita Taveta, imechukua hatua kutokana na kucheleweshwa kwa haki. Edward Mwaigo Maghanga alizikwa na mkewe bila idhini ya fa . . .
Mahakama ya Wilaya ya Maswa, mkoani Simiyu, imemhukumu kifungo cha miaka 30 jela Daudi Mabele (38), mkazi wa Kijiji cha Kakola, kilichopo Kata ya Shishiyu, wilayani humo.Mabele amehukumiwa kifungo hic . . .
Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu limemfikisha mahakamani binti aliyejitambulisha kwa jina la Pendo Paul Elikana (19), mkazi wa Kijiji cha Mbuga ya Banya, Wilaya ya Meatu, mkoani Simiyu, kwa tuhuma za ku . . .
Maafisa kadhaa wa Jeshi walikamatwa kufuatia uvumi kuhusu Mapinduzi yaliyopangwa dhidi ya Kiongozi wa Burkina Faso Kapteni Ibrahim Traore ambaye alichukua madaraka mwaka wa 2022.Hii imezua hali ya was . . .
MOMBASA, Nairobi na Kilifi zimeibuka kama kaunti zinazoongoza kwa magenge ya uhalifu nchini, kulingana na ripoti ya 2025 iliyotolewa na Kituo cha Kitaifa cha Utafiti wa Uhalifu (NCRC).Ripoti hiyo, ili . . .