Majali yamwakilishi Rais Samia miaka 10 WCF

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa Julai 04, mwaka huu amemwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan katika maadhimisho ya miaka kumi ya Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF), katika kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.

Maadhimisho hayo yana lengo la kutathmini mafanikio yaliyofikiwa katika kipindi cha miaka kumi, kuonesha mshikamano kati ya wadau na kuweka mikakati ya kuboresha huduma za fidia kwa wafanyakazi nchini.

Kaulimbiu ya maadhimisho hayo ni “Miaka kumi ya Fidia kwa Wafanyakazi-Kazi lendelee"

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii