Nchemba awasili Songea Kushiriki Ibada ya Mwisho ya kuaga mwili wa Jenista Mhagama

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba Leo Desemba 15 mwaka huu amewasili Mjini Songea ambako atashiriki katika Ibada ya kutoa heshima za mwisho kwa marehemu Jenista Mhagama aliyekuwa Mbunge wa Peramisho na Waziri Mstaafu inayofanyika kwenye Kanisa Katoliki Peramiho.

Itakumbukwa kuwa Jenista Mhagama alifariki Desemba 11 mwaka huu kwa maradhi ya moyo.

#10YrsJembefm  #Familiamoja #AhsantekwaTime

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii