Katika kuhamasisha matumizi ya msamaha wa riba na adhabu unaoelekea kukoma Desemba 31 mwaka huu Mamlaka ya Mapato Mkoa wa Mwanza imeandaa kipindi cha radio ili kuwaelimisha na kuongeza hamasa kwa wanufaika wa msamaha huo ambapi kipindi hicho kitafanyika siku ya Jumatano Desemba 17 mwaka huu kuanzia saa 11 Jioni Usikose kufuatilia.. kupitia mitandao yetu ya kijamii .
#10YrsJembefm #Familiamoja #AhsantekwaTime