Putin na Biden wakubaliana kufanya mkutano wa kilele kuhusu Ukraine

Rais Joe Biden wa Marekani na mwenzake wa Urusi Vladimir Putin wamekubaliana umuhimu wa kufanyika kutano wa kilele kuhusu Ukraine, ambao unaweza kufanyika tu endapo Urusi haitaivamia Ukraine.Kwa mujibu wa taarifa ya leo ya ofisi ya rais wa Ufaransa, mkutano huo uliopendekezwa na Rais Emmanuel Macron,utajumuisha wadau mihimu kwa lengo la kujadili usalama na hali jumla ya utulivu barani Ulaya.Aidha imeongeza kwamba maandalizi yake yanaweza kuanza Alhamis kati ya Urusi na na Marekani


Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii