logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Pata Habari Zote Hapa

  • Habari na Matukio Yote Ndani ya Nchi Na Duniani Kote
AFYA
  • Na Jembe Digital
  • October 18, 2025

Watoto 11 wenye utapiamlo watoroshwa matibabu

WATOTO 11 wenye utapiamlo katika halmashauri ya Ushetu mkoani Shinyanga, wanadaiwa kutoroshwa na wazazi wao baada ya kushindwa kumudu gharam . . .

Habari
  • Na Jembe Digital
  • October 18, 2025

Masaju amuapisha Hillary Massala kuwa Hakimu Mkazi

Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania,  George Masaju Oktoba 17 mwaka huu amemuapisha Hillary Massala Kuzenza kuwa Hakimu Mkazi kwenye ukum . . .

Habari
  • Na Jembe Digital
  • October 18, 2025

Dkt. Mpango Atoa Heshima za Mwisho kwa Raila Odinga Jijini Nairobi

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango, ametoa heshima za mwisho kwa mwili wa Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri . . .

Habari
  • Na Jembe Digital
  • October 18, 2025

Padre Aliyepotea Apatikana Mkoani Ruvuma

Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma limethibitisha kumpata Padre Camillus Nikata, wa Jimbo Kuu Katoliki la Songea ambaye pia ni Mhadhiri wa Chuo . . .

Habari
  • Na Jembe Digital
  • October 17, 2025

ASHIKILIWA KWA TUHUMA ZA KUMUUA NA KUMZIKA MUME WAKE

Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita linamshikilia Martha Japhet (44), Mnyamwezi, mkulima na mkazi wa Kitongoji cha Mzalendo, Kijiji cha Mawemeru, . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • October 17, 2025

Tanzania yashiriki Kongamano la Tano la Biashara na Uchumi kati ya Uturuki - Afrika, Istanbu

Tanzania imeshiriki Kongamano la Tano la Biashara na Uchumi kati ya Uturuki na Afrika (5th Türkey - Africa Business and Economic Forum) amb . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • October 17, 2025

Dkt. Mpango Amwakilisha Rais Samia katika Mkutano wa Dharura wa Asasi ya Siasa Ulinzi na Usalama ya SADC

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Philip Mpango ameshiriki Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Asasi . . .

Habari
  • Na Jembe Digital
  • October 17, 2025

VETA yakabidhiwa vifaa vya mafunzo vyenye thamani ya Tsh, bilioni 8.4

Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Carolyne Nombo amekabidhi rasmi vifaa vya mafunzo vyenye thamani ya Shilingi Bilion . . .

Habari
  • Na Jembe Digital
  • October 17, 2025

Wanawake Nzega wanufaika na hati miliki za ardhi

Wanawake katika halmashauri ya Mzega mkoani Tabora wameanza kunufaika na azma ya serikali kuhakikisha wanamiliki ardhi kama ilivyoainishwa k . . .

Habari
  • Na Jembe Digital
  • October 17, 2025

Mawaziri wa Fedha wajadili namna ya kuongeza upatikanaji wa fedha

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Bi. Amina Khamis Shaaban ameshiriki katika kikao cha Mawaziri wa Fedha kilichojadili namna ya kuongeza . . .

AFYA
  • Na Jembe Digital
  • October 17, 2025

MAABARA TANO ZA KITAIFA ZA KUPIMA UBORA NA UFANISI WA MATUMIZI YA NISHATI ZAZINDULIWA

MAABARA TANO ZA KITAIFA ZA KUPIMA UBORA NA UFANISI WA MATUMIZI YA NISHATI NA KIWANGO CHA CHINI CHA UFANISI WA MATUMIZI YA NISHATI ZAZINDULIW . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • October 17, 2025

ESWATINI YAJIFUNZA MAFANIKIO YA PROGRAMU YA UANAGENZI TANZANIA

Serikali ya Tanzania kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu imepokea ujumbe wa wataalamu kutoka Serikali ya E . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • October 17, 2025

Wataalamu wa Uturuki waenda Gaza kusaidia kutafuta miili

Uturuki imewatuma wataalamu kadhaa wa uokozi kwenda Ukanda wa Gaza kulisaidia kundi la Hamas kuitafuta miili ya mateka wa Israel ambao inaam . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • October 17, 2025

Papa Leo XIV "Kushindwa kuzuia njaa duniani ni dhambi"

Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Leo XIV ameikosoa dunia kwa kushindwa kuzuia mamilioni ya watu kufa kwa njaa.Papa amesema kuru . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • October 17, 2025

Makamu Wa Rais Dkt. Mpango Ashiriki Mkutano Wa Dharura Wa Wakuu Wa Nchi Wa SADC Kuhusu Hali Ya Usalama Madagascar

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango, ameshiriki Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Asasi y . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • October 17, 2025

Serikali kutangaza hali ya hatari katika mji wa Lima kufuatia wimbi la maandamano ya ghasia

Serikali mpya ya Peru imetangaza siku ya Alhamisi nia yake ya kutangaza hali ya hatari katika mji mkuu, Lima, kufuatia wimbi la ghasia za uh . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • October 17, 2025

John Bolton, mshauri wa usalama wa kitaifa wa Donald Trump, akabiliwa na mashtaka 18

Aliyekuwa mshauri wa usalama wa taifa wa Donald Trump anakabiliwa na mashtaka 18 yanayohusiana na kumiliki na kufichua nyaraka za siri wakat . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • October 17, 2025

Wanne wauawa kufuatia vurugu wakati wa kuagwa mwili wa Raila Odinga

Watu wanne waliuawa katika mji mkuu wa Kenya Nairobi siku ya Alhamisi baada ya vikosi vya usalama kufyatua risasi na vitoa machozi kutawanya . . .

Habari
  • Na Jembe Digital
  • October 16, 2025

MAJALIWA MGENI RASMI SIKU YA CHAKULA DUNIANI.

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa leo Oktoba 16 mwaka huu ni mgeni rasmi katika kilele cha maadhimisho ya Siku ya Chakula Duniani ambayo Kitaifa y . . .

Habari
  • Na Jembe Digital
  • October 16, 2025

DALILI ZA UWEPO WA GESI ASILIA ZAONEKANA KATIKA KITALU CHA LINDI-MTWARA

Utafiti unaoendelea kufanyika katika Kitalu cha Lindi–Mtwara, mkoani Mtwara umeonesha dalili za uwepo wa Gesi Asilia, hususani katika viji . . .

AFYA
  • Na Jembe Digital
  • October 16, 2025

WANAWAKE VIJIJINI WAHIMIZWA KUENDELEZA MIFUMO ENDELEVU YA CHAKULA

Maadhimisho ya Kitaifa ya Siku ya Chakula Duniani Oktoba 15 mwaka huu yameendelea kwa shamrashamra mbalimbali mkoani Tanga huku Wananchi na . . .

Elimu
  • Na Jembe Digital
  • October 16, 2025

SERIKALI KUIMARISHA ELIMU YA KILIMO NA USALAMA WA CHAKULA NCHINI

Serikali imedhamiria kuimarisha elimu ya kilimo kwa kuwa ni nguzo muhimu katika kukabiliana na changamoto za usalama wa chakula na mabadilik . . .

Teknolojia
  • Na Jembe Digital
  • October 16, 2025

Wananchi songwe wahakikishiwa uwepo wa mawasiliano ya uhakika

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Bw. Mohammed Khamis Abdulla amesema Serikali imejipanga kuhakikisha watanzania . . .

UTALII
  • Na Jembe Digital
  • October 16, 2025

Sekta ya utalii yajiimarisha kisheria katika usimamizi wa biashara nchini

Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia Idara ya Utalii imeendelea kujiimarisha kisheria kwa kuwajengea uwezo Maafisa wake kupitia mafunzo maa . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • October 16, 2025

NAIBU WAZIRI CHUMI AONGOZA UJUMBE WA TANZANIA KATIKA MKUTANO WA NAM

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Cosato Chumi ameongoza ujumbe wa Tanzania unaoshiriki Mkutano wa 19 wa . . .

Habari
  • Na Jembe Digital
  • October 16, 2025

GCAA yatoa kibali kwa Air Tanzania kuanza safari za moja kwa moja kuelekea nchini humo

Mamlaka ya Usafiri wa Anga ya Ghana (Ghana Civil Aviation Authority -GCAA) ilitoa kibali kwa Air Tanzania kuanza safari za moja kwa moja bai . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • October 16, 2025

RC MTANDA AZINDUA BODI YA NANE YA YA MAJI BONDE LA ZIWA VICTORIA

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda ameitaka bodi mpya ya Bonde la ziwa Victoria kusimamia menejimenti ya bonde la ziwa hilo ili iwajibi . . .

Habari
  • Na Jembe Digital
  • October 16, 2025

WANAOHAMASISHA UVUNJIFU WA AMANI NA UTULIVU KUCHUKULIWA HATUA ZA KISHERIA.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kigoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Filemon Makungu amewataka wananchi wa Mkoa wa Kigoma kuwafich . . .

Mahakamani
  • Na Jembe Digital
  • October 16, 2025

Jera miaka 30 kwa kosa la ubakaji

Mahakama ya Wilaya ya Kasulu imemhukumu mshitakiwa Serikali Machene Lubatula ( 25),mkulima, mkazi Kigembe wilayani Kasulu kifungo cha kwenda . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • October 16, 2025

Viongozi wa NATO wajadili namna ya kujilinda dhidi ya Urusi

Mawaziri wa ulinzi wa nchi wanachama wa Jumuiya ya kujihami ya NATO wamekutana Jumatano mjini Brussels nchini Ubelgiji kujadili namna ya kuj . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • October 16, 2025

Kanali Randrianirina kuapishwa kama rais Ijumaa

Nchini Madagascar, jeshi linaimarisha mamlaka yake mpya siku mbili baada ya tangazo lake mbele ya ikulu ya rais huko Ambohitsorohitra. Kanal . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • October 16, 2025

Joseph Kabila ateuliwa kuongoza jukwaa jipya la kisiasa DRC

Mkutano mkubwa wa kisiasa na kijamii juu ya mustakabali wa nchi, ulioitishwa Nairobi, nchini Kenya, na rais wa zamani Joseph Kabila, umezind . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • October 16, 2025

Mazishi ya kitaifa ya Raila Odinga kufanyika Jumapili

Kamati ya kitaifa ya mazishi ya kitaifa ya Raila Odinga, ikiongozwa na Makamu wa Rais Kithure Kindiki, imebainisha kwamba Waziri Mkuu huyo w . . .

AFYA
  • Na Jembe Digital
  • October 15, 2025

DKT BITEKO AZINDUA MFUKO WA DUNIA WA PAMOJA WA KUKABILIANA NA MAGONJWA YA MLIPUKO

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko amewataka watendaji wa wizara ya Afya na wadau wa afya nchini kusimamia utekele . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • October 15, 2025

Ruto atoa siku saba za maombolezo

Rais William Ruto ametangaza kipindi cha maombolezo ya kitaifa kwa muda wa siku saba kufuatia kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kenya Raila . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • October 15, 2025

JAMII IMETAKIWA KUJIEPUSHA NA UHALIFU MTANDAONI

Hayo yameelezwa na mtaalam mkuu wa usalama mtandaoni Yusuph Kileo alipokuwa akizungumza na  Jembe fm ambapo alipokuwa akitoa elimu ya . . .

Mahakamani
  • Na Jembe Digital
  • October 15, 2025

Shauri la Polepole afisa wa polisi atajwa mahakamani

Mambo mapya yameibuka katika shauri la kutekwa kwa aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, baada ya mawakili wake kuiom . . .

Mahakamani
  • Na Jembe Digital
  • October 15, 2025

Maombi ya Kibatala kuhusu ulinzi wa Polepole uamuzi kutolewa leo

Mahakama Kuu ya Tanzania Masijala Ndogo ya Dar es salaam leo itaendelea na usikilizaji wa maombi ya dharura namba 24511 ya mwaka 2025 yaliyo . . .

Mahakamani
  • Na Jembe Digital
  • October 15, 2025

Kesi ya Lissu kuendelea hapo kesho Oktoba 16

Kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) iliyokuwa inaendelea katika Mahakama Kuu Masjala Ndogo . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • October 15, 2025

Kiwanda cha nguo chateketea kwa moto huku 16 wafariki dunia

Takriban watu 16 wamefariki dunia baada ya moto mkubwa kuzuka katika kiwanda cha nguo nchini Bangladesh, huku maafisa wakisema kuwa huwenda . . .

Kurasa 14 ya 212

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Habari Category