WIZARA ya Maliasili na Utalii imejidhatiti kuhakikisha watumishi wake wanakuwa na uelewa mpana kuhusu utekelezaji wa Mpango Mkakati wa Wizar . . .
Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Bw. Gerald Mweli ameagiza kurejeshwa kazini wafanyakazi 216 wa Kampuni ya Wakulima Tea Company (WATCO) inay . . .
Serikali imetoa shilingi Bilioni 24.4 kwa ajili ya kufanya ukarabati mkubwa wa Barabara na madaraja mkoani Pwani katika maeno Sita yaliyoath . . .
Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) limetangaza kuwa jumla ya wanafunzi 1,582,140 wa Darasa la Nne kutoka shule 20,517 nchini wanatarakiwa k . . .
Kikosi kilirejea jana Dar es Salaam, leo vijana wamepumzika na kesho watarudi Mo Simba Arena kuanza maandalizi ya mchezo wa Jumapili. Tunayo . . .
Mwanamuziki wa R&B, Bryson Tiller, ameonyesha upendo na shukrani za dhati kwa mwenzake Chris Brown kwa kumzawadia gari jipya aina ya Lam . . .
Awali hukumu ya rufaa hiyo ilipangwa kutolewa Septemba 25, 2025, kabla ya kuahirishwa kutokana na sababu za dharura.Hukumu ya kesi ya rufaa . . .
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), kati ya mwezi Septemba na Oktoba 2025, imekamata jumla ya kilogramu 10,783.94 z . . .
Kanisa Katoliki lenye ushawishi mkubwa nchini Cameroon limetoa wito wa utulivu huku kukiwa na hofu ya kutokea machafuko wakati nchi hiyo iki . . .
Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais – UTUMISHI, Bw. Xavier Daudi amesema Serikali inaendelea kuweka mkazo katika kujenga utamaduni wa kazi . . .
Serikali ipo katika hatua za mwisho za kukamilisha mitambo ya kuchakata na kuongeza thamani mazao ya kilimo ikiwemo Mtambo mdogo wa kuzalis . . .
Jamii za Kitanzania zimesisitizwa kuheshimu, kulinda na kurithisha mila na desturi zao pamoja na kuzingatia maadili ya Taifa yanayoambatana . . .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt.Samia Suluhu Hassan katika kipindi cha Awamu ya Sita ameleta mageuzi katika Sekta ya Utali . . .
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amekutana na Mabalozi wa nchi za Nordic walioko n . . .
Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais – TAMISEMI anayeshughulikia Afya Prof. Tumaini Nagu ameipongeza Serikali ya Korea Kusini kupitia Shirik . . .
Afisa Mnadhimu Mkoa wa Polisi Tarime Rorya Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Joswam Kaijanante amewataka maafisa usafirishaji maarufu kama . . .
Idara ya Uhamiaji Wilaya ya Ikungi Mkoani Singida Oktoba 20 mwaka huu imetoa elimu ya Ki-Uhamiaji kwa Jeshi La Akiba (Mgambo) iliyo fanyika . . .
Ofisi ya Uhamiaji Mkoa wa Morogoro mwishoni mwa wiki jana imefanikiwa kuwakamata wahamiaji haramu kumi na moja (11) waliyokuwa wamejificha k . . .
Aliyekuwa kocha wa zamani wa Liverpool, Jurgen Klopp, amefichua sababu zilizomfanya kukataa ofa ya kujiunga na Manchester United kabla ya ku . . .
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kivukoni, Kinondoni imewahukumu vijana wanne, akiwemo askari mmoja na mabondia wawili, kifungo cha miaka saba . . .
Wajumbe kutoka DRC na Rwanda wanatarajia kukutana kuanzia leo Oktoba 21 na kesho Jumatano Oktoba 22 mjini Washington kwa kikao cha tatu cha . . .
Rais wa zamani wa Ufaransa Nicolas Sarkozy atawekwa rumande leo Jumanne. Ataanza kifungo cha miaka mitano jela kwa kula njama ya kukusanya f . . .
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema yuko tayari kukutana na Vladimir Putin na Donald Trump mjini Budapest iwapo ataalikwa kwenye mkut . . .
Kilio katika msiba ni tukio la kawaida duniani Kote,. Nisauti ya huzuni,upendo na hisia ambazo maranyingi maneno hushindwa kueleza.&nb . . .
Mahakama yamhukumu Nzumbi Magumba mwenye umri wa miaka 38 mkazi wa kijiji cha Lali kilichopo wilaya ya Itilima mkoani Simiyu kwenda . . .
Rais wa Kenya William Ruto amemtunuku aliyekuwa Waziri Mkuu wa nchi hiyo hayati Raila Odinga heshima ya juu zaidi kwa raia Chief of the . . .
Vyombo vya ulinzi na usalama mkoani Geita vimeendelea kuimarisha ulinzi na usalama ili kuhakikisha amani, usalama na utulivu kabla, wakati n . . .
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa taasisi za dini kutambua wajibu wa kuendelea kusim . . .
Mamba ni wanyamapori hodari sana katika masuala ya kuvizia, kuvumilia na kufanya mashambulio ya kushtukiza. Mara zote hukaa kimya kabisa wak . . .
Kaimu Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Misitu Tanzania (TaFF), Dkt. Tuli Msuya amewataka wanufaika wa ruzuku zinazotolewa na Mfuko huo kuwa waadili . . .
Jamhuri itajibu hoja nne za mapingamizi ya Lissu aliyotoa Ijumaa ya tarehe 17, Oktoba 2025 juu ya kukataa vielelezo vielelezo vilivyowasilis . . .
Matukio mbalimbali ya siku ya kwanza ya shughuli ya kimila ya Kundi rika la vijana takriban 500 wa Mkoa wa Arusha na Manyara Oktoba 19 mwa . . .
Ndege ya Emirates EK9788 ilikuwa ikiwasili kutoka Dubai mwendo wa 03:50 saa za ndani ilipoacha njia na kugongana na gari la doria la uwanja . . .
Kipa kinda wa soka wa Senegal Cheikh Toure (18) ametekwa na kuuwawa na watu wasiojulikana baada ya kumtengenezea mtego kuwa anaenda kufanya . . .
Mkuu wa wilaya ya Nzega mkoani Tabora Mhe. Naitapwaki Tukai amehimiza matumizi ya teknolojia kupitia mfumo wa kidigiti wa e-ardhi katika ku . . .
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dkt. Natu El-maamry Mwamba akimkabidhi Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo . . .
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Bi. Amina Khamis Shabaan, amesema kuwa ushirikiano kati ya Tanzania na Africa50 utafanikisha miradi ya . . .
Kiongozi wa chama cha upinzani cha Ensemble pour la République, Moïse Katumbi, anathibitisha kujitolea kwake kwa mazungumzo jumuishi . . .
Mgonjwa wa mwisho wa Ebola aliyelazwa katika kituo cha matibabu cha Bulape katika Mkoa wa Kasai, nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, am . . .
Profesa Kokuletage Ngirwa,Aurelia Kamuzora huyo ni Tanzania na ni miongoni mwanchi zinazotambulika kwa uzalishaji wa kahawa bora baran . . .