logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Pata Habari Zote Hapa

  • Habari na Matukio Yote Ndani ya Nchi Na Duniani Kote
Afrika
  • Na Asha Business
  • April 7, 2022

Maandamano mapya yameibuka Sudan yanapinga mapinduzi ya kijeshi

Maelfu ya raia wa Sudan waliandamana katika mji mkuu wa Khartoum na miji mingine siku ya Jumatano katika maandamano mapya ya kupinga m . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • April 7, 2022

Covid yaongeza hatari kwa walioambukizwa kuganda damu

Utafiti uliochapishwa leo umeonyesha kuwa watu waliaoambukizwa virusi vya corona wako hatarini kupata tatizo la kuganda damu hadi miezi si . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • April 7, 2022

Umoja wa Mataifa kupiga kura ya kuiondoa Urusi kwenye baraza la haki za binaadamu

Baraza kuu la Umoja wa Mataifa linapiga kura hii leo ya uwezekano wa kuisimamisha Urusi kwenye baraza lake la haki za binaadamu. Hatua hiy . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • April 7, 2022

Dharura za kiafya zinazohusiana na hali ya hewa zaongezeka Afrika

Shirika la afya ulimwenguni, WHO limesema jana kwamba dharura za kiafya zinazosababishwa na mazingira zinaongezeka barani Afrika ingawa . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • April 7, 2022

Umoja wa Mataifa waomba uchunguzi huru wa madai ya mauaji ya kimbari nchini Mali.

Mali imesema jana kwamba wachunguzi wa kijeshi wameanza kuchunguza matukio yaliyotokea kwenye kijiji cha Moura kunakodaiwa vikosi vyake na . . .

bungeni
  • Na Asha Business
  • April 7, 2022

Mbunge Hanje aibua suala la Mwenge, Naibu Spika amjibu Thursday April 07 2022

Mbunge wa Viti Maalumu, Nusrat Hanje ameibua sakata la mbio za mwenge akitaka kujua gharama zainazotumiwa na kama zitakuwa zinakaguliwa na . . .

Uchumi | Biashara
  • Na Asha Business
  • April 6, 2022

"MAFUTA YAKO YA KUTOSHA" Waziri Makamba

. . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • April 6, 2022

BUGANDO YAJA NA MRADI WA KUZUIA UPOFU UNAOZUILIKA

Hospitali ya Bugando Yafanikisha kujenga kliniki ya macho itakayohudumia zaidi ya wagonjwa wa 400 wa macho kwa siku, ambapo awali ilikuwa . . .

Mahakamani
  • Na Asha Business
  • April 6, 2022

Aliyekuwa meneja wa PSSSF na wenzake wasomewa upya mashtaka yao

Aliyekuwa Meneja wa Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) wa mkoa wa Temeke, Rajabu Kinande na wenzake wanne wamesomewa mashtaka . . .

Uchumi biashara
  • Na Asha Business
  • April 6, 2022

Mfumuko wa bei wafikia asilimia 3.7

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema katika mwaka 2021, mfumuko wa bei ulikua kwa wastani wa asilimia 3.7 ikilinganishwa na wastani wa a . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • April 6, 2022

Maelfu ya watu asili wa Brazil waandamana dhidi ya Jair Bolsonaro

Wakiwa wamevalia mavazi yao ya kitamaduni, maelfu ya watu asili waliandamana na kukusanyika kwenye eneo moja kubwa kilomita nne kutoka i . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • April 6, 2022

Mashirika mawili yashutumu ‘kampeni ya maangamizi ya kikabila’ Tigray Magharibi

"Kampeni ya maangamizi ya kikabila" huko Tigray Magharibi nchini Ethiopia, hivi ndivyo mashirika mawili ya kimataifa ya Hki za Binadamu, . . .

Mahakamani
  • Na Asha Business
  • April 6, 2022

Rais wa zamani Blaise Compaoré ahukumiwa kifungo cha maisha

Rais wa zamani wa Burkina Faso, Blaise Compaoré, amehukumiwa Jumatano kifungo cha maisha jela kwa kushiriki katika mauaji ya mtangulizi w . . .

Muziki
  • Na Asha Business
  • April 6, 2022

Wakazi atangaza ujio wa album yake ya tatu #Beberu

Kupitia mitandao yake ya kijamii Wakazi ametangaza ujio wa album hiyo baada ya album ya Live at Sauti za Busara ambayo ndio ilikuwa album . . .

Dini
  • Na Asha Business
  • April 6, 2022

Mchungaji Aanguka na Kufa Kanisani Wakati Akihubiri Kuhusu Wachawi

Tukio la kusikitisha limetokea katika Kanisa la Evangelical Winning All (ECWA) nchini Nigeria baada ya shemasi kuanguka ghafla na kufariki . . .

Uchumi biashara
  • Na Asha Business
  • April 6, 2022

RASIMMAFUTA YAPANDA BEI

Wakati bei ya Mafuta yanayotumika kwenye vyombo vya moto ikitangazwa kupanda mara dufu, wananchi wa jiji la Dar es salaam wameonekana usik . . .

Dini
  • Na Asha Business
  • April 6, 2022

Mwanaharakati Asiyemwamini Mungu Afungwa Jela Miaka 24.

Mwanaharakati mashuhuri raia wa Nigeria asiyeamini uwepo wa Mungu, amehukumiwa kifungo cha miaka 24 gerezani na mahakama kuu katika jimbo la . . .

Jamii
  • Na Asha Business
  • April 6, 2022

Mwanamume, 25, Apanga Kuoa Mpenziwe wa miaka 85, na Wajukuu 20.

Mwanamume mchanga mwenye umri wa miaka 25, amewashangaza wengi baada ya kufichua mipango yake ya kufunga kufunga pingu za maisha na mpenzi w . . .

Jamii
  • Na Asha Business
  • April 6, 2022

Mary Muthoni Ataja Sababu za Kumruhusu Mama Ngina Kunyoa Rasta zake za Miaka 70.

Mpigania uhuru Muthoni Wa Kirima, mwenye umri wa miaka 92, amefafanua sababu za kumruhusu aliyekuwa mama wa taifa, Mama Ngina Kenyatta, kuny . . .

Afya
  • Na Asha Business
  • April 6, 2022

Polisi Morocco imewakamata watu wanaohusika na biashara ya figo

Polisi wa Morocco wamewakamata watu wane wanaoshukiwa kuhusika na mtandao wa kimataifa wa ulanguzi wa dawa za kulevya na viungo vya bi . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • April 6, 2022

Rais Biden ametangaza mipango ya kupanua bima ya afya ya bei nafuu

ais wa Marekani Joe Biden alitangaza mipango ya kupanua fursa za huduma za afya kwa kupendekeza mabadiliko ya sheria ya huduma ya afya ya . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • April 6, 2022

Raia takribani 300 wameuawa nchini Mali; HRW inasema

Wanajeshi wa Mali na watu wanaoshukiwa kuwa wapiganaji wa Russia waliwauwa takribani raia 300 mwishoni mwa mwezi Machi kati-kati mwa t . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • April 5, 2022

FBI Wakamata Boti ya Kifahari ya Mshirika wa Urusi, Waongeza Presha kwa Urusi

SHIRIKA la Ujasusi la Marekani (FBI) kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi na mamlaka nyingine nchini Hispania, wameikamata na kuishikilia . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • April 5, 2022

Ndege Kubwa Duniani Yakamilisha Safari Ikitumia Mafuta ya Kupikia

Ndege ya Airbus A380, imekamilisha safari ya majaribio ya kutumia mafuta ya kupikia kusafiri.Ndege hiyo ya majaribio ilikamilisha safari ya . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • April 5, 2022

Bumbuli " Azam FC watatuchangia alama sita"

Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasilino ya Klabu ya Young Africans Hassan Bumbuli anaamini iwe isiwe, msimu huu Azam FC watawachangia alama . . .

Afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • April 5, 2022

Ajali ya reli yauwa wanane na kujeruhi 20 kusini mashariki mwa DRC

Watu wasiopungua wanane waliuawa katika ajali ya treni ya mizigo iliyotokea kusini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, wames . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • April 5, 2022

Wanasayansi wa UN wahimiza kuachana na nishati chafu ili kuiokoa dunia

Wanasayansi wa Umoja wa Mataifa wamesema malengo yaliyowekwa na jumuiya ya kimataifa ya kudhibiti ongezeko la joto duniani katika kiwango . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • April 5, 2022

Mshukiwa wa mauaji wa Sacramento akamatwa

Polisi wa mji wa Sacramento katika jimbo la California nchini Marekani imesema imemkamata mtu anayeshukiwa kufanya shambulizi la bunduki . . .

Bungeni
  • Na Asha Business
  • April 5, 2022

Nahodha aapishwa

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano, Dk Tulia Akson amemwapisha Mbunge wa kuteuliwa, Shamsi Vuai Nahodha kushika wadhifa huo leo Aprili . . .

Bungeni
  • Na Asha Business
  • April 5, 2022

Tanzania ina upungufu wa vituo vya polisi 470

Serikali imewaomba wabunge, wananchi na wadau kushirikiana katika ujenzi wa vituo vya polisi kwa kuwa ina uhitaji wa vituo vya polisi d . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • April 5, 2022

Rais Samia" Tanzania haitajengwa na chama kimoja"

Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuwa Tanzania haitajengwa na mtu mmoja au chama kimoja bali itajengwa na Watanzania wote.Rais Samia ameel . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • April 5, 2022

Marekani kupendekeza azimio jipya la kuilaani Korea Kaskazini

Marekani inao mpango wa kuwasilisha muswada wa azimio jipya katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, la kuiwajibisha Korea Kaskazini . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • April 5, 2022

Watu 150 hawajulikani waliko Nigeria baada ya treni yao kushambuliwa

Watu wasiojulikana waliojihami kwa bunduki wameishambulia treni kwa viripuzi kaskazini magharibi mwa Nigeria, na hadi sasa watu 150 wali . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • April 5, 2022

Ujerumani kuwafukuza wanadiplomasia 40 wa Urusi kuhusiana na mauaji ya Bucha, Ukraine

Ujerumani imesema inawafukuza wanadiplomasia 40 wa Urusi kama jibu kwa mauaji ambayo wanajeshi wa Urusi wanatuhumiwa kuyafanya katika wa B . . .

Uchumi | Biashara Kimataifa
  • Na Asha Business
  • April 5, 2022

Benki kuu ya Zimbabwe yaongeza kiwango cha riba kwa asilimia 80 kudhibiti mfumuko wa bei.

Benki kuu ya Zimbabwe Jumatatu imetangaza kwamba imeongeza kiwango chake cha riba hadi asilimia 80 katika jitihada za kudhibiti mfumuko . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • April 5, 2022

Biden analaani ukatili wa Putin ndani ya nchi ya Ukraine

Rais wa Marekani Joe Biden alitamka Jumatatu kuwepo kwa kesi ya uhalifu wa kivita dhidi ya Rais wa Russia Vladmir Putin na kulaani uka . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • April 4, 2022

Mahasimu Sudan Kusini wasaini mkataba wa amani ya kijeshi

Viongozi wanaohasimiana Sudan Kusini wamesaini makubaliano kuhusu kifungu muhimu cha kijeshi cha mpango wa amani unaosuasua. Makubaliano . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • April 4, 2022

Zelensky aonya kuhusu hali mbaya zaidi

Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky ameonya kuwa hali mbaya zaidi inaweza kutokea wakati Urusi ikielekeza tena nadharia yake kusini na m . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • April 4, 2022

Adebayor" Sikuwa na Presha yoyote Simba ni kubwa Afrika"

Mshambuliaji kutoka nchini Niger na klabu ya USGN Victorien Adebayor amesema mchezo dhidi ya Simba SC hakuwa na changamoto kubwa sana kwa . . .

Afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • April 4, 2022

Paddy Aaga Dunia

Mbunge  wa zamani wa Kasipul Kabondo amefariki dunia wakati akipokea matibabu katika hospitali ya doha nchini Qatar.Kulingana na kaka y . . .

Kurasa 179 ya 212

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Habari Category