logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Pata Habari Zote Hapa

  • Habari na Matukio Yote Ndani ya Nchi Na Duniani Kote
SOKA
  • Na JZ The Brand
  • April 11, 2022

Simba yaleta msala, klabu 8 presha tupu

UKIONA Simba inavyobadilisha ndege kila mara kwenye safari zake za mechi za kimataifa, iheshimu.Sio Simba tu, hata vigogo wengine kama Yan . . .

Kimataifa
  • Na JZ The Brand
  • April 11, 2022

Ukraine yadai kugundua miili zaidi ya watu 1,200 karibu na Kyiv

Ukraine imedai kuwa imegundua miili zaidi ya watu 1,200 karibu na mkoa wa Kyiv, katika mauaji yanayodaiwa kufanywa na Urusi. Mwishoni mwa . . .

Kimataifa
  • Na JZ The Brand
  • April 11, 2022

Macron na Le Pen kuchuana duru ya pili ya uchaguzi

Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron anaongoza katika duru ya kwanza ya uchaguzi uliofanyika jana Jumapili akifuatiwa na mpinzani wake wa kari . . .

AFYA
  • Na JZ The Brand
  • April 11, 2022

WANANCHI WAJITOKEZA KAMPENI YA SARATANI NJOMBE

Wanaume tisa wakutwa na viashiria vya Saratani ya tezi dume ambao ni sawa na Asilimia 17 ya waliojitokeza kwenye kampeni ya uchunguzi wa . . .

Kitaifa
  • Na JZ The Brand
  • April 11, 2022

Tangazo la Kuitwa Kazini (Serikalini) Taasisi Mbalimbali za Umma

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili tarehe 02 . . .

matukio
  • Na JZ The Brand
  • April 11, 2022

Madarasa ya Uviko-19 yamsimamisha kazi mkuu wa shule Gairo

Kufuatia kuvunjwa vioo vya madirisha ya madarasa 12 katika shule ya Sekondari Kibedya iliyopo wilayani Gairo mkoani Morogoro, uongozi wa . . .

mikasa
  • Na JZ The Brand
  • April 11, 2022

Watoto hatarini janga la ulawiti, ubakaji

Ni saa 2.00 usiku, kwenye kibanda cha kuonyesha video maarufu kwa jina la ‘kibanda umiza’ eneo la Semtema, Manispaa ya Iringa.Katika kib . . .

Siasa
  • Na JZ The Brand
  • April 11, 2022

Je ni mataifa hewa gani yanatumiwa na Urusi katika mzozo wa jirani zake

"Ninaamini kwamba kuungana na Urusi ni lengo letu la kimkakati na matarajio ya watu. Tutachukua hatua zinazofaa za kisheria katika siku . . .

Kimataifa
  • Na JZ The Brand
  • April 11, 2022

Elon Musk hatajiunga na bodi ya Twitter, mkuu wa kampuni hiyo.

Elon Musk ameamua kutojiunga na bodi ya Twitter, afisa mkuu mtendaji wa kampuni hiyo Parag Agrawal anasema.Uteuzi wa Bw Musk ulipaswa kua . . .

Afrika
  • Na JZ The Brand
  • April 11, 2022

Takriban watu 26 wakiwemo watoto wauawa na watu wenye silaha Nigeria

Watu wenye silaha wameshambulia vijiji vya jimbo la Plateau katikati mwa Nigeria na kuua takriban watu 26.Washambuliaji hao waliokuwa kwen . . .

Kitaifa
  • Na JZ The Brand
  • April 11, 2022

Waziri Nape aongea kuhusu uwekaji wa anwani za Makazi

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye amesema zoezi la uwekaji wa anwani za Makazi limefikia asilimia 68 huku . . .

Michezo
  • Na Jembefmtz
  • April 10, 2022

NYOTA HAWA WA DORTMUND NJE MSIMU MZIMA

Klabu ya Dortmund ya Ujerumani imethibitisha kuwa nyota wake Gio Ryena ataukosa Msimu wote uliosalia 2021/22 kutokana na majeraha.Ryena aliu . . .

Habari
  • Na Jembefmtz
  • April 10, 2022

Ukraine : " Tuko tayari kwa vita kubwa "

Katika siku ya 46 ya uvamizi wa Urusi nchini Ukraine tarehe 10 Aprili, Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson alifanya ziara ya ghafla nchin . . .

Habari
  • Na Asha Business
  • April 8, 2022

Rais Samia atangaza Agosti 23 siku ya Sensa

ais wa Tanzaniza, Samia Suluhu Hassan amezindua rasmi nembo ya sensa na kutangaza siku ya sensa ya watu na makazi itakuwa Jumanne Agosti 2 . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • April 8, 2022

Watu 35 wauwawa mashariki mwaka Ukraine

Watu wasiopungua 35 wamekufa leo na wengine zaidi ya 100 wamejeruhiwa baada ya roketi kukipiga kituo cha treni katika mji wa Kramatorsk . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • April 8, 2022

Morocco na Uhispania wakubaliana kumaliza mvutano wa kidiplomasia

Morocco na Uhispania zimekubaliana kufungua ukurasa mpya wa mahusiano baada ya serikali mjini Madrid kutangaza kuunga mkono ajenda ya Moro . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • April 8, 2022

ei za vyakula zavunja rekodi duniani

Faharasa mpya iliyochapishwa leo imeonesha kuwa bei ya vyakula duniani imepanda na kufikia rekodi ya juu kabisa mnamo mwezi Machi baada ya . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • April 8, 2022

Utata kuhusu abdi banda

Uongozi wa Mtibwa Sugar umeshindwa kusema lolote kufuatia taarifa zilizosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu Beki wao Mzawa Abdi Banda . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • April 8, 2022

Tarura Yatoa Ufafanuzi Kuhusu Faini Zinazotokana na Kukwepa Ushuru wa Maegesho

WAKALA wa barabara Mijini na Vijijini Tarura umetoa taarifa kwa umma kuwa umeanza rasmi kutoza faini kwa watumiaji wa maegesho waliopitish . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • April 8, 2022

Baraza la seneti lamthibitisha Ketanji Brown kuwa jaji wa mahakama ya juu

Baraza  la Seneti la Marekani lilimthibitisha Jaji Ketanji Brown Jackson katika Mahakama ya Juu ya Marekani Alhamisi kwa kura 53-47 . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • April 8, 2022

Korea Kusini na Marekani wanajiandaa Ya jaribio la kombora

Korea kusini na Marekani wanajiandaa kwa uwezekano wa jaribio la nyuklia la Korea kaskazini huku mivutano ikiwa juu baada ya onyo la wik . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • April 8, 2022

Watu milioni 800 barani Afrika huenda waliambukizwa Covid 19 miaka miwili iliyopita-WHO.

Zaidi ya theluthi mbili za Waafrika wanaweza kuwa waliambukizwa virusi vya Covid katika miaka miwili iliyopita, ikiwa ni mara 97 zaidi . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • April 8, 2022

SOKO LA KARUME LAUNGUA TENA

Moto ulionza leo Ijumaa Aprili 8, 2022 alfajiri umeteketeza vibanda 36 katika Soko la Kurume lililopo Dar es Salaam baada ya kuunguza sehe . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • April 8, 2022

Rais wa Yemen ajiuzulu

Rais wa Yemen aliyekuwa uhamishoni amemfuta kazi makamu wake, kisha akajiuzulu, na kukabidhi madaraka kwa baraza la rais kwa lengo la ku . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • April 7, 2022

Robo ya kazi kwa wanawake

Mahakama nchini Nigeria imeagiza Serikali kutekeleza sera ya usawa wa jinsia inayoeleza kuwa 35% ya uteuzi wa nyadhifa katika ofisi za . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • April 7, 2022

Rais Wa Zambia Atumikia Nchi bila kulipwa Mshahara

Rais wa Zambia Hakainde Hichilema amehudumu kama Kiongozi wa nchi kwa kipindi cha miezi minane bila malipo tangu achukue hatamu za uongozi . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • April 7, 2022

Mabinti wa Putin wawekewa vikwazo Marekani

Nchi ya Marekani imeweka vikwazo dhidi ya mabinti wawili wa Rais wa Urusi Vladimir Putin kutokana na ukatili wa Urusi nchini Ukraine kwa . . .

Afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • April 7, 2022

Spika wa Bunge la Tanzania Ahudhuria Mazishi ya Spika wa Bunge la Uganda

SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson,  ameshiriki ibada ya kitaifa ya kuaga mwili wa aliyekuwa . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • April 7, 2022

Profesa Makubi asisitiza uchangiaji damu salama

Katibu Mkuu Wizara ya Afya Prof. Abel Makubi amesisitiza taasisi na Wadau kushirikiana katika kuhamasisha wananchi kuchangia damu ili kuok . . .

Mahakamani
  • Na Asha Business
  • April 7, 2022

Mahakama ya Uturuki yarejesha kesi ya Khashoggi kwa Saudi Arabia

Mahakama ya Uturuki imeamua Alhamisi, Aprili 7, kurejesha nchini Saudi Arabia faili ya mauaji ya Jamal Khashoggi, mwandishi wa habari wa S . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • April 7, 2022

Maandalizi ya mazungumzo ya amani kati ya Armenia na Azerbaijan

Waziri Mkuu wa Armenia Nikol Vovayi Pashinyan na Rais wa Azerbaijan Ilham Aliyev waliwaagiza mawaziri wao wa mambo ya nje "kuanza maandali . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • April 7, 2022

Vyama 8 vya Siasa Vyatishia Kujiondoa Azimio.

Vyama vinane vya kisiasa vimetishia kuondoka katika muungano mpya uliobuniwa karibuni wa Azimio la Umoja One Kenya ambao unaunga mkono urais . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • April 7, 2022

HRW imeelezea wasiwasi kuhusu kuteswa wafungwa nchini Uganda

Mkuu wa haki za binadamu wa Umoja wa Ulaya siku ya Jumatano alielezea wasiwasi wake kuhusu kuteswa kwa wafungwa nchini Uganda na ukiukwa . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • April 7, 2022

Maandamano mapya yameibuka Sudan yanapinga mapinduzi ya kijeshi

Maelfu ya raia wa Sudan waliandamana katika mji mkuu wa Khartoum na miji mingine siku ya Jumatano katika maandamano mapya ya kupinga m . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • April 7, 2022

Covid yaongeza hatari kwa walioambukizwa kuganda damu

Utafiti uliochapishwa leo umeonyesha kuwa watu waliaoambukizwa virusi vya corona wako hatarini kupata tatizo la kuganda damu hadi miezi si . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • April 7, 2022

Umoja wa Mataifa kupiga kura ya kuiondoa Urusi kwenye baraza la haki za binaadamu

Baraza kuu la Umoja wa Mataifa linapiga kura hii leo ya uwezekano wa kuisimamisha Urusi kwenye baraza lake la haki za binaadamu. Hatua hiy . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • April 7, 2022

Dharura za kiafya zinazohusiana na hali ya hewa zaongezeka Afrika

Shirika la afya ulimwenguni, WHO limesema jana kwamba dharura za kiafya zinazosababishwa na mazingira zinaongezeka barani Afrika ingawa . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • April 7, 2022

Umoja wa Mataifa waomba uchunguzi huru wa madai ya mauaji ya kimbari nchini Mali.

Mali imesema jana kwamba wachunguzi wa kijeshi wameanza kuchunguza matukio yaliyotokea kwenye kijiji cha Moura kunakodaiwa vikosi vyake na . . .

bungeni
  • Na Asha Business
  • April 7, 2022

Mbunge Hanje aibua suala la Mwenge, Naibu Spika amjibu Thursday April 07 2022

Mbunge wa Viti Maalumu, Nusrat Hanje ameibua sakata la mbio za mwenge akitaka kujua gharama zainazotumiwa na kama zitakuwa zinakaguliwa na . . .

Uchumi | Biashara
  • Na Asha Business
  • April 6, 2022

"MAFUTA YAKO YA KUTOSHA" Waziri Makamba

. . .

Kurasa 178 ya 212

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Habari Category