logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Pata Habari Zote Hapa

  • Habari na Matukio Yote Ndani ya Nchi Na Duniani Kote
Kitaifa
  • Na JZ The Brand
  • April 13, 2022

NYUMBA 4000 JIMBO LA MPENDAE WAPOKEA MKONO WA FUTARI KUMUENZI MAREHEMU SALIM TURKEY

WAKAZI wa Jimbo la Mpendae Visiwani Zanzibar wamepata faraja Kwa familia ya Marehem Salim turkey Kwa kuendeleza yale mazuri kwa wananchi . . .

Burudani
  • Na JZ The Brand
  • April 13, 2022

Harmonize Avunja Rekodi Youtube, Apata Views Mil 1.3 Ndani ya Sekunde 34

STAA wa muziki na CEO wa Konde Gang, Harmonize  usiku wa kuamkia leo Aprili 13, 2022 amevunja rekodi ya Youtube kupitia video yak . . .

Kimataifa
  • Na JZ The Brand
  • April 13, 2022

Mtuhumiwa wa Shambulio la Raia kwenye Kituo cha Treni Jijini New York, Afahamika

HIVI karibuni limetokea shambulio katika stesheni moja ya treni jijini NewYork nchini marekani ambapo idadi ya watu Zaidi ya 17 wamejeru . . .

Kitaifa
  • Na JZ The Brand
  • April 13, 2022

Milioni 600 Zimepigwa, Aweso Achafukwa, Asweka watu Ndani

Zaidi shilingi milioni 600 zatumika vibaya Wilayani handeni Mkoani Tanga, Fedha hizo zilizotengwa kwa ajali ya kukamilisha mradi wa bwawa . . .

Habari
  • Na JZ The Brand
  • April 13, 2022

TANZANIA YAATHIRIKA NA MABADILIKO YA TABIA NCHI

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imekutana na waandishi wa habari kujadili athari za mabadiliko ya tabia nchi katika mifumo ya hal . . .

Flamu/Movie
  • Na JZ The Brand
  • April 13, 2022

Rais Samia aondoka nchini kwenda Marekani, ‘atashiriki pia uzinduzi wa filamu ya the Royal tour’

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akisindikizwa na Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango katika Uwanja wa Ndege wa . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • April 13, 2022

EU kutumia diplomasia ya chakula kukabiliana na kupanda bei ya ngano

BRUSSELS Umoja wa Ulaya unalenga kukabiliana na kupanda kwa bei ya ngano na mbolea kwa kujihusisha na kile ulichokitaja kuwa diplomasia ya . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • April 13, 2022

Takribani watu 60 wafa kwa mafuriko Afrika Kusini

DurbanWatu takribani 60 wamepoteza maisha kutokana na mafuriko na maporomoko ya udongo yaliyosababishwa na mvua kubwa katika mji wa Durban . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • April 13, 2022

Watu milioni 77 waishi katika umaskini uliokithiri kutokana na corona

Umoja wa MataifaRipoti ya Umoja wa Mataifa imesema kuwa ugonjwa wa Covid-19 ulisababisha zaidi ya watu milioni 77 kutumbukia katika umas . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • April 13, 2022

Mashirika 16 ya kiraia yaiomba IMF kutoa dola trilioni 2.5 kwa nchi maskini.

Mashirika 16 ya kiraia Jumanne yamelisihi shirika la kimataifa la fedha( IMF) kutoa dola trilioni 2.5 katika akiba yake ya dharura ili . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • April 13, 2022

Sudan Kusini yaunda jeshi linalojumuisha pande hasimu.

Serikali ya Sudan Kusini Jumanne imetangaza kuundwa kwa uongozi wa jeshi lililoungana, ikitekeleza kipengele muhimu cha makubaliano ya . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • April 13, 2022

Bayern yaondolewa Champions League baada ya kichapo cha Villarreal

Na katika michezoBayern Munich wametupwa nje ya michuano ya Ligi ya Mabingwa barani Ulaya Champions League baada ya kutoka sare ya bao 1-1 . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • April 13, 2022

Ukraine yamtia mbaroni mwanasiasa na mshirika wa Putin

Kyiv Shirika la ujasusi la Ukraine SBU limemkamata mwanasiasa wa upinzani nchini humo Viktor Medvedchuk, ambaye anaunga mkono Urusi na a . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • April 13, 2022

OPCW yaelezea wasiwasi ripoti za matumizi ya silaha za kemikali Mariupol

The HagueShirika la kuzuia kuenea kwa silaha za kemikali duniani OPCW limesema kuwa lina wasiwasi na ripoti za matumizi ya silaha za kemik . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • April 13, 2022

Vita ya Urusi ni mauaji ya halaiki yanayojaribu kuiteketeza Ukraine

WashingtonRais wa Marekani Joe Biden amevitaja vita vya Urusi nchini Ukraine kuwa mauaji ya halaiki, yanayolenga kuiangamiza Ukraine. Ak . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • April 12, 2022

Baraza la usalama la UN wiki ijayo kuijadili hali ya kibinadamu Ukraine

Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa wiki ijayo limepanga kukutana katika kikao kingine kujadili hali ya kibinadamu nchini Ukraine,ikiwa . . .

Jamii
  • Na Asha Business
  • April 12, 2022

MAPACHA WATATU WACHUMBIWA NA MWANAUME MMOJA

Dada watatu pacha wanaofanana kama shilingi kwa ya pili wamefichua kuwa sasa wanachumbiana na mwanaume mmoja baada ya kumpenda katika nyakat . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • April 12, 2022

AMUUA MTOTO WA MDOGO WAKE.

Kamanda wa Jeshi la Polisi kanda maalumu ya Dar es Salaam, Muliro Jumanne Muliro amesema jeshi hilo linamshikilia Latifa Bakari (33) mk . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • April 12, 2022

Maliha Khan ateuliwa rais wa Women Deliver

Shirika la kimataifa la kutetea usawa wa kijinsia na haki za wanawake limetangaza kumteuwa dkt Maliha Khan, kuwa rais wa shirika hilo. . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • April 12, 2022

Maafisa wa zamani wa chama kilichopigwa marufuku PKK wakamatwa nchini Uturuki

Mamlaka nchini Uturuki zimewakamata na kuwashikilia watu 46 wakiwemo maafisa wa zamani wa chama cha kisiasa kinachounga mkono harakati za . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • April 12, 2022

Marekani yawaagiza raia wake waondoke Shanghai

Marekani imetoa agizo kwa raia wake wasiokuwa wafanyakazi wa dharura katika ubalozi wake mdogo mjini Shanghai, waondoke. Mji huo wa China . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • April 12, 2022

Wasomali milioni sita wakabiliwa na hatari ya kutumbukia kwenye baa la njaa

Mamiliaoni ya watu nchini Somalia wako hatarini kutumbukia kwenye baa la njaa ambapo watoto ndio hasa wanaokabiliwa na hatari hiyo inayoto . . .

Mastaa
  • Na Asha Business
  • April 12, 2022

MARIOO NA MIMI MARS WAWEKA PENZI LAO HADHARANI

Kwa muda mrefu wasanii wa muziki nchini Tanzania, Marioo na Mimi Mars wamedaiwa kuwa na uhusiano wa kimapenzi, lakini wakawa wanakanusha. . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • April 12, 2022

Waasi wa ADF washukiwa kuua zaidi ya watu 30 katika mkoa wa Ituri.

Zaidi ya watu 30 waliuawa katika mashambulizi yaliyotekelezwa Jumapili na Jumatatu na washambuliaji wanaoshukiwa kuwa wanajihadi katik . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • April 12, 2022

TARURA, TANROAD Wakumbushwa Kuweka Majina Ya Barabara Ili Kurahisisha Operesheni Anwani Za Makazi

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nauye amezikumbusha taasisi za TANROAD na TARURA kuweka majina ya barab . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • April 12, 2022

Serikali Yakataa Ombi la Ukraine la Kuhutubia Bunge la Kenya: "Msitukosanishe"

Kenya imekataa ombi la Ukraine la kuhutubia bunge la Kenya, serikali ikihofia kuingizwa katika mzozo wa Ukraine na Urusi na kusambaratisha u . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • April 12, 2022

Uongozi wa Wizara wawasisitiza mabalozi kwa bidii na weledi

Uongozi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki umewaelekeza mabalozi kufanya kazi kwa bidii na weledi pamoja na kuwe . . .

Kimataifa
  • Na JZ The Brand
  • April 12, 2022

Ukraine yasema maelfu ya watu wameuawa Mariupol

Mamlaka nchini Ukraine zimesema huenda maelfu ya watu wameuawa kufuatia mashambulizi ya Urusi katika mji wa bandari wa M . . .

Kitaifa
  • Na JZ The Brand
  • April 12, 2022

Ndugai aibukia kwenye chanjo ya mifugo, ataka chanjo ya Ukimwi

Mbunge wa Kongwa, Job Ndugai amesema chanjo ya ugonjwa wa homa ya sotoka ni mkombozi kwa wafugaji wa Kongwa ambao wametaabika kwa muda m . . .

AJALI
  • Na JZ The Brand
  • April 12, 2022

Ajali yaua sita Korogwe

Korogwe. Watu sita wamefariki dunia na wengine 19 wamejeruhiwa baada ya basi dogo aina ya Coaster kupinduka katika eneo la kwa Mdulu Wilay . . .

Top Story
  • Na JZ The Brand
  • April 12, 2022

Baada ya Makonda Kuandika Ujumbe Mtandaoni, Manara Amuwashia Moto

BAADA ya jana, aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kuandika ujumbe kwenye ukurasa wake wa Instagram na kuwajata anaoda . . .

Burudani
  • Na JZ The Brand
  • April 12, 2022

Huko nchini Ghana, Shabiki Aingia Uwanjani Kushangilia Akiwa Uchi Wa Mnyama

 Shabiki wa klabu wa Asante Kotoko, Martin Kyei (32) akishangilia ushindi wa Asante Kotoko huku akiwa uchi SHABIKI mmoja wa klabu wa A . . .

Kimataifa
  • Na JZ The Brand
  • April 12, 2022

Zelensky aomba kuhutubia AU kuhusu uvamizi wa Urusi

Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amewasiliana na Umoja wa Afrika (AU) ili kuunga mkono uvamizi wa Urusi na kuomba kulihutubia shirika . . .

Afrika
  • Na JZ The Brand
  • April 12, 2022

Wapenzi wa muziki wa injili Afrika wamuomboleza Osinachi

Kumekuwa na hisia kali baada ya taarifa za kifo cha mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka Nigeria Osinachi Nwachukwu.Ripoti za awali zilisema . . .

Burudani
  • Na JZ The Brand
  • April 12, 2022

VIDEO YA DANSI YAUZWA KWA DOLA MILIONI MOJA

Video maarufu ya dansi ya mazishi ya wabeba jeneza wa Ghana ‘Coffin Dance’ imeripotiwa kupigwa mnada na kuuzwa kama mali ya kidigit . . .

SOKA
  • Na JZ The Brand
  • April 12, 2022

Tutainusuru Tanzania Prisons

Kiungo Mshambuliaji wa Maafande wa Jeshi la Magereza ‘Tanzania Prisons’ Lambart Sabiyanka amesema anaamini kikosi cha klabu hiyo kit . . .

Masumbwi
  • Na JZ The Brand
  • April 12, 2022

Mkanda ni zawadi hauna thamani ya kuuza popote

Bondia Hassan Mwakinyo ametoa tamko baada ya kuvuliwa taji la ubingwa wa African Boxing Union ‘ABU’ kufuatia kushindwa kulitetea kwa m . . .

Kimataifa
  • Na JZ The Brand
  • April 12, 2022

Hakuna mbadala wa mafuta ya urusi

Katibu Mkuu wa Shirika la Nchi Zinazouza Petroli (OPEC) Mohammed Barkindo ameonya maofisa wa Umoja wa Ulaya kuhusu vikwazo kwa Urusi amb . . .

Habari
  • Na Jembefmtz
  • April 11, 2022

FISI ASHAMBULIA MTOTO WA MIAKA SITA BARIADI

Mtoto Spora Sambalya mwenye miaka sita (6) na mwanafunzi wa darasa la awali Shule ya Msingi Kidinda mkoani Simiyu amenusurika kifo baada ya . . .

Dini
  • Na Asha Business
  • April 11, 2022

CAF, TFF zabariki Mashindano ya Quraan kuunguruma Uwanja wa Mkapa

Shirikisho la soka Barani Afrika ‘CAF’ limeafiki mashindano makubwa ya Quraan kufanyika Uwanja wa Benjamin Mkapa siku ya Jumapili (Apr . . .

Kurasa 177 ya 212

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Habari Category