Kiungo kutoka nchini Uganda na klabu ya Simba SC Thadeo Lwanga amesema yupo tayari kuipigania klabu yake katika Mzunguuko wa Pili wa Lig . . .
Siku ya tano baada ya majeshi ya Urusi kuingia Ukraine, wajumbe kutoka nchi hizo mbili wameanza mazungumzo yenye lengo la kumaliza vita. . . .
Mchekeshaji Eric Omondi sasa anadai kuwa hatawahi kufunga pingu za maisha kwani anaogopa ndoa na matatizo yake.Mchekeshaji huyo licha ya kuw . . .
Mlinzi wa Sporting Lisbon mreno Goncalo Inacio amekubali kusaini mkataba mpya kusalia klabuni hapo. Kinda huyo mwenye umri wa miaka 20 a . . .
Barcelona wanakaribia kumsajili kiungo wa Ivory Coast Franck Kessie kwa uhamisho huru wakati mkataba wa nyota huyo wa AC Milan mwen . . .
mshambuliaji wa Poland, Robert Lewandowski pale Bayern Munich unamalizika mwaka 2023, wakati mkongwe huyo mwenye miaka 33 akitaka mkatab . . .
Google haitaruhusu tena vyombo vya habari vya serikali ya Urusi kuonyesha matangazo, kufuatia uamuzi kama huo uliofanywa Jumamosi na kam . . .
Rapa Nikki Mbishi ametangaza rasmi kuwa album yake mpya ‘Welcome to Gamboshi’ tayari imefikia asilimia takribani 97 kukamilika ili kuw . . .
Jux ametangaza kutoa zawadi kwa shabiki yake atakayeweza kubashiri siku na muda atakaoachia wimbo wake mpya ‘I love you’ alioshirikian . . .
STAA mwenye nyota zake Bongo, Wema Sepetu amesema baada ya mapito ya muda mrefu amebadili mfumo wake wa maisha na kwamba anafanya dua na . . .
Mtu mmoja ameuawa na wengine 10 kujeruhiwa katika mapigano kwenye mkutano wa chama cha upinzani huko Kwekwe, katikati mwa Zimbabwe, Juma . . .
Watu 14 wakiwemo marubani wawili wa Tanzania, wanahofiwa kupoteza maisha baada ya ndege ndogo waliyokuwa wakisafiria kutoka Kisiwa cha M . . .
Mtu mmoja ameuawa na wengine 10 kujeruhiwa katika mapigano kwenye mkutano wa chama cha upinzani huko Kwekwe, katikati mwa Zimbabwe, Juma . . .
Mmiliki wa Chelsea Mrusi Roman Abramovich anasema "anawapa wadhamini wa wakfu wa hisani wa Chelsea usimamizi na utunzaji" wa klabu hiyo. . . .
Kampuni ya Uagizaji wa Magari aina zote nje ya nchi maarufu Dellah Car Traders Company imefungua rasmi Ofisi Mpya katika jengo la NSSF Mjini . . .
Shirikisho la Soka Duniani ( FIFA ) jana lilijibu shinikizo la kimataifa linaloongezeka kuhusiana na uvamizi wa Urusi nchini Ukraine lik . . .
Makadirio ya ukomo wa umri wa kuishi kwa Watanzania yameongezeka kutoka miaka 67 na miezi mitatu mwaka huu hadi kufikia ukomo wa miaka 74 . . .
Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe limemuagiza Mkurugenzi na menejimenti ya Halmashauri hiyo kupeleka taarifa ya ma . . .
Ukikutana naye kwa mara ya kwanza, hutaamini kuwa mzungu huyu ni raia wa Tanzania na tena ni mlumbi wa Kiswahili pengine kuliko Waswahili . . .
Balozi wa Tanzania nchini Italia Mhe. Mahmoud Thabit Kombo amekutana na kufanya mkutano na wadau wa NGO’s takribani sitini na nne zina . . .
Rais wa Urusi Vladimir Putin ameamuru jeshi la Urusi kuweka vikosi vyake vya nyuklia katika “tahadhari maalum” – kiwango cha juu cha . . .
WAZIRI Mkuu wa India Narendra Modi amejitolea kuisaidia Ukraine katika juhudi za kuleta amani, Modi ameyasema haya wakati wa mazun . . .
Mwanafunzi mmoja wa mwaka wa kwanza katika chuo kikuu cha Maasai Mara nchini Kenya, ameripotiwa kufariki siku ya Alhamisi baada ya uume w . . .
Watu saba wamefariki dunia baada ya kupigwa na radi katika maoneo tofauti katika wilaya zaNkasi na Sumbawanga mkoani Rukwa.Akizungumza na . . .
SIKU chache baada ya kuachia ngoma mbili kwa mpigo za Mayana na Ocean, staa mrembo kutoka nchini Nigeria, Asa amezindua rasmi albamu yak . . .
Mwanamuziki mashuhuri kutoka Guinea Moussa Sandiana Kaba almaarufu Grand P amethibitisha kuwa bado anampenda mwanasoshalaiti Eudoxie . . .
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Dkt. Selemani Jafo ametoa siku 14 kwa Uongozi kwa Wilaya ya Kinondoni kuhak . . .
Serikali imeanza kuchukua hatua za kuwarejesha nchini Watanzania takribani 300 waliopo nchini Ukraine kutokana na hali ya usalama kuende . . .
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linamshikilia Diana Edward Bundala maarufu Mfalme Zumaridi kwa kosa la usafirishaji haramu wa Binadamu na . . .
Shambulio la kijeshi la Urusi dhidi ya Ukraine "linaweza kuwa mwanzo wa mwisho" kwa Rais Vladimir Putin, Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingere . . .
Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia wakimbizi, UNHCR, limesema takriban watu laki moja na nusu wamekimbia kutoka Ukraine kuing . . .
Kila mwaka, mamilioni ya mali za kibinafsi hupotea huko Japan.Lakini tofauti na nchi nyingine, ukipoteza simu au pochi yako katika nchi hii, . . .
Simu ya Zoom ilikuwa na takriban watu 40 - au ndivyo watu ambao walikuwa wameingia walifikiria. Mkutano wa wafanyakazi wote katika kampuni . . .
Viongozi wa dini huko Kivu ya Kaskazini, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wameafikiana kuiunga mkono serikali katika juhudi . . .
Wakenya mtandaoni wamewasifu marubani wawili wanaofanya kazi katika shirika la ndege la Kenya Airways, ambao walitua ndege huku kukiwa na . . .
Mwanamke mmoja katika jimbo la Florida nchini Marekani ameshtakiwa kwa mauaji baada ya polisi kusema kuwa alidaiwa kumdunga kisu mume wake . . .
Mamlaka ya Nigeria inasema kuwa imekamata tani 120 za ngozi za wanyama zilizoagizwa kutoka nje katika jiji la Lagos.Zilinaswa kwa tuhuma . . .
Mtengeneza filamu wa Kikorea Yonghi Yang alikulia Japani miaka ya 1960, kama sehemu ya jamii kubwa ya wahamiaji kutoka nchi yake ya kuza . . .
Ikulu ya rais wa Ufaransa ya Élysée imetangaza kuwa, baada ya kuzungumza na Rais Vladimir Putin wa Russia, rais wa nchi hiyo Emmanuel . . .
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa pamoja zinashirikiana kutekeleza mfumo wa anwani za . . .